Search results

  1. A

    Wazazi tusiwabane sana watoto wetu, tuwape uhuru kama huyu wangu.

    Ucjal, kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake. Kiukwel ww umetoa somo la ukombozi. Ww ni jasiri.
  2. A

    Wazazi tusiwabane sana watoto wetu, tuwape uhuru kama huyu wangu.

    Huyu jamaa katoa elimu nzuri sana. Tujifunze na tuache kuwaonea watoto aibu. Dunia imeharibika.
  3. A

    RAIS NI TAASISI TUMHESHIMU.

    Pole sana. Imekuchoma eh. Wezi nyie subirini wakati wa kutapika fedha za wizi unakuja. Jasho la watanzania haliendi bure.
  4. A

    RAIS NI TAASISI TUMHESHIMU.

    Ndugu zangu habari za saahizi? Yapata miaka saba sasa tangu nipost kwa mara ya mwisho katika jukwaa hili. Leo nimepata wito wa kuandika jambo walau na mm nitoe ya moyoni kwa kinachoendelea sasahivi katika taifa leo. Naanza kwa kujiuliza, kwani Rais ni mtu au taasisi? Nijuavyo mimi Rais ni...
  5. A

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwani Rais Samia anatekeleza ilani ya ccm au kuendeleza miradi aliyoanzisha mtangulizi wake? Kiukwel yote yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika ni sehemu ya ilani ya ccm.
  6. A

    Sasa nimeelewa ni kwanini Muhongo na si Magufuli

    Kuhojiwa kitu gani while hotuba zake na matendo yake yanajibu maswali ya wanadamu wote.
  7. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Jidanganye
  8. A

    Nipo tayari kuandamana September 1 iwapo tu nitafafanuliwa ruzuku ya CHADEMA Milioni 300 inatumikaje

    Mmh unachekesha ww. 300 kwa mwezi na bado zile hela za ufisadi. Acha kutudanganya.
  9. A

    Nipo tayari kuandamana September 1 iwapo tu nitafafanuliwa ruzuku ya CHADEMA Milioni 300 inatumikaje

    Hebu acha kutuchekesha. Kile ni chama ambacho kinaendeshwa na mtu mmoja na mke wake. Wakipanga hata kusema shetani hana dhambi basi wanachama wanasema ndio mheshimiwa na kuongeza tena ataenda peponi.
  10. A

    Nipo tayari kuandamana September 1 iwapo tu nitafafanuliwa ruzuku ya CHADEMA Milioni 300 inatumikaje

    Una haki ya kuhoji. Achana na hao wanaobeza tayari wamekubali kunyonywa.
  11. A

    Hoja binafsi: Viongozi wakuu CHADEMA washitakiwe...

    Nice one TumainiEl
  12. A

    Rais Magufuli kama ana visasi na kiroho? is this rational

    Kurudisha nidham iliyopotea yupo sahihi kabisa.
  13. A

    Bado amri mbili tu kutolewa

    Akili ni nywele na ww una kipara sasa tutakuelewaje? Mbona kama unapiga vijembe indirectly? Umepanik eh
  14. A

    Kumfananisha Rais Magufuli na JK Nyerere ni uwendawazimu

    Wengi wenu humu mnapiga majungu tu dhidi ya uchapakazi wa Rais Magufuli. Hakika mwanadamu huyu hana maneno ya kisiasa bali yy anachapa kazi tu. Kama katika uchapakazi wake atakupitia basi lazma umchukie tu. Binafsi nampenda sana Magufuli. Na naamini kwa kila mwenye akili anampenda pia.
  15. A

    Kumfananisha Rais Magufuli na JK Nyerere ni uwendawazimu

    Wanafanana kabisa. Na mm nahs kama Magufuli ni bora zaidi. Mtanisamehe enzi za Mwalimu na enzi hizi ni tofauti kabisa. Hata mwalimu angekuwa yy enz hizi angekuwa mkali tena zaidi. Mmesahau wala rushwa alivyokuwa anawachapa bakora wakiingia jela na wakitoka wakawaonyeshe wake zao. Leo hii...
  16. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    We'll do great bizness im sure.
  17. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Anazungumziwa Mahrez
  18. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sasa watu wapo serious
  19. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Na yy amwambie spend or say goodbye to Arsenal coz they're tired of u.
Back
Top Bottom