Kwahiyo aliyeandikiwa hiyo barua ni mnyonge ausio!? Acheni ushabiki wa kijinga; tembelea Mang'ola uwaone mabwanyenye. Utaratibu wa wenye mashamba makubwa kulipia kodi ya mapato upo siku zote na ukifuatilia barua hiyo anapewa maelekezo ambayo alitakiwa kuwa ameyatekeleza kabla ya hiyo notice...
Point yangu ni matumizi ya lugha. Anyway, wafanyabiashara (wawekezaji) gani hao? Wanakuja na briefcase ya makaratasi wakitegemea fedha ya ndani! Hapo cash inflow iko wapi? Watu wa aina hiyo wakiondoshwa kuna hasara gani?
Aidha kuna utaratibu wa mawasiliano na TRA kama biashara yako...

Hao darasa la saba ndiyo wenye nchi; kuwadharau ni kuonesha ujinga ulio nao. Ndiyo maana hao la saba wanajua namna ya kuwadhibiti na kuwanyima uongozi kwasababu hamueleweki.
T
Tatizo mnalazimisha madaraka ilihali wananchi wamewakataa. Lissu mwenyewe kakili kuwa wananchi walipuuza wito wake wa maandamano; hii inadhihirisha walimpuuza hata katika kumpigia kura. Sasa anataka maridhiano gani au serikali gani ya mseto? Kwani hamjui ukishindwa unasubiri uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.