Search results

  1. M

    Mambo haya yanaikwamisha CHADEMA, Maamuzi Magumu yanatakiwa Kabla ya 2015

    Inawezekana ukawa na hoja ya msingi ila umekosea kuiwakilisha... Ungefanya utafiti wa kutosha sana hasa kwenye mambo ya msingi kwa mfano wabunge wa viti maalumu unadai wanatoka Kilimanjaro takwimu unazo? Unajua utaratibu uliotumika kuwapata wabunge hao? Vipi uhakika ulionao kuhusu Muasisi wetu...
  2. M

    Nape atasafisha chama alichokuwa anakichafua?

    Hizi ni dalili za mfa maji haachi kutapatapa
  3. M

    EL; RA & AC Wamtunishia Misuli JK: Wagoma Kujibu Barua

    Nilisikia jana yalikuwa yafanyike Arusha kwa kushirikisha wilaya tatu monduli,Arusha Vijijini na Meru yalikoishia sijui kwani yalikuwa yaishie Makao Makuu ya CCM Mkoa
  4. M

    CHADEMA sasa ndicho chama tawala

    Kwa maelezo haya unaonyesha ni jinsi gani akili yako ilivyoganda,....harakati zote duniani zimeanzia kwa wasomi hasa wanavyuo na wafanyakazi....kama unaona CDM wanahangaika huko subiri uone moto wa wasomi upoje ndipo utakapoona wakurugenzi na wakuu wa mikoa si ishu kubwa sana ya CDM kwani katiba...
  5. M

    LHRC: Wabunge upinzani wafunika CCM; Makinda dhaifu!

    Huo ni ukweli mtupu nilikuwa nafuatilia kupia runinga siku hiyo na hapa niwapongeze wabunge wote waliopiga kura ya ndiyo akiwemo waziri mkuu ingawa maadam spika alijifanya hajasikia. kikubwa hapa ni wananchi wajue kuwa wabunge na hata madiwani wa ccm hawajui walitendalo na wapo kwa maslahi yao...
  6. M

    Lowassa, Rostam sasa kuwasha moto

    Hakuna staili wanayowezakuja nayo kwa Watanzania wa hiki kizazi cha digital, mbinu za analog zimepitwa na wakati ndiyo maana wamekuja na kauli mbiu ambayo hata mtoto wa chekechea anajua, ukimuuliza nani huwa anavua gamba, atakuambia ni nyoka... na ukimuuliza akishajivua gamba anabadilika kuwa...
Back
Top Bottom