Search results

  1. G

    Wanawake mmekuwaje skuhizi??????????????

    WW Edson, hatujawahi ongea mambo ya marriage hata siku moja, utaongeaje kuoana wakati hata hamjuani wala hamjawahi kuonana? Mii nilijua ni urafiki tuu, ila nilichogundua yule mdada alikuwa na pepo wa ngono. Off course the next day akawa anasema her x-boyfriend alikuwa hajampa for a long time na...
  2. G

    Wanawake mmekuwaje skuhizi??????????????

    Umesema kweli kabisa mtoa mada. Mimi yameshawahi kunikuta kama hayo hayo. I had a friend tulikutana naye kwenye hizi social networks, akaniomba namba nikijua ni mtu serious. Cku moja akaniambia yuko Dar kama vipi tuonane, akaja nikamkaribisha kwangu, jamani huyo mdada alivyovaa niliishiwa nguvu...
  3. G

    Tafakuri nzito kwa CCM na dola

    NIMEFUATILIA KWA MAKINI YANAYOENDELEA HAPA NCHINI. HIVI CHAMA CHA MAGAMBA KIMESHATAFAKARI MAMBO YAFUATAYO? Hivi hawaelewi kuwa 2015 wapiganaji wa kweli tukichukua nchi ni watu wangapi wataihama nchi hii kwa kuogopa kukamatwa kwa uhalifu wa namna mbali mbali? Mahakama ya The Hague mbona itajaa...
  4. G

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    Duh, CCM wamefilisika kifikra. Yaani ni maskini mpaka wanatia huruma. Wanadhani wanakomoa kumbe they are sowing the seed of their own destruction. Big up PEOPLEEEEES POWERRRRRR
  5. G

    Lema awasha moto tena chuo cha uhasibu

    Bila shaka Lema amedhihirisha kwa matendo kuwa hakugombea kwa bahati mbaya, alijua anachokwenda kuwafanyia wana A Town. Nimerecall baadhi tu ya mambo e.g. kitendo cha kuwasomesha wanafunzi wasiojiweza zaidi ya 400 na kuandaa mpango endelevu wa kuwasaidia na mengine mengi tuu. Pia wananchi...
  6. G

    Dr. Slaa amsimamisha kazi Katibu wa CHADEMA Nzega

    Excellent!!!!!!!!!!!!!!!! Hiyo ndiyo falsafa ya nguvu ya umma, ili tusije tukawa na viongozi miungu watu kama mapacha watatu
  7. G

    Visasi vya JK kwa watu wa Arusha? Ahamishia mkutano wa wakuu wa EAC Dar

    Jamani mimi siwalaumu ccm, huo ndio uwezo wao wa kufikiri na wa kutenda umeishia hapo. Jk anasahau kuwa dhana ya visasi cku hizi hailipi anaiga tu. Matokeo yake ndo yaliyowakuta mwaka jana, walipigwa danganya toto na wananchi wakati wa kampeni kwa kuweka bendera za ccm kwenye maeneo yao ya...
Back
Top Bottom