Mmmh! Laptops tena? Mbona wabongo wabinafsi hivyo. Kwa nini wasilalamikie kitu kingine kwa manufaa ya wengi? Waalimu shule za misingi na sekondari hakuna, vitendeakazi hakuna na kama vipo basi hafifu na havitoshelezi. Matangazo ya HakiElimu yawakuze basi, Laptops...laptops!!! Mnunue mkianza...
Hivi hawa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu huwa wanazingatia vigezo vya wanaotakiwa kupata loan (mkopo) au vipi? Mbona failures wengi tu wana mkopo wakati wenye two zao wamechakachuliwa! Mi nakosa wa kumlaumu kabisa,ni Bodi au Serikali?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.