Search results

  1. K

    Huu ndio UNAFIKI, Hila na Ukasuku wa CHADEMA na wafuasi wake na Majibu ya Dr. Slaa

    sioni sababu yoyote ya kujipendekeza kwa yeyote mkuu, beside i have nothing to lose anyway..so kuhusu kubishana na nani au yupi sidahni kama kunanafasi yote hapa..nilichosema ndo ninachoamini baada ya kuona kwa macho yangu, sishangai hata hayo yanayowatokea kina kibanda kwa mwendo huu wa vitisho...
  2. K

    Huu ndio UNAFIKI, Hila na Ukasuku wa CHADEMA na wafuasi wake na Majibu ya Dr. Slaa

    tazama sasa unavyojichanganya mkuu, sasa kama RAIS ndo anachagua majaji sasa hao kina Lema wanashindaje kesi? hiyo unayosema mizengwe mbona jimbo la zitto, Ndesamburo, Mdee, Mbowe na sugu hayakuwa na mizengwe? acha unafiki ndugu yangu kuwa mkweli tu..
  3. K

    Huu ndio UNAFIKI, Hila na Ukasuku wa CHADEMA na wafuasi wake na Majibu ya Dr. Slaa

    ha ha ha, kama kawaida ya wasomi wetu wa CDM, ujanja mwingi kumbe mbele giza..kama unaakili timamu bila shaka utakua bado unatafakari kwa kina nilichosema, lakini kama unakichwa cha panzi ambacho hakijuia hata chenyewe ni kiumbe hao au mfu basi kamwe hautaelewa..
  4. K

    Huu ndio UNAFIKI, Hila na Ukasuku wa CHADEMA na wafuasi wake na Majibu ya Dr. Slaa

    sishangai sana kwa kuwa darasa lako ni maandamano..
  5. K

    Huu ndio UNAFIKI, Hila na Ukasuku wa CHADEMA na wafuasi wake na Majibu ya Dr. Slaa

    ujinga ni kuamini eti kuingolea chadema ni kupata umaarufu, jibu hoja za msingi...umelalia pabaya sana ndugu yangu, kamwe si mfuasi wa ccm lakini angalau natambua machache mazuri wanayofanya, nchi tu kuwa stable kwa kipindi chote hichi kirefu ni credit tosha kwa chama tawala..ukweli ambao kwa...
  6. K

    Huu ndio UNAFIKI, Hila na Ukasuku wa CHADEMA na wafuasi wake na Majibu ya Dr. Slaa

    kamwe kijana mwenye akili hatosihi kwa ndoto za kufikirika, badala kuhimiza watu wafanye kazi wao wanaishia kuwatengenezea mazingira ya vijana kuwa kizazi cha malalamiko, timiza majukumu yako nchi iende mbele, wengi wa nyinyi mnaojifanya kuisapoti chadema hata kuondoa taka iliyokaa barabarani...
  7. K

    Huu ndio UNAFIKI, Hila na Ukasuku wa CHADEMA na wafuasi wake na Majibu ya Dr. Slaa

    matusi ndo kitambulisho chao mkuu, tusi si jeraha, waje watukane, mara nyingi wanashindwa kupangua hoja bali matusi, na waje tu
  8. K

    Huu ndio UNAFIKI, Hila na Ukasuku wa CHADEMA na wafuasi wake na Majibu ya Dr. Slaa

    ningekuona mwenye akili angalau ungepangua hoja moja baada ya nyingine, kumbe mtu mwenyewe mwepesi hata karatasi ina uzito..embe kaandamane kule...
  9. K

    Huu ndio UNAFIKI, Hila na Ukasuku wa CHADEMA na wafuasi wake na Majibu ya Dr. Slaa

    angalau wewe umejaribu kuwa mkweli kuwa pamoja na yote hayo mabaya na mazuri ni chuki tu inayokufanya uichukie ccm, bahati mbaya wenzio hawataki kuweka wazi, wacha na ccm nao watuilinde sisi wananchi dhidi ya hizo chuki zenu, kuichukia ccm iliyoko madarakani ni kuwachukia watanzania walioiweka...
  10. K

    Huu ndio UNAFIKI, Hila na Ukasuku wa CHADEMA na wafuasi wake na Majibu ya Dr. Slaa

    kwa ulichojibu bado unadhirisha umazwazwa wenu, nilitegemea ungejibu hoja kwa hoja, hivi hiyo rwanda unayoisema wewe umeiona? au unasikiliza maneno ya kijiweni ndugu yangu? unahitaji sana kusoma reports mbalimbali na pia uwezo wako wa kulinganisha vitu bado mdgo sana, kamwe robo haiwezi kuwa...
  11. K

    Huu ndio UNAFIKI, Hila na Ukasuku wa CHADEMA na wafuasi wake na Majibu ya Dr. Slaa

    na hapo ndipo unapodhihiri kuwa wengi ni watu wa namna gani, mmefikia hata hatua ya kudanganya vichwa vyenu, sishangai kusoma hicho ulichoandika hapo juu..
  12. K

    Huu ndio UNAFIKI, Hila na Ukasuku wa CHADEMA na wafuasi wake na Majibu ya Dr. Slaa

    1. Serekali ya CCM haijafanya hata jema moja machoni mwao tangu uhuru 2. Mahakama hutenda haki endapo tu upande unaoungwa mkono na Chadema utashinda, vinginevyo husema mfumo wa mahakama Tanzania ni wakidhalimu niletegemea wangesema ni wakidhalimu hata waliposhinda kesi zao badala yake husema...
  13. K

    Hii ni zaidi ya kulala na bundi: Mwenyekiti BAVICHA ajiengua, Mbeya

    ndugu yangu hao wa huko mbeya wanatumika tu kuwasafishia wakaskazini! angalia safu ya uongozi ya chadema taifa halaf mtafute mtu wa mbeya nani?
  14. K

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    script nzuri mwandishi, ila nahisi kama kuna sehemu unajichanganya, sielewi unaposema kuwa ulichaguliwa kwenda shule ya Ilboru na ukaamua kutokwenda mi naamini uliamua kutokwenda kwa kuwa ulipenda mfumo wa elimu wa kibepari, ndio mana ukachagua kwenda hiyo saint sijui nin mwenyewe umeitaja...
  15. K

    Udom na siasa za udini

    alichosema kitumbo kina mashiko sana...wewe una muono na fikra chanya sana...
  16. K

    Udom na siasa za udini

    jaman kila kitu ni JK, mwisho utamlaumu jk kwa mama ako kumnyima unyumba mzee wako? Au mzee wako kua shoga yote haya yanatokana na jk..
  17. K

    Uozo mwingine wa Serikali ya Kikwete huu hapa...

    Yani wewe ulieandka thread hii inawezekana kabisa akili zako zipo kwenye makalio yako...jaman tangu lini rais kuchangia maendleo ikawa kujipendkeza...hv hao chadema ni kina nani nchi hii...urais wataendlea kuuota na bdo jk ni rais wetu ukubali ukatae...jemedari mkuu jakaya....mpga kelele slaa
  18. K

    Rekodi kali za JK ambazo Slaa hawezi vunja- aongezewe muda wa urais

    mbona unajichanganya eti raisi alieshnda kwa 80%, mara raisi aliechakachua hii inaonesha ni jinsi gani mlivo na uchu na huo urais...haya bwana ngoja nisubiri elimu na matibabu bure...2015 c mbali
  19. K

    Osama bin Laden killed!

    napata mashaka juu ya uelewa wako wa global politics na suala la media manipulation....uezo wako wa utambuz uko chini sana...picha gani inayokufanya uamini huo ni mwili wa osama...ni sabbu gani inayofanya marekan istoe picha? Mbona sadam walizionesha picha matukio ya kifo chake? C kila...
  20. K

    Wahariri wa magazeti waingia kwenye pay roll ya CHADEMA

    Katika hali ya kushangaza na kushtua habari za ndani kutoka ndani ya chama hicho zinasema kuwa kuna baadhi ya wahariri wa magazeti wameingia katika mfumo wa kulipwa mishahara wa chama hicho kutokana na kazi nzuri wanayoifanyia chama hicho machachari kilichojipatia umaarufu mkubwa hiv...
Back
Top Bottom