Search results

  1. M

    Idadi ya Watanzania waliotoa maoni muswada wa katiba hii hapa!

    Waziri Kombani na spika wanasema watanzania wote wamewakilishwa ipasavyo kutoa maoni! Binafsi najiuliza ni wangapi hao? Kama ni Dodoma yalipigwa Mabomu na wengi hawakushiriki. Kule zanzibar alienda mzee sita wakachanachana ule muswada mbele yake. Dar kwenyewe ziliibuka fujo,zomea zomea n.k...
  2. M

    ombi:kikwete tembelea arusha na moshi

    Leo nimethibitisha bila shaka kwamba wewe unayejiita Genious huna lolote zaidi ya kuwaza ngono zembe humu jamvini. Kama huo ndio mtizamo wa kimagamba basi mmekwisha! Nakushauri utubu na kumrudia muumba wako kabla hazijaja siku ambazo utalia na kusaga meno! Mungu akutie nguvu! AMEN!
  3. M

    Hatimaye wanafunzi wote wa UDOM kitivo cha sayansi na jamii wamerudishwa nyumbani

    We kweli Taburalasa na kama MAGAMBA yanakutegemea basi wote mmekwisha. Acha maneno ya vijiweni. Kila kinachotokea UDOM mnamtaja kamanda LEMA. Kama we ni genious weka picha hapa ikimuonesha kamanda akiwashawishi. Zero kabisa! Huna hoja! Shindwa shetani!
  4. M

    Hatimaye wanafunzi wote wa UDOM kitivo cha sayansi na jamii wamerudishwa nyumbani

    Inaonesha jinsi ulivyokuwa na mawazo ya KIMAGAMBA!Unatakiwa Uwe na Empathy! Acha unyama kiasi hiki! Utakufa bure! Ushindwe na Ulegee! Fataki! Shindwa Shetani!
  5. M

    Hatimaye wanafunzi wote wa UDOM kitivo cha sayansi na jamii wamerudishwa nyumbani

    Hivi kweli we ni genious brain? We ni Hopeless Taburalasa! Empty brain! Wasaidie dada acha ufataki!
  6. M

    Hatimaye wanafunzi wote wa UDOM kitivo cha sayansi na jamii wamerudishwa nyumbani

    Mkuu nimeiona thread yako. Kwa kiasi fulani umeongea ukweli ila umepotosha pia. Unapofahamisha chuo kikuu cha dodoma chafungwa upo sahihi. Tatizo ni moja. Mpaka sasa Kampasi za UDOM zilizofungwa ni mbili. Chuo cha Mawasiliano ya ya Computer(INFORMATICS) na leo kimefungwa chuo cha Sayansi ya...
  7. M

    Bodi ya Mikopo na tume ya kukusanya maoni.

    Wana JF vipo vitu ambavyo ukitumia muda wako mwingi kuvitafakari unakosa majibu. Hivi karibuni tulisikia kuundwa kwa Tume ya kukusanya maoni katika vyuo vikuu kama suluhisho kwa matatizo ya mikopo kwa wanafunzi. Ninachojiuliza haya maoni yanakusanywa wapi? Mbona kimya? Mwisho wa hii tume nadhani...
  8. M

  9. M

    Bodi ya mikopo na tume ya kukusanya maoni!

    Wana JF! hii bodi ya mikopo hivi kweli bado tunaihitaji? Faida zake ni zipi? Halafu hii tume iliyoundwa maoni inayakusanyia wapi? Mbona wasomi tunapigika? Wana jamvi naomba tuwashauri hawa bodi au nalo ni gamba livuliwe? Nani wa kulivua...!
Back
Top Bottom