Search results

  1. nyaucho

    Wadau naomba ushirikiano wenu kuhusu hili swala la Public Writers

    Je Waandishi wa Umma (Public writers) wanaruhusiwa kisheria kuidhinisha mikataba? kama wanaruhusiwa, ni sheria gani na chini ya kifungu kipi?
  2. nyaucho

    Hatimaye mvua imeanza kunyesha arusha:-

    Ssa utaona hawa jamaa wa Idara ya maji watakavyo fungulia maji machafu kwa fujo.
  3. nyaucho

    Sekretariet ya ajira wizi mtupu

    Daah! hawa jamaa hata mm nimeshapoteza iman nao kabsa, jana archuga wamechukua watu nane tu kati ya 70 tuliopga hiyo interview. Nahic kuna ka mchezo kachafu kanaendelea.
  4. nyaucho

    Mapenzi

    Pengine jamaa anakupima kwanza, jaribu kuchunguza ujue tatizo liko wapi kabla hujafanya uamuzi mwingine.
  5. nyaucho

    Msaada wa nyimbo hizi

    Kutoka Michuzi blog Mkuu;TAZAMA RAMANI Tazama ramani utaona nchi nzuri Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka, Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri, Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzaniaaaaaaaaaa.... Majira yetu haya, yangekuwaje sasa Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2 Chemchem ya...
  6. nyaucho

    Can you help me pliz, abt da interview issue

    Hapo itabid ucheki walikua wanahitaji kuajir watu wangap katika hizo nafac walizotoaga hafu ndo ufanye uhamuzi wako. mfano unaweza kuta kwenye hiyo walioita watu 50 wanahitaji labda watu 10 hapo inamaana nafac moja inagombaniwa na watu 5, na hiyo ya 12 labda wakawa wanahtaj watu 4 hapo inamaana...
  7. nyaucho

    Can you help me pliz, abt da interview issue

    Ilitokea hivyo na kama ni utumishi bac itabid uchague tu moja, lakini kama ni makampun mengine unaweza kuwasiliana na moja wapo ukaomba uhairishiwe hku ukitoa sababu itakayowafanya washawishike kukubali ombi hilo.
  8. nyaucho

    Waliofanya interview ya afisa mtendaji kata

    Kwanza Peace man kwa kujua ulipoteleza, pili ni kwamba jamaa hapo juu TARUKA na YESER wamenijibu man na nashukuru kwa majibu yao. Na huyo mkuu Seki6 nafikir yeye ndo kakufanya ukatambua ulipoteleza, so big up sana jomba. Halafu unavyosema DESA mimi cjamwomba m2 anipedesa, mimi nikuwa nataka...
  9. nyaucho

    Waliofanya interview ya afisa mtendaji kata

    Mambo mengine ukishindwa kumsaidia mtu mkuu ni bora ukae kimya kama wenzio walio view na kusepa na siyo kuropoka ropoka tu. Nafikiri hujui nini maana ya kujiandaa. Sikushangai sana jomba coz wa2 kama nyie nilijua mtajitokeza tu.
  10. nyaucho

    Waliofanya interview ya afisa mtendaji kata

    Wakuu mliopiga usaili wa Afisa mtendaji kata, Plse embu fungukeni kuhusu maswali yanayoulizwa / yaliyoulizwa kwenye WRITTEN na kwenye ORAL. Natangulisha shukrani zangu kwa wadau wote watakao tiririka hapa.
  11. nyaucho

    PICHA: Godbless Lema alivyotingisha Jiji La Arusha Jana

    Mkuu big up sana kwa kurusha hiz photo tukajionea yaliojiri, kwel mkuu unaitendea haki kaz yako. safi sana jombaalai
  12. nyaucho

    Rufaa ya Lema Arusha: Kesi yaahirishwa hadi Oktoba 2, 2012

    Mkuu ebu rusha na photoz bac tujionee pipoz zilivyo na shauku ya kusherekea ushindi wa jembe le2
  13. nyaucho

    Mademu wengi wanateseka juu yangu...

    Broo we mm'bayaa, kizuri kula na nduguzo mkuu, nielekezee mmoja na mi nimpe majotoo
  14. nyaucho

    Wale ambao waliomba nafasi ya afisa tarafa na zile za mwanasheria wa serikali

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bw. Xavier Daudi amesema ofisi yake hivi sasa itakuwa ikitoa ratiba ya usaili mapema kila mara ili kuwawezesha wasailiwa kuwa na muda wa kutosha kujiandaa kabla ya kwenda kwenye usaili husika. Amesema hayo leo wakati akiongea na...
  15. nyaucho

    Naomba taarifa juu ya ajira za utumishi maafisa tarafa

    Uciwe na hofu mkuu, katibu amesema hizo za maafisa tarafa na zile za state attorney wataita watu ndani ya huu mwezi kwa hiyo tuendelee kuchek tovut yao kila mara.
  16. nyaucho

    Utumishi wameita watu kwenye interview na wengine kazini

    Kwa wale wadau waliomba kazi kupitia utumishi tembelea website yao
  17. nyaucho

    Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA Sept 10, 2012

    Mkuu karibu STAR TV ni ya ukwel ndo maana hata BBC wanaiaminia kwa kurusha kipnd chao cha dira ya dunia startv......halafu kuna komedi moja ya ukwel inaoneshwaga evry monday kuanzia saa 3 ucku. UKIANGALIA TBC UNAWEZA KUVUNJAVUNJA SCREEN YA TV YAKO BURE MKUU KWA HASIRA. Achen wakina Tendewa...
  18. nyaucho

    Umeshawahi kukutana na swali hili kwenye interview?

    shifonisha ma........kulolie itondo iylio likeluarara lyashiusi lyikeilibaguzi...ngaliso naasa
Back
Top Bottom