Search results

  1. D

    Filam Ya Vikaragosi (Cartoon) Ya Kiswahili Kwa jina la Manzese

    Dakika moja kama hii kwenye link hii http://youtu.be/b7XGdW4_t_U YouTube - Manzese swahili film vikaragosi boniface Mhella animation
  2. D

    Nifanyieni tathmini

    watu hawachangii kitu kilicho sahihi.. ungekipindisha kidogo ndo ungeona watu wakikichangia Hongera kwa kazi nzuri.. naona utaalamu wako upo wapi
  3. D

    Filam Ya Vikaragosi (Cartoon) Ya Kiswahili Kwa jina la Manzese

    It is nice to see the way ppo have responded. Dhumuni ya kuiweka scene ile izungumzwe ni kuona jinsi watu watakavyopokea wazo la kuwa na moviez za 3D animation hapa Tanzania. Naamini hakuna mtu atakayeweza kuicriticize movie yangu kama mimi mwenyewe kwani mimi ndo najua niliitengenezaje na kwa...
  4. D

    Filam Ya Vikaragosi (Cartoon) Ya Kiswahili Kwa jina la Manzese

    Wakuu na wana harakati wa JF Inaonekama jamii forum ni tamu. sema sijaelewa bado discussion hii inataka kwenda mpaka wapi? yaani mwishoni tunatakiwa tuwe tumefanikiwa nini? Pili naomba moderator wa discussion hii anitumie email kwenye bonn-j@hotmail.com ili nimtumie DVD aone film mzima. Hii...
  5. D

    Filam Ya Vikaragosi (Cartoon) Ya Kiswahili Kwa jina la Manzese

    Dear JF Senior Expert Member Naomba nijibu baadhi ya comments hapa. 1) Kwenye filam hii kuna hitirafu ambazo mtengenezaji angeweza kuzirekebisha, na filam yake ikaleta uhalisia. Kwa mfano, ametumia sauti ya mwanaume sehemu ambayo alipaswa kuwekwa mwanamke. Jawabu langu: Je ni haki kuwaandikia...
Back
Top Bottom