Search results

  1. Power G

    Dhahabu kwisha Buzwagi, Kahama, mgodi kufungwa rasmi.

    Ripoti ya Prof. Mruma ilituaminisha kwamba Buzwagi ni kati ya migodi yenye dhahabu nyingi sana duniani, iweje leo unafungwa kwa kuishiwa madini? Mlipoambiwa zile ripoti zilikuwa za kupikwa hamkuamini!
  2. Power G

    Dhambi ya Membe ni kulishwa maneno, CCM tuisome tena katiba yetu na kuielewa

    Mkuu demokrasia ndani ya chama kikongwe CCM imebaki nadharia tu. Kugombea urais kumpinga rais aliyeponi uhaini!!
  3. Power G

    MEMBE ALONGA: Ashangazwa na namna alivyoitwa na Bashiru, amuita Musiba mwongo, mzushi na mfitini

    Haingii akilini, chama kinachojinasibu kwa demokrasia iliyokomaa (ccm), kumuona mtu mwenye nia ya urais kama adui! Kama huu si udikteta ni nini??
  4. Power G

    Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Kwa katiba ipi mkuu?? Katiba iliyopo kwa sasa kamwe haiwezi kuwapa wapinzani dola.
  5. Power G

    Gari aina ya Carina TI inauzwa

    Picha tafadhali
  6. Power G

    Nimepata eneo zuri la biashara natafuta mdhamini, maana kazi wala kibarua sijapata

    Mkuu tafuta mtu wa kuingis naye ubia, siyo wa kukusaidia
  7. Power G

    Gari aina ya Carina TI inauzwa

    Mkuu kama unaweza kuchukua 6 njoo inbox tufanye biashara
  8. Power G

    Ukimkuta mwanamke si bikra usimuamini hata kidogo

    Kwani siku hizi bado kuna mabikra?
  9. Power G

    Makinikia: Nilisema..Na ninasema!

    Sina uhakika kama hata sisi wenyewe kama taifa tuna confidence na ushahidi wetu. Nadhani ndiyo maana tunasita kwenda mahakamani kuhofia kuvuliwa nguo.
  10. Power G

    Uhalisia wa Maisha mitaani na story au Mazungumzo JF ni Kaskazini na Kusini

    Ni kweli mkuu, ukienda tofauti nao utaitwa mchochezi, mara msaliti na mkosa uzalendo
  11. Power G

    Zitto: Serikali imekopa dola Mil 500 mwezi August 2017 kimya kimya na wanafanya siri umma usijue

    Mkuu, kwani huna habari tumeshajitoa juzi juzi tu kwenye hiyo mikataba ya uwazi na uwajibikaji?
  12. Power G

    TRA yatoboa siri watu 56,000 kuwania nafasi 400 za kazi

    Ajabu ni kwamba wakati huo huo serikali inawafukuza wawekezaji kama Acacia ambao wana mchango mkubwa kwa ajira katika nchi hii - simply kwa ajili ya matakwa ya kisiasa. Tujiulize hao wafanyakazi 2000 wanaoachishwa na Acacia kwa sasa nyuma yao kuna watanzania wangapi wanaowategemea direct na...
  13. Power G

    Kauli ya Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige baada ya ACACIA kutangaza kupunguza Shughuli zake katika mgodi wa Bulyanhulu

    Nadhani hii ndiyo mikakati ya serikali yetu ya kuongeza ajira nchini.
  14. Power G

    Hoja ya Bombadier kutua Bungeni

    Mkuu, kwani unadhani makinikia ndiyo hatutalipa? Bora tujiandae kisaikolojia tu
  15. Power G

    Rais Magufuli aitaka TAKUKURU kuwachukulia hatua wote wanaojihusisha na rushwa pale wanapokuwa na ushahidi

    Pia ni vema awakamate Acacia anaodai walimpelekea rushwa ya billioni 300 ya kusadikika (kwa mujibu wa Polepole). Au labda kwa hili anahitaji ushahidi upi iwapo ni yeye aliyepelekewa hiyo rushwa? Au walimpelekea akiwa hawaoni?
  16. Power G

    Kama ningepata nafasi ya kuwa kwenye timu ya majadiliano na Barrick ningechangia mawazo haya

    Mtihani mkubwa ni sisi ku-prove uhalali wa madai yetu kwa kutumia data za kupika. Cha muhimu kama uko fair ni kupendekeza sampling na analysis kwanza ya yale makontena yaliyoko bandarini. Baada ya hapo tutakuwa na uhalali wa kudai kile tunachodai. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Power G

    Zitto: Sasa mlitaka Lissu akahoji matumizi mabaya ya rais Chooni, Shimoni au chumbani au kazi ya Mbunge ni nini?

    Kwenye makinikia tumeshaangukia pua mkuu. Ni maumivu kwa mara nyingine. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Power G

    Musukuma: Kuna wanasiasa wameahidiwa 10% kuweka presha ndege kuzuiwa

    Ni maajabu sana. Wakati msemaji wa serikali amekiri kuwa ndege imeshikiliwa na wanaotudai, Msukuma yeye anatoka usingizini na kudai kuwa bado iko kwenye matengenezo!! Tumuamini nani sasa???
  19. Power G

    Ishu ya bombardier haiwezi kubadilisha upepo

    Mkuu, madai hewa nayo ni madai ya kukaa unayafikiria? Subiri kama tutalipwa hata senti tano katika hicho kiasi unachojidandanya tunawadai Acacia. Ni mjinga peke yake na mchovu wa kushughulisha ubongo wake ndiye anaweza kuwa na matumaini na imani kuwa Acacia watatulipa.
Back
Top Bottom