Natamani 2015 ifike mapema ili tufanye mageuzi ya kisiasa ambayo hayajawahi kufanyika tangu uhuru hapa tz natambua tuna vijana wengi walioelimika wanaohitaji mabadiliko lazima tulete mapinduzi ya kisiasa 2015!
Mimi ni mtumishi wa sekaliri, nipo masomoni kwa sasa lakini mara tu baada ya kuanza masomo yangu nilikatiwa mshahara lakini nashanga 'salary slip' zinaendelea kutoka huku mshahara nikiwa sipati. Walinikatia huo mshahara baada ya mimi kwenda masomoni huku nikiwa sina barua ya ruhusa ingawa...
Napenda kuwatakia mtihanini mwema form 4 wote. Ni mategemeo yetu mtakuwa mumejiandaa vizuri kupambana na huyu jamaa asiyependwa na wengi hapo j3. Zimebaki sekunde za mwisho za kuangalia jinsi ya kucheza na huyu jamii hivyo nawatakia ushindi mkubwa pasipo kucheza rafu.
<br />
<br />
Ah!taratibu bwana,mimi nimeolewa kwani ngono kazi siyo mpango siku hizi,huwezi ukapenda chakula ambacho hata ladha yake huijui,nadhani wewe pande hizo bado mgeni
Nashindwa kuamua ni njia ipi ya uzazi wa mpango nitumie,kwani zinazofaa zote zina madhara makubwa,sindano naogopa kitambi,kitanzi maumivu ya tumbo na kansa,kondom ikipasuka ni hatari na zingine zinawasha,vidonge adhabu kunywa kila kukicha,kila njia inamadhara.hapa nilipo nina watoto wawili...
Siku zote ajali ikitokea watu huanza kutafuta nani kasababisha,kinachotakiwa ni kuwaombea tu marehemu pamoja na kuwafariji wafiwa.you should all know that life=to death.so be prepared and keep ua souls clean
Mwenzenu nilipata ajali mwaka jana tar 24/10 ambapo nilianguka na baiskeli huko Iringa. Nilivunjika sehemu ya nyonga karibu na kiuno katika mguu wa kushoto.Nimekwisha hudhuria hospitali tofauti nilianzia hospitali ya mkoa wa mbeya, rufaa ya mbeya, CBRT, AMANA. Hivyo kutokana na mwingiliano wa...
Ni ukweli usiopingika kuwa Udom inaendeshwa kisiasa zaidi. Viongozi wa chuo wanakuwa hawana maamuzi sahihi kutokana na kuingiliwa na viongozi magamba wa nchi hii. Nimeamini Udom imekaa kisiasa zaidi kwa chama cha magamba kujifunzia kunyolea ndiyo maana migomo kila siku haiishi. Poleni wana Udom!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.