viongozi wetu no no no!nadhani nitumie watawala,hawa watawala we2 wanatumia muda na rasilimali zetu hovyo kiasi cha kwenda na msururu wa mashangingi kutoa msaada wa bajaj oooh,shame b on thm
Nafurahia maisha yangu si2 kwa kuwa nipo hai ila ni kwa sababu kila cku maisha yangu yanafungua mlango mpya wa kuexpress fikra na mitazamo yangu kwa wengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.