Search results

  1. J

    Kamanda Kamuhunda awageuka wakubwa...

    Yana mwisho haya
  2. J

    KATIBU MKUU WA CCM; Mkorofi, Mgomvi, Mpiga kelele msibani, Ajirekebishe!

    Ah! Nimecheka sana, kweli JF juna ma-thinkers, yaani sikudhani kuwa ule ukaaji ulikuwa ni wa kutegesha mtu amkanyage ili ngumi ziwake!
  3. J

    Mwakyembe apanda treni kwenda Bungeni Dodoma

    Nisomesoma kwa masikitiko baadhi ya watu wakibeza hatua ya Mwakyembe kupanda treni. Wengine wamesema anatafuta urais! Waziri kupanda treni, ambayo wanapanda makwabwela, ni hatua ya kupigiwa mfano maana ataona shida zinazowakabili. Hata akilizungumza anakuwa na picha halisi! Fikiria kama mawaziri...
  4. J

    Waraka mahususi kwa viongozi wa dini wa Tanzania: Kuweni macho na wanasiasa wenzangu, Msigwa

    Ni kama vile Msigwa ulikwa moyoni mwangu: naichukia sana hii tabia ya kanisa kupenda kuwaalika viongozi wa siasa kwenye shughuli za kiroho. Na X-Masi inakuja, utasikia...Waziri...kawaasa ....wakati akihutubia kwenye ibada ya XMasi! Lakini, hata wenzetu wa ISLAM, nao utasikia mgeni rasmi wa Idd...
  5. J

    Mkapa ainanga serikali ya Kikwete

    Nadhani kuna watu wajinga tu kwa kuzaliwa: sasa mtu kusema kwa sisi ombaomba ukatoliki au dini yake inaingiaje hapo? Watu hawa ndio watachelewesha ukombozi. Na ukombozi ukija tutaanza kuwanyonga wao kwanza maana ni nuisance!
  6. J

    Jaji Mkuu Tanzania awania nafasi ya Ocampo

    Tanzania’s Chief Justice Mohamed Chande Othman may be the man to prosecute the six Kenyans accused of bearing the greatest responsibility for the post election violence. He is among four people seeking to succeed outgoing ICC Prosecutor Luis Moreno Ocampo. Mr Chande is among the four...
  7. J

    TBC1 Inaipendelea CHADEMA na Kuihujumu CCM?

    Katika list ya vitu vinavyohitaji kukombolewa kutoka CCM ni pamoja na: 1. TBC 2. BAKWATA 3. Polisi 4. Usalama wa Taifa 5. Gazeti la Habarileo na Daily News 6. Dr. John Magufuli
  8. J

    Magufuli: Lipumba amevunja sheria kupanda punda kwenye lami

    Pamoja na usafi wako Magufuli, hakuna Mtanzania atayekusamehe kwa kuuza nyumba za serikali (ukiwa waziri wa nyumba) na sasa viongozi wapya wanatumbua hotelini. Sikuwahi kuelewa logic yako kuwa mnauza nyumba ambazo hata hivyo hazitoshi halafu mnajenga nyingine baada ya muda mrefu!
  9. J

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    Huyu Jairo naye tumbaku kivyake, yaani ukusanye mahela yote hayo ku-lobby ili bajeti hewa ipite. Kwanini usitumie juhudi kama hizo umeme uwake?
  10. J

    Jeeeee, wakiristo wa Tanganyika watakubali Mkiristo wa Kutoka Zanzibar Kugombea urais 2015??

    Ni upuuzi kuanza kumfikiria rais ajaye kwa dini yake. WaTZ hawachagui shehe, padiri au Askofu, wanacgagua kiongozi wa nchi anayeongozwa na katiba. Ndugu Prophet unafanya makosa kudhani kuwa dini ya mtu ndio inayoongoza, unaangukia kwenye mtego wa CCM na wajinga wengine ambao nia yao ni kuivuruga...
  11. J

    Lema 'pasua kichwa' CHADEMA

    Hivi kuna watu bado wanasoma UHURU? kweli tupo wengi humu ndani!
  12. J

    Taarifa ya Lissu kwa vyombo vya habari kuhusu Spika wa Bunge

    CCM walipiga hesabu vibaya kumpa Makinda kazi ya Uspika. Bunge hili limejaa wanaharakati wa mabadiliko wakati Spika ni Mhafidhina (Conservative). Walipaswa kumpa kazi hii mtu moderate au mwanarakati kama Sitta. Hata hivyo, ni wakati mzuri kwa upinzani na wapenda mabadiliko kuonyesha udhaifu huo...
  13. J

    Nape na posho za Wabunge

    Hii inadhitibisha kuwa CDM ni chama Kiongozi. Uamuzi wa Zito umeasha mjadala wa kitaifa na kuongeza 'visibility' yao kuliko CCM. Na wananchi wa kawaida wanaona kuwa matendo ya CDM yana nia nzuri ya kupunguza matumizi ya serikali na kuongeza fedha za maendeleo.
  14. J

    CCM Arusha kwatifuka: Mary Chatanda akataliwa; yeye asema "sing'oki"

    CCM hawana vurugu kabisa, yaani James na Chatanda lazima ni CDM!
  15. J

    POSHO: Bunge lamjibu Zitto Kabwe; atoa msimamo wake

    Wazo la Zitto ni zuri lakini CCM wameligeuza propaganda. Lakini hata hivyo, Zito amefanikiwa kuibua mjadala wa jinsi serikali inavyopoteza hela nyingi kwenye posho za vikao. Kwa mfano tunaambiwa ukiondoa posho kwa wafanyakazi wote wa serikali unapata bilioni 900. Hizi sio pesa kidogo. Tunaweza...
  16. J

    Kamanda Nzowa ajitokeza, ataja mchungaji anayejihususha na dawa za kulevya

    Huu ni udhaifu mkubwa kwa utawala wa JK. Yaani katishiwa nyau kaanza kutaja majina, tena ya wa-nigeria!, Aliyetaja mwenyewe hana moral authority (udhu) maana na yeye katuhumiwa kumbambikia mtu kesi ya madawa--mtoto wa Mengi!
  17. J

    Zitto akamatwa na polisi mjini Singida

    Walimfunga Mandela, wakamfunga na Jomo Kenyatta lakini Uhuru ukapatikana. Gereza halijawahi kuzuia 'uhuru' mahali popote pale. Wametia mafuta katika moto unaowaka. Keep it up Mbowe, Zitto, Lissu, na Sakaya!
  18. J

    Ni aibu kubwa mwanasiasa kujidhalilisha kiasi hiki...

    Mtakumbuka kuwa ni huyu Dovutwa aliyesema kitu cha kwanza akichanguliwa kuwa rais ni kujenga kiwanda cha silaha maana hili ndio tatizo kubwa la waTZ! Huyu ni mchekeshaji tu
  19. J

    Ngawaiya: CHADEMA wanapewa pesa na Marekani kuchochea fujo

    Hizi ni porojo kama porojo nyingine tu. Kwani hawezi kutaja mpaka sasa wamepokea kiasi gani? zimepitia benki gani? Tusikubali tugeuzwe taifa la tetesi na majungu. Yaani mtu anaamka tu na kuanza kuhisi vitu kama yuko ndotoni! Mara CCM wanalindwa na majini, mara CDM wamepewa hela waandamane...
  20. J

    Nakumbuka jinsi JK alivyonichekesha

    Huyu ndiye 'muungwana' tuliyempa kazi ya kuendesha nchi! Hata hajui kwanini waTZ ni maskini
Back
Top Bottom