Search results

  1. networker

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Hahaha kiongozi hujawai nyoshwa Aliexpress ndo maana . Nina mzigo nili nunua kwa huyu seller YANJIAO YANJIAO Store ni mwaka sasa sijapokea mzigo tracking inaonesha ilikwamia Malaysia na nika chelewa kureport hvyo imekula kwangu Aliexpress usiwe na wenge wakununua kwa kila muzaji ukimpata...
  2. networker

    Nitatumiaje Gari langu Private kujiongezea Kipato?

    P Pole Mkuu ila still uber na taxify ni biashara nzuri sana.. ina tegemea ulikuwa una fanya vipi hiyo biashara... Kwa nijuavyo mm hizi kampuni huwa zina onesha wateja wao wapi palipo na wateja wengi hot areas na wapi sio. Hii ina saidia madereva ...pia unaitajika uwejanja mfano dar Wapi kuna...
  3. networker

    Sitakaa nikarudia kununua Tanzania 'used car' nimekoma

    Wala sikuwa na nia mbaya kwenye hili andiko langu ( hii ina onesha ni jinsi gani TZ saiv mtu ukindika kitu mtu ana waza kwanza machafu ndio awaze mazuri) mi nime ichukulia kama ni Marketing manager wa Uber ame anzsha uzi kwa style ambayo itawavutia watu wengi kusoma ila lengo ni kuonesha...
  4. networker

    Sitakaa nikarudia kununua Tanzania 'used car' nimekoma

    Hahahhahaha Tusi halitoi Nafsi.... so fresh tu Bro
  5. networker

    Sitakaa nikarudia kununua Tanzania 'used car' nimekoma

    We ni noma nime penda ulivyo umiza akili kujitangaza bila mtu kujua unajitangaza mana umetaja key point Muhimu za Huduma yenu na mwisho uka tutamanisha zaidi kwa kusema 40,000 per day
  6. networker

    CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    Ni azimia la Serekli ya awamu ya tano kuahakikisha Mtanzania kwanza ndio wengine wafuate..... na mm naisaupport asilimia 100 wali sio chuki na majirani wala nn.... Nymbani kwanza...ninapo fanya kazi mm kuna Mdada wa kigeni kutoka Afrika mashariki siataji jina la nchi.. huyu dada hana hata...
  7. networker

    Nawezaje Kuwashitaki Jumia?

    check screenshot hiyo ina sema aje about cancellation .... link pia nime kueweka ili usome Terms and Conditions - Jumia
  8. networker

    Nawezaje Kuwashitaki Jumia?

    Hahahha nyie mnao sema nime ipa promo Kampuni ngoja na nyie ni wa eleimishe kitu itawasaidia siku mkiwa na kampuni zenu au kama mna zo itawasaidia kitu.... ili kukuza Bishara yaki ni lazima use all means of channel kuhakikisha una enda viral au u'r known to the public..... ukipata jukwa la...
  9. networker

    Nawezaje Kuwashitaki Jumia?

    Ngoja nikuelimishe kitu... Jumia ni website tu ila bidhaa zote unazo ona huko ndani sio za Jumia ni za wauzaji walio ingia mkataba na jumia kuuza kupitia platform yao... Muzaji ana weza upload bidhaa mwenyewe na ana handle duka lake mwenyewe ila jumia wana saidia kuveridy oder kwa kukupigia kama...
  10. networker

    Vyombo vya Habari vinamdhulumu Dr. Shika

    Bora vyombo vya habari kazi yao ni kutafuta habari ,, Airtel wametembela nyota kabisa afu wana taka wana nchi nasisi tutumie mtandao wao.... si bora soka bet wali muhusisha Dr kabisa tunajua kapata chochote.. ila airtel mkitaka kupata kiki kubwa muiteni mze mpeni msada nchi nzima ita ongea airtel
  11. networker

    Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Haahhaha hukushanga kila kitu chao wao wana sema good morning. afu una ambiwa usisem kwa mtu chochote.... nivyoskia hvyo nka kimbia mbio...
  12. networker

    Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

    Sawa Kiongozi ngoja niondoe hii picha na kubakiza maneno ila namba nina uwakika nazoa hata @britanicca ana weza kuprove huko aliko kuwa namba hizo zilikuwa ziki muhusu Dr
  13. networker

    Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

    (Picha nimefuta kwa kutiliwa shaka naweza kuwa nime changanya kampuni ....mbili zenye jinya sawa lancefort ltd hii nlio futa ikiwa na kesi nchini Ireland na ya Dr ikiwa Urusi.) ila namba za simu sija kosea nina namba za kampuni yake enzi hizo Na hizi ni namba zake za simu enzi hizo 70951399186...
  14. networker

    Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

    Kwanza kabisa kisafiche kabla ya kutumia na flush hata kama kianaonekana kisafi. Ukiangalia hicho choo utagundua kuna mifuniko miwili mmoja hufunika kabisa na kingine kina uwazi katikati, kwa mwanaume unapandisha au una vi inua vifuniko vyote ndio unaka,Kwa mwanamke ana kalia hicho kimfuniko...
  15. networker

    Sakata la Uber na Madereva Taxi jijini Dar: Ushauri kwa RC Makonda

    Ahaa Ndugu facebook na insagram in wasaidia waTz sana. Belive me, mimi mmoja wao na marafiki zangu, yess kuna umbea Insta na fb lakini trust me Tz ni kati ya nchi zinazo faidika sana na hii mitanadao ya kijami ingawa inategemea na level ya umri, teenager ata tumia kuji brag na pics ila angalia...
  16. networker

    Sakata la Uber na Madereva Taxi jijini Dar: Ushauri kwa RC Makonda

    Nafuu ya mlaji inatgemea ni service gani ana pata Mfano na agiza nguo China na wapa hela nakuja kuza bongo kwa garama ya kumumiza mbongo hapa nakuwa nime mnufaisha mchina ila mtz nime mnyonga mana atanunua kwa bei juu zaidi ili nipate faida anefaidika ni mm na sio wengi watakao nunua. Ila...
  17. networker

    Sakata la Uber na Madereva Taxi jijini Dar: Ushauri kwa RC Makonda

    Mwalimu Mbise, ume andika vyema sana lakin nilivyo kuelewa mm hujafanya research ya kutosha juu ya hili swala au kitu kinaitwa Uber. Kivipi Unawezaje kusema Serekali inagawa kazi za kawaida kama tax kwa kampuni ya Kigeni. Hapa serekali imegawa vipi sioni ni vipi zaidi nacho fahamu mimi kuhusu...
  18. networker

    Wale wa Matikiti juice, smoothies,salad

    Jipatie kipato kwa kutengeneza au kuomba space mahali mfano kkoo au hata njee ya duka la mshikaji wako weka ki friji chako uza juice, smoothies na salad kuliko kukka bure add value mazao ya shambani upate faida .. ukitaka matikiti maji niko tayari nkuzie Ndonga fresh za kumwaga 3000-5000...
  19. networker

    Wale wa matikiti kwa ajili ya juice,smoothies na salad

    Matikiti bei bora kabisa yame wasili sokoni hapa Tandale Ndonga fresh za kumwaga 3000-5000 (sikuuzii 6000 staki zambi) size ya kati 2000-2500 ndogo kiasi -1000-1500 Tukutane soko la matunda tandale mzigo umeingia tani 4 kazi kwako weka order yako hapa- -0719647966 kwa Dar ukichukuwa matunda...
Back
Top Bottom