Statistician needed to play a key role in secondary analysis of data and Prepare statistical tables and analysis for all secondary analysis performed by The team!! Call or Sms +255 763 790 448!
Punguza kuhudhuria kumbi za starehe na kuzunguka na wadada zetu, pengine watakuona wa maana hAPA UMENENA...ILA NAE WALEWALE TU WANAOTAFUTA NJIA ZA KUJINUFAISHA... MWANA SI HASA HUYU. IN SHORT MI NAONA HAFAI KUA KIONGOZI
Mimi nina mtazamo tofauti:
Kwanza, kupata ugonjwa wa akili hakuchagui umri. mtu anaweza kupata tatizo hilo wakati wowote. linaweza kuwa kwa sababu nyingi kama brain trauma, meningitis na nyingine nyingi.
Tatizo ninaloliona hapa ni kua 1. watanzania akili zetu zina imani za kishirikina...
Habari Za Jioni wana JF.
Naomba mawazo yenu ktk hili. Hivi, katika mahusiano mwanaume kumpa mwanamke hela ina maana gani???? hasa wanaume naomba mnisaidie. Je ukiwa kama mwanaume, una girlfriend ambaye kipato chake na chako vinafanana utampa hela at any point???
kama ndio kwanini
kama hapana...
Mwanaume Love garden Bwana..Nywele za kifua zina raha yake. mwanaume asipokua na ndevu hapendezi nitamtofautishaje na mimi sasa???? kunako mahabbah kuna rahha ya kuchezea hiyo kitu bhanna..inaleta usingizi mtamuuuuuuuuu
EMT!! awali ya yote naomba nikushukuru kwa muda wako.asante kwa kupoteza muda mwingi kwa ajili yangu. i real appreciate.
1.Mwnyewe anayajua sana, tulishayaongelea sana especially when discussing the progress of our relationship. all the time it is face to face. i used a very polite and even...
Jamani wana JF nashukuruni kwa ushauri na maoni yenu. mmenisaidia kwanza kujitambua, pili, kuyaelewa mahusiano, tatu kujua nilipokosea na ninapoendelea kukosea, na finally imenisaidia kuanza kuangalia upya mahusiano niliyo nayo..natamani ningem PM kila mmoja kuexpress shukrani ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.