Search results

  1. AlP0L0

    News Alert: Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Bora ya hayo, leo Israeli 80% ni mashoga uhuru ukizidi ni hatari kwa binadamu.
  2. AlP0L0

    Airtel 5G Unlimited Internet

    Kwa Airtel haina shida, ila kwa voda hilo ni deni watakudai.
  3. AlP0L0

    Tetesi: Ubalozi wa Tanzania Uturuki unashirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwadeport Watanzania

    Sasa wewe Mzee wa Uturuki hapa unalilia nini, wee rudi tu uje ukalime mihogo, watuki hawataki nchi yao.🤣🤣🤣🤣 Shida iko wapi hapo.
  4. AlP0L0

    Tetesi: Ubalozi wa Tanzania Uturuki unashirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwadeport Watanzania

    Sasa kama huna hayo unayoyaita makaratasi unataka balozi afanye nini? Ubalozi Uturuki unafanya kazi nzuri tena mnatakiwa mumshukuru balozi maana mnatakiwa mfikie jela.
  5. AlP0L0

    Ajira serikalini zimetangazwa, vijana zingatieni haya

    Huko ni kujiwekea vizingiti wewe mwenyewe, always think positively.
  6. AlP0L0

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    The Israeli regime’s defense systems, including the Iron Dome, have failed to intercept ballistic missiles fired from Iran toward the occupied territories, with released images showing the missiles raining down and hitting their designated targets. Based on the images, the missiles fired at the...
  7. AlP0L0

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Acha ujinga wewe, Hapo hakuna faida kwa wote, Iran sio Hamas.
  8. AlP0L0

    Mwabukusi na Godbless Lema Watikisa Moshi Mjini

    Hata huyo Lema ni kula tu ndio inayomfanya awemropokwaji, hana lolote zaidi ya njaa tu.
  9. AlP0L0

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Mazayuni hawana huruma na binadamy youote, wale ni mbwa waliolaaniwa na Mungu.
  10. AlP0L0

    Rais Samia achana na Makonda, anaharibu taasisi ya Urais

    Na hili jambo la kuteuliwa watu walewale kila siku maana yake nini?.
  11. AlP0L0

    Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

    Mufti gani! hana uwezo wa kuamrisha mema wala kutaza mabyaya.
  12. AlP0L0

    Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    Hapa umepuyanga, waganga hawanaga elimu ya uwekezaji, wao ni makafara tu, na sina uhakika kama kunamtu amefankiwa kupata pesa au utajiri kwa ushauri wa mganga.
  13. AlP0L0

    Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?

    Naunga mkono hoja, Mwijaku anastahili nafasi hiyo.
  14. AlP0L0

    TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

    Kauli ya TEC undhani ina uzito gani nchi hii, ile ya DPWORLD imeshia wapi kwani. Msiwape umuhimu wasiokua nao, umuhimu wao ni huko huko Makanisani na kwa waumini wao.
Back
Top Bottom