Search results

  1. M

    Asante Kikwete umesoma alama za nyakati

    Hii kweli ni kali lakin waislam mnajidai kukikumbatia chama cha mapinduzi?mbora jihadi ya nafsi au hata makafiri kabisa
  2. M

    Tundu Lissu: Mpambanaji aliyeuanza uanaharakati utotoni

    Wape mkuu,LISSU sio tu mbunge wa singida mashariki bali ni mbunge wa Tanzania nzima kawafunika mbaya
  3. M

    Matokeo ya Kura za Maoni Igunga: CCM - Dr Kafumo, CHADEMA - Mwl Joseph Kashindye

    We chachari naona hauko sawa weye!msikitini ni ibada tu sio sehemu ya kufanyia kampeni!kama ndo ndo mafuzo mnayope kanisani na hao viongozi wenu ni dhahiri kabisa kwmba we sio muumin bali ni mshabiki wa maaskofu ndo maana wakubebea iman yako pole kijana wangu unahitaji kurudi darasa la awali
  4. M

    Wapinzani Tanzania ni Wanafiki - SAMWEL SITTA

    serikali yetu imejawa na mafisadi mno katika kila ilan ya chama viongozi hujiwekea mikakati yao kwa ajili ya maendeleo ya taifa.hii inaonyesha dhahiri kuwa mweshimiwa sitta ana ufinyu wa uelewa,haiwezekani mtu akahisi kunya leo alafu umwambie kwanini hujanya jana,viongozi kama hawa 2napaswa...
  5. M

    Nandaa ndoa yangu ya Mkristo na Muislam

    hiyo ni hoja isiyo kuwa na kiini
  6. M

    upendeleo wanaopewa wazungu kuliko wazawa

    Serikali yetu inajitahidi kujenga vyuo vikuu vingi,sekondari za kata na sule za msingi pasipo na watoto wa vigogo kusoma kwenye shule hizi.wahitimu wanaongezeka kwa kasi lakin mbona walio wengi wanazagaa mtaaani?Wamekalia kufilisi makampuni kama Tango Transpot na kuwakumbatia mafisadi hivi hii...
  7. M

    Gazeti la Mwananchi kuna mchawi kaingia........ litakufa muda si mrefu

    Kwakweli mi mwenyewe nina wacwac nalo nilikuwa mteja wao sana lakini siku ile wilbrod alipotangaza mafisadi niliingiwa na wasiwasi
  8. M

    Osama bin Laden killed!

    Wakati kiongozi wa Iraq SADAM HUSSEIN anakamatwa na kikosi cha CIA aliteswa na kudhalilishwa na mpaka kutangaza waziwazi siku yake ya kunyongwa ambaye ilikuwa desember siku ya IDD tena,imekuwaje leo kwa gaid kama ossama wasimdhalilishe?Au ossama aliwatendea mema kiasi gani mpaka wamuheshi kiasi...
  9. M

    Osama bin Laden killed!

    sasa uzalendo upi unaongelea wewe.wakati wanapiga iraq na sasa wanapiga libya hawalengi walengwa yani majeshi ya gaddafi.waliopata madhara iraq ni innocent na libya pia sasa ukiniambia uzalendo katika karne hi hamna.ther is nuthn like sm1 or people are being patriotic.hu uzalendo ni wa danganya...
  10. M

    Osama bin Laden killed!

    kwanini bin laden kazikwa baharini?wakati hao makafiri wanapinga dini ya kislamu na sheria zake.iweje leo wamzike mtu aliytikisa uchumi wao kwa heshima na kufuata mbdil4 ya kislam .na iweje wasambaze picha 2 na hizo zilitumika 2 years ago.hi propaganda za wayahudi.
  11. M

    Osama bin Laden killed!

    Hiyo ni full fix fabrication angalia hizo picha zote utaona tofauti yake
  12. M

    Osama bin Laden killed!

    Duhh!hapo sina usemi sote 2naelekea huko lakin mbaya ni kutangulia
  13. M

    Osama bin Laden killed!

    Hivi nyie wana jf mbona mna2danganya kitoto hebu angalieni hiyo picha ni ya marehemu kweli!hii ni siasa bwana jamaa anatafuta umaarufu wa kuingia madarakani tena!edited hiyo ya picture sio ukweli
  14. M

    Zitto kugombea urais 2015?

    U knw wt?mimi cioni umuhimu wa malumbano ya wana cdm kwa upande wangu zito yuko sahihi kabisa chama hakiwezi kununua magari chakavu kutoka india kwa sh 486 milions wakati cdm wenyewe wanaipiga ccm kufanya hivyo mbowe anamfwata lema aliyemchanga kwenye siasa mpashkuna huyu mi nashauri zito...
  15. M

    Mavazi yetu tunayovaa yanatuelezea sisi tulivyo.

    yan mwanamke yeyote akivaa nguo ambayo geographia ya mwili wake inajidhihirisha especial trouse,min au hata gauni zingine wanasema ni new arrivols wakivaa wanaivuta upande mmoja wana bana na chupi yani kana kwamba ni defu labda halafu unamkuta m2 amebeba bible na mkono wa kushoto wale...
  16. M

    Swali hivi Nyoka anapojivua gamba hubadilika kuwa Sungura?

    Yaaaaaaaaan tena ukimkuta anajivua anakuwaga mkali kama Nape Nyauye anavotoa itikadi zake na kueneza propaganda kwa maaskofu
  17. M

    Gaddafi na mkewe chupuchupu, mtoto na wajukuu wake waangamizwa

    hawa makafiri wekundu shida yao sio kutetea haki za libyan shida yao ni mafuta 2! Waarabu wakuwa wajinga mpaka wanatoa sapot kwa nato haya sasa wanapiga mpaka makazi ya kiongozi tofauti sheria ya umoja wa mataifa
  18. M

    Ukweli ambao hautajwi ulioua AZIMIO LA ARUSHA

    mnajua huu wakati si wa azimio la Arusha tena,Azimio hili lililenga hasa upeo wa wananchi wake nyerere aliwaza kupitisha hili kwa sababu wananchi wake walikuwa wanategemea fikra zake!sasa hivi mashallah watu wamesoma maswala ya azimio hayatatusaidia kitu kinachotakiwa 2cwape mwanya mafisadi...
  19. M

    Hodi hodi Arusha

    Arusha mbona tupo!au unasafari ya kwenda loliondo nini babu alifiwa mpaka may 2
Back
Top Bottom