Hizi chuki wajameni!! Zitatufikisha pabaya!!
Binafsi siipendi ccm, ila kwa kifo siwezi kuponda kwa lolote. Kwanza siwezi kumchukia mtu kwa sababu ya chama chake zaidi, nitamhurumia!!!
Utakuwa unaota kama unasubiri kutambuliwa na kuheshimiwa (kwa mawazo unayotoa au mchango wako) kwa kuzingatia proffessional yako hasa ukiwa mtumishi wa umma!!!!! Sana wewe tetea ugali wako tu kwa kufanya vile watakavyo wenye dhamana na ajira yako. Yaani wafurahishe wakubwa ili watoto wako...
Bado mapema mno kujudge.
But hata angenijengea nyumba never kuichagua CCM! Jina tu silipendi! Bora niichague CHAUSTA.
Bado ndugu kunishawishi kuichagua ccm. Nitaichagua baada ya chama kingine cha siasa kuongoza kwa muda ambao ccm imeongoza. I think not today.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.