January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania
Na Mwandishi Maalumu
January Makamba, Maharage Chande na Saidi Yakubu ni maswahiba wa karibu sana, kiasi ambacho unaweza kuwaita ni mapacha watatu.
Mapacha hawa watatu wamekuwa pamoja kwenye...
1. Since Vodacom Tanzania uncovered the scandal in 2012, why has it kept it a secret and not reported the matter to the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) and the Ministry of Communications, Science and Technology as required by law?
2. If bribes did not exchange hands, why...
Haya makampuni ya ulinzi ya kimataifa yanafanya utapeli mkubwa sana nchini na kuwapunja wafanyakazi wa Tanzania. Nimeambiwa hata kampuni ya KK wanafanya mchezo huu. Wao wanaajiri wafanyakazi wachache sana, halafu wakipata tenda kubwa wanatumia wafanyakazi wa kampuni ndogo za ulinzi za Tanzania...
Hii kampuni ya Security Group imekuwa ikipewa tenda kubwa kulinda mabenki ya kimataifa, kumbe ni wezi watupu. Serikali ichukue hatua haraka kuifuta isiendelee kuwanyonya Watanzania kwa kuwavalisha uniform za kampuni hiyo kumbe wala siyo wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Mchafu ni mchafu tu na atabaki mchafu. Lowassa ni mchafu wa maadili, hata Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alijua hilo na alituonya tuepukane na huyu mtu. Ni kama nguruwe amezoea kuchea kwenye matope, hata umuogeshe vipi halisi yake ni kuchafuka tu na ataendelea kuwa mchafu tu come what may.
Tunasherehekea miaka 50 ya uhuru mwezi ujao lakini inasikitisha kuona kuwa baadhi ya Watanzania, wengine wakiwa "Great Thinkers" wa humu JF, hawana uwezo wa kuwa na fikra huru. Wamelishwa fitna kuwa Samuel Sitta ni mnafiki basi wanaimba tu wimbo huo kama steji shoo wa Ngwasuma au Twanga Pepeta...
Kibanda ni kibaraka wa mafisadi. Hakuna asiyejua kuwa Kibanda anatumiwa kama "attack dog" (mbwa wa mashambulizi) na Edward Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge dhidi ya Samuel Sitta. Hicho kitabu ni dhahiri kuwa kimefadhiliwa na hao mafisadi ambao Kibanda anawatumikia. Ni upumbavu mtupu...
Kubenea si mtu professional, hata hiyo editorial yake kaandika kidaku na kuonesha chuki na visasi dhidi ya Samuel Sitta ambaye ni kipenzi cha Watanzania wengi. Kubenea anasema Sitta ni "kibarua" kwenye serikali ya Kikwete. Huu ni utoto na kutojua sheria, Sitta ni waziri kwa mujibu wa katiba ya...
Reginald Mengi, Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP amekuwa akimlea Saeed Kubenea kama mtoto wake kwa miaka mingi. Alivutiwa na Kubenea baada ya kuhisi kuwa huyu ni kijana shupavu anayepambana na ufisadi bila woga. Kutokana na hilo, Mengi alijishusha akawa kama baba na rafiki wa karibu wa...
Mashirika kadhaa ya misaada kwa jamii yametoa tahadhari ya kuwepo kwa dharura ya upungufu mkubwa wa chakula Tanzani na kusema zaidi ya watu milioni 3 nchini wanakabiliwa na njaa.
Wakati mashirika hayo yanaomba msaada wa chakula kwa Tanzania, serikali imesema kuwa Tanzania ina ziada ya chakula...
Lessons from WikiLeaks presidential bribery claims
Tuhuma za WikiLeaks zimetufundisha mambo mengi sana kuhusu masuala ya maadili, mwenendo wa Ikulu na wafanyakazi wa serikali. Baadhi ya mafunzo hayo ni kama hivi:
1. Rais wa Tanzania hununuliwa nguo zake zote. Huko Marekani Rais wa nchi hununua...
Mimi sisomagi magazeti yanayomilikiwa na fisadi Rostam Aziz -- The Africa, Mtanzania, RAI na MwanaHalisi (Yes, MwanaHalisi, kwani Kubenea naye kanunuliwa na Rostam siku hizi). Mwandishi wa habari yoyote huru na makini hawezi kukubali kuajiriwa na Rostam Aziz. It's a matter of principle.
Wewe kweli akili zako Zagazaga, yaani unajaribu kufuta ukweli wa historia na kudai eti Lowassa hana kosa kwenye Richmond?! Pamoja na jitihada zenu, ukweli utabaki palepale daima. Lowassa hachomoki kwenye kashfa ya Richmond kwani yeye akiwa kama Waziri Mkuu ndiye aliye push tenda wapewe Richmond...
Kumbe sheria ziko wazi kwamba kiongozi wa umma akiwa na utajiri wa mashaka (unexplained property) anatakiwa ashitakiwe mahakamani kwa rushwa. Chenge amekutwa za zaidi ya $1.5 million kwenye akaunti ya nje, TAKUKURU wanaona kigugumizi gani kumfikisha mahakamani?
Ndiyo maana Lowassa anapata jeuri...
Lowassa ni sumu kubwa kwenye siasa ya Tanzania. Mtu yoyote anayetukuza maneno yake au kumuunga mkono fisadi huyu ni msaliti kwa taifa hili la Julius Nyerere aliyemgundua Lowassa tangu zamani kuwa hafai kuwa kiongozi wa nchi yetu. Lowassa na genge lake la mafisadi -- Rostam Aziz na Andrew Chenge...
Tatizo la Kikwete na serikali yake ni kuwa they don't think big. Wao daima wanazungumzia miradi ya 45MW, 100MW au 300MW, wakati kwenye mradi mmoja tu Ethiopia wanazalisha 5,250 MW. Uko wapi mradi wa Stiegler's Gorge??!
Ukiangakia kweli unaona kuna trend/pattern hapa inajaribu kujengwa. Wakati habari kubwa tangu kikao cha NEC imekuwa ni Rostam Aziz na Chenge na Lowassa kutakiwa kufukuzwa CCM, MWANAHALISI kwa makusudi wameamua kupoteza mwelekeo na kula sahani moja na KIKWETE tu. Katika zaidi ya mwezi mmoja...
Ukiangakia kweli unaona kuna trend/pattern hapa inajaribu kujengwa. Wakati habari kubwa tangu kikao cha NEC imekuwa ni Rostam Aziz na Chenge na Lowassa kutakiwa kufukuzwa CCM, MWANAHALISI kwa makusudi wameamua kupoteza mwelekeo na kula sahani moja na KIKWETE tu. Katika zaidi ya mwezi mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.