Search results

  1. Ayusema

    Samsung A20S kwa 320K

    270,000 nakuachia mkuu....
  2. Ayusema

    Samsung A20S kwa 320K

    Samsung A20S iko iwa na fast charger yake, earphone inauzwa kwa 320,000. Anayehitaji check nami through 0653968515
  3. Ayusema

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Samsung A20S, earphones, fast charger kwa sh. 320K. Kwa anayehitaji check nami kwenye 0653968515
  4. Ayusema

    HP Blackscreen of death

    Inakuwa the same kama RAM zikiwepo, fan inazunguka then kioo cheusi tu...
  5. Ayusema

    HP Blackscreen of death

    Habari wana JF, Msaada wenu nina laptop mbili HP Probook zote zinaleta kioo cheusi na fan inakimbia kwa speed sana wakati power button, wireless na caps key zina blink. Nimejaribu kubadili RAM zimegoma, Nime unplug battery na kwenda nazo direct zimegoma.. Ushauri wenu wataalamu... Nawasilisha.
  6. Ayusema

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Siku mpya inavyokwenda......
  7. Ayusema

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    "Do the BEST and GOD will do the REST"
  8. Ayusema

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Majina ya nyimbo sikumbuki mzee KIOO
  9. Ayusema

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kaka Mkuu KIOO ahsante sana, leo toka asubuhi nimepitia page zote 403 nimevuna OLD which is GOLD. Muziki unaoishi. Ahsante Secret Star kwa uzi huu. OMBI. 1. Ngoma ya Ney wa Mitego alfanya Bongo Record mapema sana inatembea hivi, ".... Kuishi Manzese imekuwa shida, mambo yanavyokwenda baby sijui...
  10. Ayusema

    Office for rent

    Office for rent is urgently required Location: within Ilala District preferably along Uhuru road Dar es Salaam budget: from 150,000 Contact 0788705051
  11. Ayusema

    Hii hapa njia rahisi na bure ya kupata unlimited followers and likes instagram

    And 100% it's working.. It's very simple ila mijitu ilivyo mivivu a kusoma inaona shida..
  12. Ayusema

    Hata kama njaa Hii ni hatari

    Kweli watu wanaona buku 2 ndogo... Lakini kiuhalisia sio ndogo!! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Ayusema

    Hata kama njaa Hii ni hatari

    Habari wana JF, Leo katika pita pita zangu nimedondokea airport.. Parking ni shida, magari mengi sana hata sehem ya kupark ni finyu, kilichonishtua Katika ulipaji wa parking bei ni ya juu kidogo hata kama umekaa dakika tano unalipa elfu 2. Kawaida huwa ni elfu 1 kwa nusu saa au zaidi...
  14. Ayusema

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Duuuuh Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Ayusema

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Lete likes Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  16. Ayusema

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Kuna limit ya hizi likes!??
Back
Top Bottom