Search results

  1. MAKOSHNELI

    Wafahamu Dismas na Gestas, wahalifu waliosulubiwa pamoja na Yesu pale Msalabani

    unauliza majibu?Yesu ni Mungu kusamehe dhambi ni sehemu ndogo sana ya kazi zake halafu kukuchanganya zaidi yesu alikuwepo kabla hata ya kuubwa kwa dunia infact ndio aliyeumba kila kitu Yesu ndio mungu mwenyezi
  2. MAKOSHNELI

    Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

    hata hao wa mwanza nao wana roho mbaya ila ukweli lazima usemwe kuwa wanawake wenu ni wauwaji ndiomaana hata nyie mnawakimbia sikuhz au kama una jiamini kaoe kwenu machame tuone
  3. MAKOSHNELI

    Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

    mbona mnajulikana kwa wizi na wanawake wenu wanajulikana kwa mauaji
  4. MAKOSHNELI

    Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

    kawaida ya watu wa kaskazini tujiulize maswali je kwanini huyu binti alikuwa hana baba?? au baba yake alishafariki akabaki na mama yake nini chanzo cha kifo cha baba yake?? je huyu binti sio mmachame??,au mama naye alikuwa analipa madhambi yake ya huko nyuma?? tukumbuke lile unalolipanda ndio...
  5. MAKOSHNELI

    Kwa wale mliowahi kufika Kongwa, ni jimbo choka mbaya kiasi kwamba Mbunge wake hafai kwa lolote!

    :p:p😁😁😁😁😁😁😁 paschal mayala ,Mayala kwetu kule ludewa maana yake ni njaa inawezekana ulizaliwa wakati wa njaaa😀 uwe na ujasiri speak out kaka usiogope
  6. MAKOSHNELI

    Kwa wale mliowahi kufika Kongwa, ni jimbo choka mbaya kiasi kwamba Mbunge wake hafai kwa lolote!

    i was joking kaka kuhusu uombaomba lakini hii ni vita ya ndani kwa ndani anayetafutwa sio ndugai yupo anayetakiwa ashushwe kabla ya 2025 na wewe unamjua na sishangai ndugai akawa katumwa kutibua hali ya hewa hivi kwa lengo la kuja kumuangunsha mtu fulani fulani hv na wewe unamjua but your...
  7. MAKOSHNELI

    Kwa wale mliowahi kufika Kongwa, ni jimbo choka mbaya kiasi kwamba Mbunge wake hafai kwa lolote!

    omba omba hawajawahi kuleta maendeleo hata siku moja wao wanawaza kuomba tu barabarani
  8. MAKOSHNELI

    I seek guidance please: Is Jesus 100% God or 100% Man?

    you're Contradicting Yourself as the bible says God is not the author of contradictions/confusion 1 Corinthians 14:33 now to contradict you effectively I will be putting also the verses you quote above with another verse 1. Numbers 23:19 “God is not a man, that He should lie, Nor a son of man...
  9. MAKOSHNELI

    I seek guidance please: Is Jesus 100% God or 100% Man?

    correct and to cement my point is, Jesus (Son of Men) his tasks started from the day he was born to the day he died on the cross mission accomplished!! the sonship started in marry's womb and ended on the cross, Jesus the God Almighty he is eternal God he has no Beginning either ending, that's...
  10. MAKOSHNELI

    I seek guidance please: Is Jesus 100% God or 100% Man?

    OK tatizo lilianzia bustan ya Eden wakati zambi ilipoingia kwenye kizazi cha binadamu kupitia hawa na adam (Hope you know the story) baada ya pale Mungu alikosana na mwanadamu lakini akaweka utaratibu wa kujipatanisha na wanadamu kupitia kafara ya damu na nyama,aliweka pia list na aina ya...
  11. MAKOSHNELI

    I seek guidance please: Is Jesus 100% God or 100% Man?

    Only one Jesus brother don't get confused by that man son of merry who was called Jesus that was just a mediator between man and God and he was called the son of God he took NAME,POWER, WISDOM,KNOWLEDGE from his Father JESUS and if we say Jesus is alive to this day we mean GOD ALMIGHTY, You...
  12. MAKOSHNELI

    I seek guidance please: Is Jesus 100% God or 100% Man?

    Umeuliza kwa usahihi zaidi kwamba je Yesu ni asilimia 100 MTU au asilimia 100 Mungu!,Jibu ni NDIO na HAPANA!!! sasa swali lako halitaki uwe biased na msimamo wa dini au dhehebu lako au ubishani wa kichwa chako wewe soma kwa makini ninachokwenda kukujibu halafu chunguza maandiko pia yanasemaje...
  13. MAKOSHNELI

    Ethiopia kwa sasa ni saratani iliyotambaa kote sehemu yake

    unaweza ukawa mtanzania na bado Tanzania usiijue na hutakaa uijue kamwe! sisi tupo tofauti na nchi zingine afrika we hushangai hatujapigana wenyewe kwa wenyewe for 50 yrs??,chaguzi zinakuja,zinafanyika watu wanaibiwa kura mshindi anatangazwa na mambo yanaendelea kama kawaida??,raisi anamaliza...
  14. MAKOSHNELI

    Ethiopia kwa sasa ni saratani iliyotambaa kote sehemu yake

    Ni ujinga wa waethiopia wenyewe kuruhusu vyama vya kikabila na kuwa na jeshi la kikabila walitakiwa wavunje huo ujinga tangia mwanzo waunde jeshi Moja tu la Ethiopia sio eti kabila fulani lina jeshi lake na Chama chake Cha ukombozi ndani ya nchi Moja ndio huu ujinga wa hao wanajiita watigray na...
  15. MAKOSHNELI

    Yesu Kristo kwa kifo chake alimrejeshea binadamu hali ya Kimungu, yaani akili

    Kifo cha Yesu pale msalabani ilikuwa ni ukombozi kwa wanadamu kutokana na ile dhambi liyoifanya ADAM pale bustan ya Eden wanadamu tulikombolewa kutoka kwenye laana ya dhambi iliyotokea bustani ya eden ,ukisoma vizuri agano la kale utaona baada ya Mwanadamu kufanya dhambi pale bustan ya eden...
  16. MAKOSHNELI

    Tuko tayari kwenda Israel kuilinda Iwapo tutahitajika

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] pale zuzu linapoamua kugandamana na ujinga wake bila kuangalia FACTS! nimekupa Maandiko hapo jibu kwa Maandiko sio hizi ngonjera zako hapa hazisaidii
  17. MAKOSHNELI

    Uhalisia wa taifa la Israeli

    umeandaki sahihi na mimi najiandaa kwa namna yangu kumpokea mwana kondoo ila haituzuii kuhoji uongo,Uzushi,udhalimu unaoendelea kwa kisingizio cha Dini au maandiko matakatifu,Hata biblia imesema tuyachunguze maandiko Yohana 5:39,na pia biblia imesema tuchunguze hao manabii,wachungaji na wahubiri...
Back
Top Bottom