Search results

  1. B

    Kiongozi wa makarani wa sensa ashughulikiwa

    Tuambie ni vituo vya wap na wapi,maana kama mimi kituo changu ni Iyunga na nimepewe kilakitu pamoja na makarani wengine.
  2. B

    Mama mzazi wa Mario Balotelli aosha sufuria wakati mtoto asuuza medali!!!!!!

    Wazungu bwana,Wana kila njia ya kumuonyesha mwafrika hana maana duniani.
  3. B

    Lema amvaa Ridhiwani Kikwete, Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

    WaTZ kweli tunakazi.. Tunapenda sana kuamini bila vidhibitisho.
  4. B

    Mchango wa HIARI kwa Dr. Ulimboka

    Hakuna mchango hapa.
  5. B

    Vodacom yahonga Wabunge Blackberry

    kwani spika anaingia kwenye kamati ndogo ndogo? Zaidi ya kamati ya uongozi?
  6. B

    RIPOTI MAALUMU:Upasuaji tishio kwa wajawazito-2

    Wanawake wengi wanaona fasheni kuzaa kwa upasuaji.
  7. B

    Mwenye CV ya mrembo Jackie Cliff

    ni mtoto wa kibena kutoka njombe,ni chotara wa kiburushi na mbena. Mama yake alikuwa dada wa kazi kwa mburushi huyo, alipopata ujauzito akarudishwa kwao njombe..
  8. B

    Umaskini wa watu mtwara nusura umtoe Lema machozi

    watu wa kusini ni wavivu by nature,,
  9. B

    Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Abandike ukoko wa ugali kwenye kwapa ungali bado moto.
  10. B

    Wanaume wa Tanzania hawaogi, Hawafui nguo za ndani, Hawapigi mswaki?

    Sioni sababu yakuwa na jazba kama wewe hunuki.
  11. B

    Mbunge Nkamia Anapepo?

    ulitakaje sasa? Kama wenyewe wamekubaliana nawatangazia.. Nan sasa mwenye pepo Mkamia au hao waandishi?
  12. B

    [USHAURI] Magari ya Nissan

    nahitaji kununua nissan liberty ila sijajua madhaifu kuhusu gari lenyewe japo kwa muonekano ni zuri sana. Naomba kwa anaelifahamu kwa undani anifahamishe kabla sijaingia mkenge!
  13. B

    Increase the speed of your operamini browser

    hata mimi imesema invalid. Natumia nokia c6
  14. B

    Taarifa kwa wasomaji wa gazeti Mwananchi.

    500 to 800... Tutasimama wengi kwa wauza magazeti tusome vichwa vya habari tu.
  15. B

    Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa

    Tena waandishi huwa wanaambiana wapi watoa bahasha na wapi hawatoi na sehemu wasizotoa bahasha huwa hawaziandiki habari za kutoka hapo, na sehemu kama ubalozini TRA na mashirika mengine yenye pesa huwa wanaenda wahariri maana huko wanajua kuna bahasha zilizotuna zaidi.
  16. B

    Fungu la mchicha limefikia ShT. 1000/=

    Njooni mbeya mchicha fungu 100,na aina za mboga mboga zote.. Karibun Mbeya.
  17. B

    Fungu la mchicha limefikia ShT. 1000/=

    Njooni mbey mchicha fungu 100,na aina za mboga mboga zote.. Karibun Mbeya.
  18. B

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Hakuna swali la msingi kama hili najua na wewe utasita kuwauliza wabunge wenzako. Swali lenyewe utekelezwaji wa matumizi ya mfuko wa jimbo? Na je huu mfuko upo kwa faida ya nani?
  19. B

    Nisaidieni jamani hii nyumba ndogo siielewi.

    unawezaje kupenda watu wawili kwa wakati mmoja. Najua kwamba mkeo naye ana kuzunguka maana unaonyesha wakat wote upo na huyo kimada, kwahyo naye anataka wakumfariji.
Back
Top Bottom