Search results

  1. M

    CUF sasa wamiliki migodi minane ya madini Tanga

    Hatua hiyo tunaipongeza kama ni kweli, lakini isijekuwa ni miradi ya watu wachache ndani ya Chama
  2. M

    Halmashauri Inayongozwa na Chadema yafanya Ufisadi Mkubwa Kigoma Ujiji

    unajuwa kinachofanyika Kigoma ni Halmashauri pamoja na Kaimu Meya kufanya hilba hizo za kuwaada wananchi juu ya suala hilo inavyoonekana kuna wawekezaji kinyume na hiyo Bandari ya nchi kavu, bandari ni kisingizio tu, kibaya zaidi hali hiyo inaongozwa na Diwani wa kata hiyo ambaye ndio Kaimu Meya...
  3. M

    Halmashauri Inayongozwa na Chadema yafanya Ufisadi Mkubwa Kigoma Ujiji

    Halmashauri Inayongozwa na Chadema yafanya Ufisadi Mkubwa Kigoma Ujiji Wananchi wapata 250 waishio katika vijiji vya Kahabwa na Butunga kata ya Kibirizi katika Halmashauri ya Kigoma Ujiji wamepinga hilba na hadaa vinazofanywa na Halmashauri ya Kigoma Ujiji inayoongozwa na Chadema kutaka...
  4. M

    Mweka hazina wa CHADEMA aisifia serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar

    Nimeamini watanzania bado uwelewa wetu unastajabisha sana, tumekuwa hatujadili hoja bali tumeweka ushabiki mbele, viongozi wa Chadema kuwadanganya watanzania je wanaagenda gani na kwa maslahi ya nani. wao walitaka wanzanzibar wauwane kila kipindi cha uchaguzi. Katiba ya Zanzibar ndio msingi wa...
  5. M

    Mweka hazina wa CHADEMA aisifia serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar

    hakuna kulipwa ndio uhalisia wacha ushabiki tafakari juu ya hili
  6. M

    Mweka hazina wa CHADEMA aisifia serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar

    CHADEMA YAUMBUKA Nimeamini Ukweli ukidhihiri Uongo Ujitenga, Leo asubuhi katika kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na TBC Mhe. Anton Kom Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Chadema ambaye pia ni Mjumbe wa TCD wakati akiwaelezea watanzania ujio wa wajumbe wa nchi tatu za Afrika (Msumbiji...
  7. M

    Je, Prof. Lipumba anaweza kusimama katikati ya mzozo wa kidini?

    Naomba kuweka, Taarifa ya aliyoitowa Prof. Ibrahim Lipumba jana tarehe 04/11/2012 ili watu wanapochangia wajuwe nini lipumba alizungumzia. THE CIVIC UNITED FRONT (CUF – Chama Cha Wananchi) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU JUHUDI ZA CUF ZA KUENDELEZA AMANI NA UTULIVU...
  8. M

    Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

    jamani huu ni muujiza kati ya CDM na CCM kwa wote hao ni ndugu
  9. M

    Mtatiro aishambulia Chadema Igunga

    hoja kukubalika au kusema uongo mbele ya Watanzania tujaribu kusema kweli uchguzi wa Igunga tutaona kama CDM kama kumwagia watu tindikali au mumvua Fatma Kimario hijabu ndio kushinda hayaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
  10. M

    Mtatiro aishambulia Chadema Igunga

    Chadema kwanini wanakwenda kwenye majukwa kusema CUF CCM B wao waendelee kunadii sera zao za kumwagia watu tindikali na kuwavuwa hijabu, Tayari Ulamaa wa Kiislamu wamewataka wawaombe radhi mnakakiwa kuwa makini kwa kuwaeleza ukweli sio kutumia siasa rahisi zitakija kuwagharimu baadae hizo jamaa...
  11. M

    Mtatiro aishambulia Chadema Igunga

    unatakiwa kuanagalia ukweli sio kufanya siasa rahisi wakati mwingine zinaweza kuwagharimu
  12. M

    Mtatiro aishambulia Chadema Igunga

    AMA kwa hakika usilolijuwa litakusumbua, usemi ambao hutumiwa na watu wengi katika nyakati tofauti wakiashiria matukio anuai wanayokutananayo wakati wakitekeleza majukumu yao. Na maranyingi mtumiaji anapoamua kutumia msemo huu huwa na lengo la kufikisha hujumbe fulani kwa jamii na hasa pale...
  13. M

    Mtatiro aishambulia Chadema Igunga

    AMA kwa hakika usilolijuwa litakusumbua, usemi ambao hutumiwa na watu wengi katika nyakati tofauti wakiashiria matukio anuai wanayokutananayo wakati wakitekeleza majukumu yao. Na maranyingi mtumiaji anapoamua kutumia msemo huu huwa na lengo la kufikisha hujumbe fulani kwa jamii na hasa pale...
  14. M

    Meli ya MV Spice Islander, yazama ikelekea Pemba; wengi wahofiwa kupoteza maisha

    Jamani kwa hili tunatakiwa kutumia busara, kuliko kujaribu kutoa maneno ambayo yanajenga mifarakano. Kamati ya miss Tanzania pamoja na wafadhili wao kwa kweli lazima tuwe wakweli wamekosea na tunachotakiwa kuungana na wote katika kuwataka waombe radhi kwa Watanzania (Watanganyika na Wazanzibar)...
  15. M

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    CCM lakini mmezidi jaribuni kuwa waungwana jibu hoja sio kujifanannisha na wengine
  16. M

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    :A S crown-1:Lucus Mahona :A S crown-1: :msela:Lucus Mahona Lucus Mahona
  17. M

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Tumeona Chadema na CCM ufunguzi wao wa Kampeni Igunga sasa kazi kwenu CUF je mnawatu au ndio nanyi mtakuwa kama Chadema mlivyochakachua picha, tumezoea Chadema kuona picha zinazopigwa kutokea kwenye fuso lao lakini picha za juzi watanzania tunajiuliza kulikoni
  18. M

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Tatizo la watu wenye fikra finyu ndio wanaosema CUF, CCM B hizo propaganda hazisaidi, CUF ni chama kilichosajiliwa kwa mujibu wa sheria, mimi sitaki kuamini yanayosemwa kama Chadema ni chama cha Wachaga ukilinganisha uwiyano wa viti maalum vya wabunge.
  19. M

    Ajali ya Meli: "Taifa Msibani, Umoja wetu na Utu wetu shakani!" - Zitto Kabwe

    Hali ya kuto kujali mambo ya znz hata baadhi ya wabunge ndio mtazamo zitto ww unaonyesha utofauti na hao
  20. M

    Ajali ya Meli: "Taifa Msibani, Umoja wetu na Utu wetu shakani!" - Zitto Kabwe

    Zitto umeonyesha uwezo wako wa kuongoza na kusema kweli, umeona baadhi ya watanzania walivyokuwa na fikra ambazo ndio waliokuwa nazo jamaa wa ....................
Back
Top Bottom