Search results

  1. B

    Elections 2015 Nitagombea Ubunge Kyerwa 2015 kwa tiketi ya CHADEMA

    Hapo kwenye red mkuu tunakuombea hadi uchukue jimbo na uweze kutimiza aliyoshindwa huyo mtu wa ccm
  2. B

    Hii ndiyo ilikuwa post yangu fb August 10,kufuatia matamko makali ya LOWASA NA SITTA JUU YA MGOGORO

    Hii ndiyo ilikuwa post yangu fb August 10,kufuatia matamko makali ya LOWASA NA SITTA JUU YA MGOGORO WA ZIWA NYASA,hapo KIKWETE alikuwa hajajitokeza kuwahakikishia WAMALAWI kwamba hakuna vita na wajisikie shwari,nimeamua niipost upya kufuatia Uamzi wa JOYCE BANDA Kujitoa ktk mazungumzo juu ya...
  3. B

    Ningekuwa kikwete, hotuba yangu mwisho wa mwezi huu ingekuwa hivi

    Ndg wananchi leo hotuba yangu ya mwisho wa mwezi tofauti na miezi mingne itakuwa fupi sana, itahusu mambo mawili tu yaliyotikisa taifa katika huu mwezi unaoisha, nayo ni Kifo cha Daudi Mwangosi na Dr Swakala na sign 200 za kuombea msamaha.. Ndg wananchi Sitaki kuongea mengi juu ya kifo cha...
  4. B

    Ukitaka kutawala vizuri Tanzania jenga magereza,imarisha majeshi yako

    ukitaka kutawala vizuri Tanzania jenga magereza,imarisha majeshi yako,hubiri jukwaani kwamba watu waheshimu utawala wa sheria,himiza hakuna mtu aliyejuu ya sheria,hakikisha unakataa katakata tuhuma zozote zinazoelekezwa kwako kwamba unaingilia mahakama hata kama wananchi kila kona ya nchi...
  5. B

    Kiongozi wa makarani wa sensa ashughulikiwa

    nimeona lakini huo si ndio mtindo wa kutawala unaotumika,hata madaktari na walimu leo wako kazini kwa kutanguliza uzalendo,na mimi nimeandika hvyo kuunga mkono dhana hiyo inayotamba kwa sasa hapa TZ
  6. B

    Kiongozi wa makarani wa sensa ashughulikiwa

    Nimepata habari za kuaminika kutoka kwa rafiki yangu ambaye naye ni karani wa sensa hapa DSM kuwa yule kiongozi wao aliyeonekana kupitia tv mbalimbali(kijana mnene mweupe hv) akisisitiza serikali kuwalipa pesa yao yote ya semina ya siku saba jina lake limekatwa,na sasa hajapangiwa kituo na...
  7. B

    Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka ni unafiki, ujinga na upumbafu uliokithiri!

    Asante mkuu,taarifa yako nimeipokea
  8. B

    Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka ni unafiki, ujinga na upumbafu uliokithiri!

    nilikuwa na naendeleakuamini kwamba Dr. Ulimboka steven aliyetekwa,kuteswa na kutupwa katika msitu wa pande alianika taarifa zote za msingi kuhusu kutekwa kwake kabla ya kwendaSouth africa kutibiwa, alifanya mahojiano ambayo yalirekodiwa na yako katka mtandao wa U-tube, amesema kuanzia nani...
  9. B

    Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka ni unafiki, ujinga na upumbafu uliokithiri!

    nilikuwa na naendelea kuamini kwamba Dr. Ulimboka steven aliyetekwa,kuteswa na kutupwa katika msitu wa pande alianika taarifa zote za msingi kuhusu kutekwa kwake kabla ya kwendaSouth africa kutibiwa, alifanya mahojiano ambayo yalirekodiwa na yako katka mtandao wa U-tube, amesema kuanzia nani...
  10. B

    Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka ni unafiki, ujinga na upumbafu uliokithiri!

    silazimishi,ila naamini katika taarifa zake za awali.....make ni huyohuyo aliweza kukuumbuka namba za Dr. Deo baada ya kuokotwa na msamalia mwema
  11. B

    Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka ni unafiki, ujinga na upumbafu uliokithiri!

    silazimishi,ila naamini katika taarifa zake za awali.....make ni huyohuyo aliweza kukuumbuka namba za Dr. Deo baada ya kuokotwa na msamalia mwema
  12. B

    Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka ni unafiki, ujinga na upumbafu uliokithiri!

    mimi nilimpokea Ulimboka,hakusema hvyo
  13. B

    Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka ni unafiki, ujinga na upumbafu uliokithiri!

    Tunaenda kubaya sana,hakuna mfumo wa kuteteana wanyonge kwa wanyonge,fikiria Ulimboka angekuwa mtoto wa.....................watu wangapi wangekuwa segerea ??
  14. B

    Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka ni unafiki, ujinga na upumbafu uliokithiri!

    Tumekuwa nchi ya kijinga sana, nchi ya kinafiki sana, nchi ya watu wasiothaminiana, nchi ya ambayo Raia wake wanafanikiwa kwa kusema uongo, nchi ambayo raia wake wanaosema ukweli wanakwamishwa katka nyanja zote za maisha, nilikuwa na naendelea kuamini kwamba Dr. Ulimboka steven...
  15. B

    Katika migogoro juu ya mipaka kati ya nchi na nchi kuweka msimamo mapema ni hatua muhimu na lazima?

    kuweka msimamo wetu kama TAIFA juu ya mgogoro wa ziwa Nyasa na wenzetu malawi ilikuwa ni hatua muhimu na ya lazima(Kwenye chemistry this is called a necessary step towards reaction),bila kuweka masimamo wetu wa kwamba tuko tayari kama taifa kulinda nchi yetu na mipaka yake kwa GHARAMA YOYOTE...
  16. B

    Tuagize rais na mawaziri kutoka nje ya nchi?

    nurses wakigoma tutachua nchi gani kweli???
  17. B

    BAKWATA: Mgomo wa madaktari ni batili

    Naapa kwammba......sitasiliza radio imaan ktk maisha yangu yote,eeh mwenyezi mungu naomba unisaidie
  18. B

    Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

    Duh hapa kuna ban lazma!
Back
Top Bottom