Search results

  1. Ka2pain

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hapo umetisha sana mwaisa
  2. Ka2pain

    Utaratibu wa kuandika barua ya posa

    Na hii barua unaiandika kwa mkono au inaichapa.,, na mfumo mzuri ni kama barua za kiofisi ama
  3. Ka2pain

    Utaratibu wa kuandika barua ya posa

    Thanks for this and be blessed
  4. Ka2pain

    Ukweli mchungu, Wafanyakazi msife moyo, Plan B ni muhimu sana

    Sasa tunafanya nini kujikwamua maana hata hiki tunachopewa hakitutimizii baadhi ya mahitaji yetu., mtazamo wangu ni kujiongeza kama alivyosema mtoa mada
  5. Ka2pain

    Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Nimeipitia yote Na kujifunza kitu kikubwa Na kimenibadili mtazamo wangu kwa namna moja ama nyingine., Mungu azidikukutia nguvu katika kuendelea kutujuza mwalimu., Hii elimu dunia tunaipatia huku wengine. Shukrani nyingi kwako Mshana Jr. na wengine wote mliochangia [emoji1545]
  6. Ka2pain

    Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Nimekuelewa sana mkuu..
  7. Ka2pain

    Usifufue makaburi ya mwenza wako endapo unajua kuwa huna moyo

    Ila kuna wengine wanajihami., wanayafukua wenyewe. Hapa unakuta ndo mmeanza mahusiano yeye anafunguka Dah mpaka unaanza mwogopa tena., kuna haja ya kufikiri Mara 2 kabla ya kucheki na yalilopita
  8. Ka2pain

    Usifufue makaburi ya mwenza wako endapo unajua kuwa huna moyo

    Nimecheka sana., nakumbuka girlfriend angu yani kila tukikutana cha kwanza kikagua simu yangu., umkatalie ilo timbwili lake.,
  9. Ka2pain

    Usifufue makaburi ya mwenza wako endapo unajua kuwa huna moyo

    Sasa hapo ulimvumilia au ndo ushamtosa tena
  10. Ka2pain

    Mwanaume mashine

    Hapo kusaidiwa lazima., Kitu mashine
  11. Ka2pain

    Faida za vitunguu saumu kwa wanaume na jinsi ya kutumia

    Mtatuua wabongo., fanya utafute sehemu nyingine ya kuuzia huo mzigo wako wa vitunguu [emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Ka2pain

    Utafiti: Mapenzi ya kweli utayapata kama mwanamke akipenda mwenyewe lakini sio mwanaume

    Hii kweli changamoto sana., upendapo full kuchunwa Ila upendwapo dah., wanasema cha msingi upendo
  13. Ka2pain

    blackberry bold 9900

    kwa mtu ambaye anailewa hiyo simu,. ni'pm simu ipo katika hali nzuri,., haijamaliza mwaka na bettery badi inakaa mda mrefu.
  14. Ka2pain

    bkackberry bold 9900

    kwa anae ihitaji,. p/s send me a PM tuongee zaidi
  15. Ka2pain

    Redbregade ya CHADEMA~Kibonde wa Clouds Fm kweli ni kibonde

    watu kama kibonde ni uwezo wao Mdogo wa kufikiri ndo unawasumbua.,
  16. Ka2pain

    je bunge letu lilijisahau mpaka likapitisha sheria ya kulipia simcard kwa 1000/=kwa kila mtanzania?

    ndo uwezo wao wa kufikiri., na aliyeileta hoja bungeni alishauriwa na mkewe na si wananchi waliomchagua
Back
Top Bottom