Search results

  1. humphg

    CHADEMA na CCM: Nani anajua kutumia pesa za kodi ili kujenga nchi yetu?

    Kikwete na serikali yake ndiyo waliotufikisha hapa, Tufanyeje, waondoke madarakan.
  2. humphg

    Nape na Mwigulu Nchemba wanaipenda saana CHADEMA

    Si lazima saana CDM kufuata style za siasa za CCM! ila CCM huiga vingi sana toka CDM! Hiyo waache wao wajitangaze ktk TV sisi man to man nawanchi kwa style yetu ya mikutano ya ana kwa ana na wadau!! Kimsingi hii hoja inakuja pale CCM hawezi style ya CDM na kujaribu kupinga kwa gharama yoyote...
  3. humphg

    Upinzani Gesi ni mali ya Taifa Acheni Kuwalaghai wana Kusini Kisiasa

    Wee kweli ni pakacha! Vitu vingine hata kama hujui kusoma maandishi! Basi hata kuona PICHA na kutoa maamuzi sahihi huwezi!!? Angalia kahama, Geita, wanatoa madini kibao! lakini wao masikini wa kutupwa! Mtwara wameshituka na Gas yasiwatokee kama yaliyowakuta wenzao mikoa mingine! Wanadai...
  4. humphg

    Habari Leo: CHADEMA kuingia msituni wakishindwa uchaguzi wa 2015

    Mtoa mada kakurupuka!! Hakutumia AKILI kufikiria kuwa watanzania wanauelewa mkubwa sana kuliko hata yeye!!! Hii ni akili FINYU!! tunahitaji mada za kujadili za kuleta tija!! Sio kama hizi, Hamia kwenu FB huku umevamia!!
  5. humphg

    Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

    Hakuna mtandao wa URAIS CDM, na usijifanye unashangaa! unaelewa fika makundi yako CCM, pia angalia sana kushughulika data za vijiweni ambazo nhazina PROOF yoyote!! sasa hivi ni Ulimwengu wa DIJITALI ukisema kitu toa ushahidi pia! sio kuongea tu kama mvuta bangi kijiweni! story kupoteza jua...
  6. humphg

    Ephraim Kibonde asema kutotaja walioficha hela ni ujinga

    Swali la kizushi::: Majina tupewayo na wazai wetu tuzaliwapo yanawezakuwa na ATHARI zozote katika makuzi ya mtoto!!?? kwa mfano majina yafuatayo!: 1. Kibonde ....... 2. Nyani ngabu ..... etc. Naomba mtazamo wako hasa kwa upande wa makuzu ktk nyanja...
  7. humphg

    Ephraim Kibonde asema kutotaja walioficha hela ni ujinga

    Mjinga we kama kibonde! mmekutana pipa na mfuniko! Kwanza jina "Kibonde" tu! maana yake huna akili na uwezo wa kufikiri mambo kama wengine, wa mwisho kabisaa! pia na wasiwasi na elimu yenu! wananchi tunalipa kodi selikali ili iweze kulinda mali zetu watanzania! Kama malizetu zanaibwa na...
  8. humphg

    CCM yajificha,CHADEMA yajifichua

    Kuungurum hadharani usifanye mchezo!!! bora CDM watu hujitokeza wenyewe ktk mkutano! ila wenzetu nyinyiem huingia gharama kubwa sana kulipa watu na kuwasafirisha ili kujaza uwanja waonekane wapendwa na wengi kumbe wa kukodi! sasa kulianzisha kujibu nchi nzima gharama yake hawana sasaivi! ni kama...
  9. humphg

    Umaarufu wa rais Kikwete waporomoka - REPOA

    We Mtoto! Ukikua utajua majukumu ya mzazi!! Mara nyingi wazazi FAKE (kama JK) hawajui majukumu yao kijamii, ama huyakimbia au kuyatosa kabisaa! Leo uchumi wetu ovyo! maisha duni! bidhaa bei juuu!! na huyo unayemwita mzazi yupo hapohapo anangalia tu desperately! Kuitwa mzazi fake anastahili 100%...
  10. humphg

    Umaarufu wa rais Kikwete waporomoka - REPOA

    We Mzee! nadhani una MARALIA ya kichwa! nakushauri wahi hospital katibiwe! ila naona uaminifu wako wa MIUJIZA kama mwanamaombi unajipa moyo kwa 71% fake!! na kuzikana takwimu huria kihalisia! Nyinyiem ni sikio la kufa halina dawaa!! Ni bora ukalijua hilo mapema na kuanza kulifanyia kazi mapema...
  11. humphg

    Facts juu ya uongozi wa CHADEMA vyuo vikuu; kusema uongo ni kazi wanayoiweza...

    we Naumbu! Kama ni udini uko ccm tena mkali sana! Mdizi kasema kweli najua Hupendi ila ndo ukweli wenyewe! Pia hili ni tatizo la manjuka na democrasia ya kuongea! "even a fool is allowed to discuss!!" CCM acheni kuzushia wengine udini na ukabila wakati kumbe ninyi ndio number 1 wa hayo...
  12. humphg

    Wanaume wakirudi kutoka hija wanaitwa alhaji ..wanawake??

    :cheer2: Unajua unachokinena!!!!!?
  13. humphg

    Bashe amlipua Membe

    :target: Kilichobaki ni UHURU wa manyani! chochote, wakati wowote yanaBEBA tu! ukisubiri utaratibu umekwisha!!!
  14. humphg

    Rais Kikwete ana nguvu kubwa ya ushawishi.

    :majani7:Cuf wanafurahia utamu wa ndoa! Majukumu yao kumpetipeti mume! talaka noma sikiaga tu kwa wengine!!!!!!!!!
  15. humphg

    Kwa wanawake mama mkwe inakuwa drama kwa wanaume mama mkwe wanaelewana

    Bora mimi niliyekamua ZOOM univsite! nikakalizia masta yangu Polytechnics collage!!! kimsingi niko vema sanaaaa!!!
  16. humphg

    'Kuonyeshana nguo za ndani?!'

    wamekutana pipa na mfuniko!!!
  17. humphg

    Zitto awataja mafisadi wa mabilioni ya Uswisi!

    Hakuna uhusiano na Hoja binafsi ya Zittto!! jipange sawasawa!!
  18. humphg

    Zitto awataja mafisadi wa mabilioni ya Uswisi!

    Hapa hatuhitaji sheria nyingi kama unavyodhani! Tufanye kama china tu! ikidhihirika umeiba ni "kitanzi tu!!" sio kutumia myanya ya sheria kuiba hela zetu, kisa vifungu kumbe mwizi!! Colombia pia wanakukita tu!! halafu baki na sheria zako!
  19. humphg

    Orodha ya Aibu ya Mafisadi, Hoja ya Zitto, hatima ya Tanzania, tuko hatarini

    Ni kweli kabisa! Wasiwasi wangu ni kuwa hii ni "kawaida sana!" kuongelewa kila siku bila mafanikio! Watu wanaendelea kutesa tu wapo nchini maisha BOMBAA!!!!!!!
Back
Top Bottom