Search results

  1. C

    Tetesi: Bei ya korosho yaporomoka

    Bei ya korosho msimu huu imeanza kuporomoka katika minada iliyofanyika wiki iliyopita na wiki mkoani Lindi. Habari kutoka mkoani huko zinadai kuwa bei imeshuka katika mnada uliyofanyika Liwale kutoka shs 3800/= hadi kufikia shs 2500/= kwa kilomoja ya daraja la kwanza. kutokana na hali hiyo...
  2. C

    Zaidi Ya Visasi, Mafanikio Ya Magufuli Nini?

    Sioni dalili ya taifa hili kujikwamua kimaendeleo ikiwa mambo haya makuu mawili hayatutoka. la kwanza, viongozi wetu kushangiliwa, hata kuandaliwa maandamano ya kupongeza kwa kila hotuba na kila afanyalo hata kama ni kujamba tu, maandalizi haya hufanywa na watu wachache wanufaika ambao...
  3. C

    Mhasham Polycarp Pengo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

    Mambo ya Kisaisari mwachie Kasairi. Hakuna mahali Yesu anapomfuata Kaisari kumbariki au kumuombea Baraka ya Uongozi wake. Hakuna watenda kazi ya Mungu Manabii au wanafunzi wa Yesu walipokwenda kuubariki uongozi wa Kasairi au watoza ushuru au waauwaji na watenda Maovu wanaokana Mungu kwa matendo...
  4. C

    Kipanya: Katuni hii imekataliwa na mhariri

    Looh huu ujumbe umekuja kwa wakati, Magufuli ni mwanasiasa ambaye ni Rais wa Tanzania na Ayub mwandishi wa habari nguli alietegemewa kwa uchumbuzi wa masuala mbalimbali ya kijamii. Je Ayub atatimiza matakwa ya aliempa Ukurugenzi au atabakia kuwa mwanataaluma ya uandishi. Tujikumbushe...
  5. C

    Elections 2015 DSM CCM wana madiwani wangapi na UKAWA wangapi?

    Miongoni mwa miji iliyochini ya Ukawa ni pamoja na Manispaa ya Mtwara, miji ya wilaya kwa mkoa wa Mtwara ni pamoja na ya Tandahimba na Newala mjini, ambako mbunge wake amebatizwa jina la Nkurunzinza. Huyu anadaiwa kuwa mara baada ya kushinda ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Mtwara kabla...
  6. C

    Shy-Rose Bhanji Ajitetea

    Hizi ni tuhuma ambazo hazijathibitishwa, na anaetuhumiwa hajathibitisha utetezi wake, kama ni wa kweli au anafanya kile wanachofanya wakosaji wote, kukana mashitaka hata kama wamekosa hata kama ameiba. Nadra sana mkosaji kukiri kosa mbele ya umma au vyombo vya dola. Mtoa tuhuma alipaswa kuweka...
  7. C

    UKAWA waijibu BAKWATA: Taarifa kwa vyombo vya habari

    Msimamo wa Ukawa ni sahihi kwa Mtanzania anaejitambua Utanzania wake,anaezijua haki zake za kimsingi anazopaswa kupatiwa siyo kwa ridhaa au msaada wa waliyomadarakani. Atatatumbuwa bila kuhoji kuwa akiwa na kesi ya jinai au shauri la madai Mahakamani, na akiliona uendeshaji wake na mahakama...
  8. C

    Ushauri wa Tundu Lissu uzingatiwe kupata Katiba Mpya ya Maridhiano ya pande zote.

    Kura ya maoni ya aina ya Muungano ipigwe kwanza kabla ya Bunge Maalum kuajadili rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Serikali. Hatua hii itaondoa utata ambao unaweza kukwamisha katiba mpya au kupata katiba ambayo siyo ya maridhiano jambo ambalo linaweza kutumika kuhatarisha umoja na Muungano...
  9. C

    Haya hapa makosa ya habari ya kaburi la Balalli iliyoripotiwa na gazeti la Mwananchi Julai 12, 2014

    Story hii ya gazeti la Mwananchi, na Mtanzania zinatia shaka Ueledi wa vyombo hivi vya habari wa kuwalazimisha wasomaji au wananchi kijumla, kuamini kuwa KIFO CHA BALALI AMBACHO KWA MUJIBU WA STORY ZAO WENYEWE WANAAMINI KUWA KILIGUBIKWA NA UTATA MKUBWA ULIYOPO MPALA LEO PAMOJA NA JUHUDI ZOTE...
  10. C

    Road licence Kufutwa

    Wazo hili zuri sana, kwa sababu litaondoa uonevu mkubwa uliyokuwepo, wa kutoza gari ambalo lilikuwa halitembei kwa mwaka mzima. Pili litafufua magari mengi yaliyokuwa yametelekezwa kwa sababu ya ada hii kubwa sana, ukikosa kulipia mwaka mmoja tu basi gari yako umeshaitupa na huwezi kuiuza tena...
  11. C

    Vifo na Vipigo JKT intake June 2014 vichunguzwe

    Mmm. Hii ni hatari. Mimi ninaomba Serikali kupitia wizara husika, pamoja na Jeshi lenyewe lisingoje tume iundwe na Bunge, baada ya kujitokeza vifo vingi zaidi kama mchangiaji mmoja anavyotaka, au wapatikane walemavu wengi ndipo watumie mabilioni kuhudumu tume ya uchunguzi. Taarifa hizi kwa...
  12. C

    Mtu akishakufa anatoa wapi power ya kufanya matukio?

    Pole sana kwa kutatizika na matukio uliyoelezea. Sasa ondoa shaka kabisa, nakupa majibu ya uhakika kabisa kulingana na Biblia: 1. Mtu akifa hawezi kufanya kitu chochote kile, hana uwezo wa kufanya jambo lolote linalofanyika chini ya jua. Swali. Hayo matukio uliyosimulia yaliwezaje kutimia? 2...
  13. C

    Huu ndiyo mkakati mzima wa CCM kuidhoofisha CHADEMA...

    Chadema kinaimarika kweli kweli.
  14. C

    Tamko la wajumbe wa CHADEMA Kanda ya Magharibi, Mkoa wa Tabora, Wilaya ya Tabora na Uyui

    Kazi kweli kweli. Ninakubali kuwa Chadema kilikuwa na wahuni na wachumia tumbo pamoja na mamluki wengi. Ninakipongeza na kukipa shavu kwa kukubali kwao kuyachekecha makundi haya yote bila hofu wala woga, huu ni uongozi shujaa kama wa Mandelela BIG UP SANA MBOWE,SLAA,LISSU NA WENGINE WENGI...
  15. C

    Nasikia Harufu Kali na Mbaya ndani ya CHADEMA

    Kazi kweli kweli. Ninakubali kuwa Chadema kilikuwa na wahuni na wachumia tumbo pamoja na mamluki wengi. Ninakipongeza na kukipa shavu kwa kukubali kwao kuyachekecha makundi haya yote bila hofu wala woga, huu ni uongozi shujaa kama wa Mandelela BIG UP SANA MBOWE,SLAA,LISSU NA WENGINE WENGI...
  16. C

    Wajumbe Baraza Kuu CHADEMA wawalipua Mbowe na Slaa

    Kazi kweli kweli. Ninakubali kuwa Chadema kilikuwa na wahuni na wachumia tumbo pamoja na mamluki wengi. Ninakipongeza na kukipa shavu kwa kukubali kwao kuyachekecha makundi haya yote bila hofu wala woga, huu ni uongozi shujaa kama wa Mandelela BIG UP SANA MBOWE,SLAA,LISSU NA WENGINE WENGI...
  17. C

    Mbasha: Gwajima niachie mke wangu (gazeti la uwazi)

    Chuki ya nini kwa Mtu wa Mungu. Kumbukeni moja ya kazi yake ni kuwapa faraja waliyojeruhiwa kiroho hata kimaisha. Flora alijeruhiwa na mumewe kiroho, mulitaka akimbilie wapi apewe msaada wa kiroho? Kwa free Masoni?. Mwana wa Mungu Yesu alichukiwa kwa kutenda kazi ya Mungu, Ninakupa Moyo...
  18. C

    Wananchi wa Ntwara tunatangaza kupotelewa na rais nstaafu

    acha unafiki na chuki binafsi wewe ..... mimi sitoki huko lakini nimemuona mara kadhaa akija nyumbani na mnampokea na msururu wa viongozi wa chama na serikali kama vile bado yuko madarakani kila sherehe za mwisho wa mwaka namwona huko kwao .... na amewekeza sana kwenye kilimo huko, si...
  19. C

    Ufisadi wa kutisha wa Bernard Membe

    Mtwara anajenga mahotel ya kitalii kama uyoga kila kukicha katika mitaa mbalimbali, watu wanashangaa pesa hizi anatoa wapi? Miongoni mwa mahotel hayo limejengwa baharini kabisa, na kulazimika mipango miji Mtwara kuhamisha barabara kuipeleka majini kumsaidia bwana Mkubwa huyu. Hali ambayo...
Back
Top Bottom