Membe alipokuwa Mbeya alisema ikiwa yeye ataenguliwa basi atamuunga mkono Mwandosya. Membe huyo huyo alipokuwa Rukwa akasema ikiwa ataenguliwa basi atamuunga mkono Pinda. Kama si kinyonga ni nani huyo?
Yote uliyoeleza ni kweli kabisa. Suala la kusamehe nimelihakikisha kivitendo kabisa na baraka nikaziona. Hata kama mtu alikdhulumu wewe samehe na mwachilie kutoka moyoni mwako halafu tulia uone Mungu atakavyokufungulia milango mingine kabisa ya baraka
Hapa sio kubishana au kushindana bali kueleweshana. Ni wapi anaposema chombo cha kuwekea ekaristi kikiibiwa ukrito umeubiwa. Kwenye hilo andiko uliloweka hakuna suggestion kama hiyo. Kama ukristo wetu unaweza ukaibiwa kirahisi namna hiyo basi hatuna lolote
Mimi ninavyofahamu Kristo unakaa ndani ya mtu anayemwamini Yesu Kristo, na kamwe hauwezi kuibiwa kwa mtu kuiba chombo cha kuhifadhia ekaristi.
Halafu inakuwaje kuiba aibe mwingine halafu dhambi iwe juu ya waumini?
Wakristo tuamkeni, tusome Neno la Mungu na tulielewe na kisha tuachane na...
Pole sana Galadudu kwa yaliyokupata, tunaomba Mungu amponye mwanao haraka. As for the bodabodas hilo ni janga, serikali inapaswa iwaze mara mbili juu ya uamuzi wa kuruhusu bodaboda nchini
Nimesikiliza kwa makini clip ya Pengo na ile ya Gwajima na haya ni maoni yangu. Lakni kabla naomba kudeclare kuwa mimi sio mkatoliki na sio mfuasi wa Gwajima na pia binafsi sikubaliani na kuingiza masuala ya kidini kwenye katiba:
Askofu Pengo
Pengo was very composed, bila papara wala mihemuko...
Kama kuna mtu yeyote ambaye ametumia simu za startimes solar 5 naomba anipatie maelezo kidogo kuhusu ubora wake. Nimeziona zinauzwa vodacom shop Mlimani city kwa 270,000
Tatizo kubwa watu wameng'ang'ania dini (mf. kanisa katoliki) wakati Yesu wamemwacha> mshike Yesu kwanza, kanisa lifuate. Ukiona hilo unalosema ni aknisa lake haliendi sawasawa na mafundisho ya Yesu Kristo usione taabu kuachana nalo. Mungu hatakuhukumu ni kwa kiasi gani ulikuwa mwaminifu kwa...
Ndugu zangu, tunapaswa tumtafute, tumtambue na tumwabudu Mungu katika roho na sio katika mwili kwa kuangalia vitu kama majina ya siku, nk. Biblia inasema kuwa Mungu ni roho na hao wamwabuduo halisi huabudu katika roho na kweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.