Search results

  1. arawa

    Msaada namna ya kufikisha malalamiko JWTZ

    Mkuu tengeneza pikipiki yako uendelee na maisha mengine hao jamaa wana mambo za kiwaki sana watakupotezea muda
  2. arawa

    Nikiendesha Gari inakula mafuta hatari

    Asante sana mkuu nimeijaribu hii idea leo imefanya kazi nashukuru kwa ushauri
  3. arawa

    Nikiendesha Gari inakula mafuta hatari

    Tuliza wenge chief wenye madini waje nayo
  4. arawa

    Nikiendesha Gari inakula mafuta hatari

    Nimewaelewa wakuu hebu nisaidieni nimesikia position ya kiti cha dereva pia inachangia mimi huwa napenda kurudisha kiti nyuma kabisa nakanyaga mafuta mguu ukiwa umenyooka kabisa hii inaweza kuchangia ulaji mbovu wa mafuta?
  5. arawa

    Nikiendesha Gari inakula mafuta hatari

    Wakuu nisaidieni kuelewa kitu nikiendesha gari inakula mafuta sana tofauti na mtu mwingine akiendesha gari hiyo hiyo, Nashidwaa kuelewa ni nakanyaga vibaya pedel ya mafuta au kuna kitu nakosea, msaada wenu wakuu.
  6. arawa

    Taxify mnatuumiza madereva badilisheni nauli

    Huduma ya Tax kwa njia ya mtandao imekuwa suluhisho kwa abiria wengi kinachoshangaza haya makampuni waameweka nauli ndogo zinazomfaidisha mteja na sio dereva UBER na Taxify mnafanya madereve kuachana na biashara hii kwan hailipi kabisa mm binafsi nilikuwa nafanya biashara hii mf kutoka...
  7. arawa

    Naomba hii mitandao iangaliwe

    No sikuwaomba urafiki ukiistall hii application watu waliokaribu na wew wanaweza kuona details zako hivyo wanaweza kukutumia msg nilishangaa kila mwanaume aliyetuma msg alijitambulisha yeye ni shoga it's pain kuona vijana wanadondokea kwenye maadili yanayopingana na utamaduni na maandiko matakatifu
  8. arawa

    Naomba hii mitandao iangaliwe

    Mimi ni mtumiaji mzuri wa Mitandao ya kijamii wiki iliyopita niliona application kwenye playstore yangu inaitwa Badoo nikainstall kwenye siku yangu cha kushangaza mtandao huu umejaa wanaume mashoga kila massage niliyokuwa natumiwa wa naomba kutumiwa kinyume na maumbile sikujua kama kuna uchafu...
  9. arawa

    Tanzia: Mbunge wa Ukonga, Eugene Mwaiposa afariki dunia

    R.I.P Mbunge wangu
  10. arawa

    Picha ya Kinana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma yazua mjadala

    Hii ilikuwa internasional angalia hata Sura yake anaonekana kuwa anavuta hisia flani hivi
  11. arawa

    Ni mara ya pili sasa nakaa kimya bila mafanikio

    Mwenye nia hachoki kukaa kimya ni kukata tamaa
  12. arawa

    Mke wangu kaniletea shoga yake nitembee naye!

    Changanya akili kaka
  13. arawa

    Mgomo wanukia UDOM wa kutokuwa na field

    chuo UDOM kiko social kijana njie mmegoma siklu tisa hata mjumbe wa jumba kumi hajaja si tumegoma siku 3 serekali nzima imehamia social nakushauri ufanye utataifi sahihi
Back
Top Bottom