Nape bado hajitambui. Kama kweli amedhamiria kuvua gamba ili kusafisha Chama mbona bado hajawapa Rostam azz, lowasa na chenge barua? Nimegundua Nape ametumwa kucheza mchezo asio uweza
Yeye mwenyewe ametajwa kwenye orodha ya mafisadi basi aanze kujitendea haki yeye la sivyo anadanganya wajinga. Ama kweli wajinga ndo waliwao jwani huyu Kikwete si ndiye aliwa safisha mafisadi wakati wa uchaguzi
Hebu fikiri. Kama kweli taarifa za Dk slaa zingekuwa za uongo sasa hvi Kiwete siangetumia madaraka kumswaga jela? Wangapi waliswagwa ndani kwa kosa hata la mke? Unamjua Babu sea? Nini kilicho mswaga ndani. Naomba nikutoe shaka Slaa ni mtafiti na msomi hawezi kukurupuka. Achana na degrii za...
Leo ndo Kikwete anatambua kuwa kuna ujamaa? Alikuwa wapi tangu 2006 alipo ruhusu swahiba wake apitishe Richmond. Amakweli kakurupukia blanket wakati kumekucha. Lazima kieleweke. Koo 7 haziwezi kuburuza watu milion 42
Nani kawadanganya kuwa kuvua gamba ni kupona? Amakweli Ccm wamedoda hawajui sumu imeathiri mfumo wadamu na hivyo kuvua gamba sikitu. Waoneeni huruma izraeli amewakaribia ndio maana wanatapatapa. Let them die wametufanya ombaomba wa neti kwa bush
Eti wamevua gamba. Hivi nani kawadanganya kuwa kuvua gamba kunatoa sumu mwilini? Au nani kawambia mgogod ukitolewa gamba unakua kiazi.? Ama kweli Kikwete hana jipya hajui kavua gamba ila Sumu inamtafuna Kufa lazima afe
Tafuta gazeti la mwanahalisi wiki hii tar 20 april to 25 utaona Kikwete anavyo nuka ufisadi. Mambo yote yameanikwa hadharani na mafisadi yote list ya kwanza ili iliyo tolewa mwaka 2007 tar 15 september ipo na majina mapya yapo akiwemo Msekwa na magufuli.
Pole mawazo yako marefu yana onyesha you are about 2 pasr away. Inaonyesha unadhan kwakua mtoto wa fulani unaweza ukapata nafasi kirahisa hasa kwa kuwa mwana chama wa chama cha ufisadi ambacho kilikukuza, ulivaa nepi za ufisadi. Soma alama za nyakati akili yako ikusaidie sio kutegemea cha baba...
Ninyi msiojitambua mnaofungua tawi la Ccm huko. Takwimu zinanionyesha kuwa mlifeli wajomba zenu wakawa beba huko pamoja na kuwa na mijikarai. Ndio maana mnadhani mkiwa Ccm wajomba zenu watawapa ajira. Khe he he he! Jidanganyeni Peoples power itawaumbua. CHADEMA JUUU
Akili ni nywele. Hivi nyoka akivua gamba ana badilika kuwa kinyonga au mjusi? Au mhogo ukivuliwa gamba unabadilika kuwa kiazi? Hili swali dogo ambalo hata dogo wa chekechea angejibu? Tatizo la Ccm sio kuvua gamba bali ni kutoa sumu iliyo ingia kwenye mfumo wa damu. Kwani nyoka akivua gamba sumu...
Nikweli kamanda. Nape anacheza ngoma asiyo ijua. Kumbuka mwaka 2007 Dk Slaa alipo taja list ya mafisadi Ccm walipinga sana na kusema Ccm hakuna mafisadi. Unakumbuka? Kama hukumbuki wewe hufuatilii siasa. LEO WAMEVUA GAMBA LA NINI KAMA MWANZO WALikataa? Jamani mwenye akili ayatambue haya. Nape...
Poleni vijana mnaoifuata njia msiyo ijua. Tena msio weza kuso ma alama za nyakati. Natambua elimu zenu bado changa mnadhani kuwa Ccm nikupata ajira. Mnacheza ngoma msiyo ijua. Nani kawadanganya kwamba Kikwete sio fisadi? Inawezekana vijana wabichi mnasoma magazeti ya udaku. KIKWETE NI MTUHUMIWA...
Mwenye macho haambiwi tazama. Kama ccm wanaogopa kukubaliana na chadema kwenye mambo nyeti ya taifa. Nidhahiri hawa ni wapumbavu. Wana macho lakini hawaoni mpaka waelekezwe. Cha msingi tuunge mkono wanaharakati ili tuwatoe wajinga hawa bungeni 2015. Tusipo watoa upuuz huu wa Ccm utaendelea
Kwanza hongera kwa nafasi! Uliyo pata. Pili katika sehemu yoyote ile lazima uanze chini upande juu. We ukipata nafas nenda ufanye kaz kaz yako ikiwa bomba utapanda juu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.