Search results

  1. msumbufu

    Kikwete kajenga barabara nyingi kuliko awamu zote tatu?

    wakuu kikawaida kwa wale ma-surveyor mtanisaidia kikawaida kabla ya ujenzi wa barbara infanyika survey ambayo itaamua barabara ijengwe kupitia wapi na mahala husika, na hizo survey huchukuwa hata miaka kwa hapa kwetu ila kikawaida ni mwaka mmoja kutegemeana na urefu na mazingira inapopita...
  2. msumbufu

    Jk--- nitachafuka men

    sijajua kama alihusika moja kwa moja au alishtukizwa kama alijua atapanda mti au miti ndivyo tufanyavyo? koleo limeshikwa huku umepiga magoti! kwani unakwamua gari kwenye tope au?
  3. msumbufu

    Mwanaume na nguo za kubana.

    kaka huyo hana madhara ni nyuki wa mashineni tuu.
  4. msumbufu

    Nimeamua kujiunga na CCM

    sidhani kama hawa jamaa yaani watawala hasa kwa huku bara wanania ya kuliendeleza taifa, maana ni kulumbana tuu na kutafuta kujisafii tuu huku tuumiao ni sisi wadogo huku chini. Kaka TUMAINI LETU wewe elekea au njoo popote pale ila uwe na lengo la kuendeleza nchi yako na si kwenda huko kulijaza...
  5. msumbufu

    Mjomba unalijua hili?

    Ki-ukweli kaka wengi wanasema mengi kuhusu tabasamu lako na uvivu wako katika kukemea na kufuatilia bila kumuachia pumzi kwa yule unaye mbana, mimi nimefahamu sasa kuwa vyote hivyo ni kutokana na wewe kuwa ndivyo ulivyo nothing to change. kwahiyo tuahidi tusitegemee lingine ilitujue huna jipya...
  6. msumbufu

    kwa kaka zangu wa JF....

    kwa wakatii huu unasema hivyo, mlivyo na roho nyepesi ukisimuliwa tu even ni joks unaanza kuweka fikra za kutaka mwenye namna gani ya ukweli mimi mawapaga tuu ila wakija na vyeti vyao na ruhusa kutoka kwa manzi wao (its official true)
  7. msumbufu

    Nafasi za kazi serikalini (10 may 2011)

    mpaka kutangazwa hivyo inamaana wakubwa hawataingia na makoti wakati wa interview? maana wakati wa interview majina yanatokea kwenye mifuko ya makoti.
  8. msumbufu

    CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma

    ningependa kama Mjomba amejivua gamba basi na vitu kama totozzzizo aziache pia au?
  9. msumbufu

    Binti wa Rostam anasoma shule ada US$ 200000 kwa mwaka

    what so special from her! her dad didn't even educated.
Back
Top Bottom