Search results

  1. A

    Joti wa Ze Komedi

    Joti ana mchumba keshamzalisha. He once gave interview with Radio Mawingu and said that. CHEKI HAPA...
  2. A

    Bora niwe mpweke

    Pole sana mkuu, haya mapenzi ni matamu lakini upande mwingine wa shilingi ni mauaji. Mshukuru Mungu kwa kukuonyesha mapema kuwa huyo bint sio wako, pia muombe sana Mungu akuonyeshe mwenza wako wa maisha. If you are a christian, please sali ile sala ya novena huwa inajibu papo kwa papo...
  3. A

    Mambo 6 yasiyoweza kusameheka kirahisi katika ndoa/mahusiano

    Kwangu mie hilo ndio naona gumu, kuna wakwe wanaweza kukufanya ukaiona ndoa chungu. Unaanzia wapi kuwafukuza wazazi wa mumeo au kuwapuga marufuku kufika kwenu?
  4. A

    Is there a Swahili word for a marriage of two people - like couple in English?

    Hey guten tag, kama wadau walivyosema hapo juu, neno linalofaa kwa "couple" ni wanandoa kama wameoana.Kama bado bado wako kwenye uchumba wanaitwa wachumba. Mila yetu hairuhusu boyfriend and girlfriend relationship so kama sio wachumba na sio wanandoa sielewi wanaitwaje.
  5. A

    Wana JF Arusha

    Too bad i missed it. Next time nikiwa arround ntawajoin, kujuana muhimu.
  6. A

    Jamii ya Arusha Secondari

    ooh how nice, Mrs Johnson was a very nice lady. Alituachaga ghafla akaenda kusoma UD then hakurudi tena mpaka tukamaliza form four. Kaka jihesabu ulikuwa na bahati.
  7. A

    Jamii ya Arusha Secondari

    Mimi alininyanganyaga sketi na kutupa adhabu ya kuchimba shimo. Yule mama tulikuwa tunamchezea kama bibi yetu. Maskini sijui kama bado yupo hai tulimuachaga mgonjwa sana.
  8. A

    Hallo friends......hodi mpaka ndani....

    Thanks sana Jockey, nimeshaanza kuona uzuri wa JF, sasa hivi natembelea maeneo mbali mbali ndani ya jumba hili kucheki mpangilio wa mambo.
  9. A

    Hallo friends......hodi mpaka ndani....

    Hallo friends, nabisha hodi naomba kufunguliwa mlango ili nami niingie rasmi ndani ya JF family.......wenyeji mpoooo? Wish you all pasaka njema.
Back
Top Bottom