Search results

  1. grndossy

    Kauli za Lissu na Lipumba ni changamoto sana kwa UKAWA

    Nilikuwa namheshimu sana Prof. Lipumba lakini kutokana na clip hii nimemtoa katika kundi la watu wa maana kabisa. Anasimama anazungumza kama mtu ambaye hakwenda shule kabisa kuchochea udini kwa sababu tu anataka kuwa Rais mwaka 2015? Kwa msingi wa clip hii CUF ni chama cha kiislamu bila shaka...
  2. grndossy

    Zaidi ya watu 20 wafa ajalini Rufiji

    Acheni hizo washikaji hayo mambo ya ukabila na uzone yanaanzia wapi sasa? Hapa tuna msiba mzito umetupata nyie mnaleta mzaha hapa!!!! Poleni jamani wote mliopatwa na msiba huu mkubwa Mungu mwenyewe awape faraja ya kweli. Madereva tuwe makini hasa kuweka alama tunapokuwa tumepata brerakdown...
  3. grndossy

    Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

    Haya ndiyo matatizo ya wanasiasa uchwara ya kuamini kile anachokitaka ni lazima kifanyike hivyo hivyo kuklitokea mawazo tofauti anasema demokrasia imebakwa. Hivi hapa anayebaka demokrasia ni yupi ni huyu asyetaka wazo tofauti na la kwake na likitokea anabeba mabegi anakimbia au ni yule aliye...
  4. grndossy

    Kama mke hazai ni vema kuachana naye?

    Miaka saba bado mapema mkuu. Ndoa inahitaji upendo, uvumilivu na kubebeana mizigo.kama wengi walivyoshauri ni vema wote mwende hospitali kupima mpate ushauri wa wataalamu. Pia na muhimu mwamini Mungu nenda kwenye maombi na mke wako muombewe inaweza kuwa tatizo ni jambo dogo sana. Inawezekana...
  5. grndossy

    Hili kanisa vipi aisee...eti waumini waruhusiwa kuingia uchi wa mnyama!!!????

    Hizi nyakati za mwisho. Aliye juu ya dari asishuke kwani ni jioni sana jua linakaribia kuzama. Roho ya mpinga Kristo iko kazini wakiwatumia manabii wa uongo kama hawa. Mpendwa kaa macho sio kila huduma yatoka kwa Mungu nyingine zatoka kwa yule adui.
  6. grndossy

    Yanahitajika Maelezo ya Kina Billioni 8.2 Kukarabati Bunge tu?

    Matatizo ya kula bila kunawa haya.
  7. grndossy

    Nilichomshauri DK WILBROAD SLAA nilipokutana nae

    Hizi excuse za timu zinaingia uwanjani kucheza mpira moja ikishindwa inasingizia uwanja ulikuwa na matope ooh sijui ulikuwa ma mabonde kwani wapinzani wao waliwatoa wakaenda kuwafungia kwenye uwanja mwingine? Tufike mhali ukishindwa ukubali mwenzako kakuzidi ujanja tuache visingizio. Kwani hilo...
  8. grndossy

    Nilichomshauri DK WILBROAD SLAA nilipokutana nae

    Therefore they are fighting the wrong battle!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  9. grndossy

    Nilichomshauri DK WILBROAD SLAA nilipokutana nae

    Kwa nini hao 30%-40% wanaojitokeza wasichague CDM waichague CCM? Kikulacho ki nguoni mwako!!!!!!!!!!!!!!!
  10. grndossy

    Ajira: Secretary Anahitajika

    Anatakiwa haraka binti mwenye utaalamu wa computer hasa Microsoft word, Excel, graphic design n.k. Awe na uzoefu wa kutosha katika kutengeneza kadi za matukio mbalimbali, vitambulisho vya aina mbalimbali, matangazo n.k. Awe na umri kati ya miaka 18 na 25; awe na kauli nzuri kwa wateja, aweze...
  11. grndossy

    Kinachoendelea Kigoma "KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE".

    Wanadamu bwana kaazi kweli kweli. Si ndio ninyi mlikuwa mnasifia Zitto kwa nguvu zote na kumwita kamanda juzi juzi tu hapa? Leo Zitto msaliti tena!!!!! Ehe eheee hii kaazi kwelikweli. Mbowe na Slaa na nyie jiandaeni jamani midomo hii inayowapamba leo ndio itakayowavua nguo kesho. Unajua...
  12. grndossy

    Moshi foleni ni noma

    Hivi mshamba ni yupi? Anayethamini kwao au asiyethamini kwao? Leo unaona kwenda kwenu ni ushamba? Kaaaazi kweli kweli!!!!!!!!!
  13. grndossy

    Msigwa alisomea wapi uchungaji?

    Hapa ndipo mnaponishangaza wana Jf. Watu mnajaa mapovu ghafla huwa mnakula sabuni? Swali limeulizwa jibu swali usitukane au kubeza. Yeye kwa kuwa anamfahamu ndio maana anauliza kama kuna mtu ana taarifa tofauti na alizo nazo. Hata baada ya msg hii utaona wengine watakurupuka na matusi. Hii...
  14. grndossy

    Dr. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria

    Mpaka hili vumbi la Zito lipite tutasikia mengi. Aliowaonaje wakazi wa Kasulu? Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  15. grndossy

    Rais Kikwete amteua Dr. Migiro kuwa mbunge

    Unajua watu wengine wamezoea vijiwe vya kahawa humu wako kwa bahati mbaya tu.
  16. grndossy

    Mbinu za James Millya kumchafua Mh. Sendeka zagonga Mwamba

    Mimi nafikiri hatumtendei haki Mh. Ole Sendeka kwa kumtukana. Yeye hajaleta huo uzi aliyeleta ni mwingine. Halafu hivi hakuna njia ya kistaarabu ya kujibu hoja ambayo si matusi? Hebu fikiri ni baba yako angekuwa anatukanwa hivi au ni kakako au ndugu yako yoyote ungejisikiaje? Bado naamini...
  17. grndossy

    Mwanamke: Vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanaume asikuone una mvuto pamoja na uzuri wako...

    This is not fair. Hapendi kunuka mdomo inawezekana ni maradhi.
  18. grndossy

    Mwanamke: Vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanaume asikuone una mvuto pamoja na uzuri wako...

    Jamani mnatuonea. Inawezekana na hao uliokutana nao tu sio wote.
  19. grndossy

    Kinana awasili Nzega; Dk. Kigwangala agawa pikipiki 9 kwa kata 9 za CCM

    Angalia akili zenu zilivyo. Hoja ya msingi mmeiacha mmeanza kuingilia mambo ya familia za watu. Nyie Babake na Kingwanwala kawashitakia au kawaomba muwe mdomo wake wa kumsemea? Kama ana matatizo na mwanaye si ya kwao? Nyie yanawahusu nini? Je hata kama lilikuwapo tatizo na wameshamalizana nyie...
  20. grndossy

    Rais Kikwete akiwa ziarani mkoani Mwanza pamoja na Wabunge wa CHADEMA

    Nakusamehe bure maana ndio mwisho wa uwezo wako wa kuelewa.
Back
Top Bottom