Search results

  1. Kijiti

    UZUSHI Midomo ya mwanamke ina uhusiano na ukubwa wa uke wake

    Midomo ipi ya juu au ya chini?
  2. Kijiti

    Mishahara ya SUMATRA kufuru

    Mkuuu nina hitaji kijana kama ww mwenye mawazo hayo nikuajiri, nitumie CV yako.
  3. Kijiti

    Naomba msada wa mpesa-mastercard

    Mimi nilipiga call center hadi nikawakariri wote, ikawa keeo sasa. Nkaamua kutumia njia mbadala
  4. Kijiti

    Wizi wa Bank ya CRDB Part II

    non sense, "kimei must go" peleka mashtaka yako kortini ili uwe survivor. bloody foooooooooooooooooooooolllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll
  5. Kijiti

    Nigerians got mad after Tanzania 🇹🇿 banned their traditional way of entering the country ⛔❎

    My friend have you ever lived in kibera? Don’t consider such non sense issues with Tz. Apply for visa time has changed........Alamsik
  6. Kijiti

    Success factory in town

    The coin is "DagCoin" For now there is an opportunity of buying coins at cheap prices and invest them after few months selling them high. There are many opportunities for now and welcome for a session at your interest... kwakifup ndo hivyo mzeee baba
  7. Kijiti

    Success factory in town

    Hello JF, Nimekutana na fursa ya concurrency ambayo bado ni new na ina market penetration. So karibuni kupata high lights zake na kwa zaid nichek inbobo...... Wasalam.
  8. Kijiti

    Natafuta kazi

    hujibu text wala kupokea simu
  9. Kijiti

    Viwanja Pacha vyenye Hati Miliki Vinauzwa MBWENI-Maputo

    kaka huo ni udalali au ???........
  10. Kijiti

    Kilimo cha Mchaichai(Lemon Grass): Utaalamu, Masoko na changamoto zake

    Habar wana JF, Nimevutiwa na kilimo cha mchai mchai sana, lakin hadi muda huu sina pakuanzia wala kuelekea. Kwa yeyote ambae anaufaham zaid kuhusu hii project aje aweke wazi ideas, tuingie kazini tuwajibike. Nawasilisha.
  11. Kijiti

    Benki ya CRDB yapunguza viwango vya riba ya mikopo na kuongeza muda wa marejesho kwa watumishi

    Mkuu kushushwa kwa riba sio kuangalia siasa labda mtu gan kasema nini au nani kafanya nini. Hiyo behind the scene kuna kitu hapo kinakua avoided ili kupunguza hasra kubwa isiwapate. Nimekufungua kwa kiasi hicho, na wewe ingia deep zaid ujue/ufahamu yaliyojiri huko.\ Alamsik.
  12. Kijiti

    Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

    Ontario nilikua namuuliza maswali hajibu, nampa suggestions hajibu, nkaona hili bomu linakaribia kuripuka muda wwte. Nkaweka hela zangu pembeni nkatulia[emoji23][emoji23][emoji23]
  13. Kijiti

    Mimi na MB ndo basi tena, nimepata mkombozi

    Lain ya Voda ya kawaida nawezaje kupata dakika za mitandao yote na Mb za kutosha?? Kwa bei nafuuu?
  14. Kijiti

    Tushirikishane Cryptocurrencies za kuweza kutia mpunga kwa sasa bila stress

    Una point mkuuu, ndo maaana hilo group la telegram lipo kwaajili ya kupeana elimu na kufundishana. Please join people kuna watu wanahitaj msaada wafanye biashara hyo.
  15. Kijiti

    Tushirikishane Cryptocurrencies za kuweza kutia mpunga kwa sasa bila stress

    Kwa njia rahisi ili wote tuwemo kwenye mstari naona tuingie kwenye group halaf tupeane madini. CrypoCurrencies Karibuni
  16. Kijiti

    Tushirikishane Cryptocurrencies za kuweza kutia mpunga kwa sasa bila stress

    Habar wana JF, Nimekua nisikia sana kuhusu crypto-currencies lakin nashindwa kuelewa kiundani haswa inafanywa vipi. zaid naelewa bitcoin kwakua inaongelewa sana. Mwenye uelewa zaid afafanue na kuonyesha biashara yake imekaaje haswa ikiwa kama fursa. Tafadhalini sana weka mambo hadharani. Asante
Back
Top Bottom