Kwakweli vichambo vipokeeni tu maana hamna namna heheheeeeh!
Mie nilikerekwa sana hata zile vote for kiba nimesitisha sasa hivi nina allergy na mapopoma yote yanayoishabikia CCM!
Nguvu ya hawa wasanii ni kubwa mno tuacheni utani.
Inaudhi mtu kila siku unahangaika kuikampenia Ukawa alafu linakuja jitu moja linapost linawazoa hadi wale ulokuwa ushawashawishi!!! No no not rait! Ally umejua kuniudhi wallah!
Yaani nimekerekwaaaaaa pambafffff na nusu!
Hivi Kiba huoni kama wewe ni influential person??!!!
Hivi ungepiga kimya kwani tungekuja kukuchungulia kuwa unampigia magufuli???!!!
Hivi ni nini lakini nyie wasanii kuturudisha nyuma???!!! Si mhifadhi kura zenu jamani mtazipeleka wenyewe kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.