Search results

  1. Amateur

    Naomba kupewa ufahamu juu ya taratibu za wamasai.

    Hebu nijuze kuhusu wanawake waki Arusha kuna jamaa kaoa huko na mkewe anamtesa sana jamaa, wamezaa mtoto mmoja na familia mzima walificha kwamba ni waarusha wanadai ni wamasaai hivi karibuni tu ndio kajua ni Maasai wa Ngaramtoni hivi ni kwanini wanaficha? Maana mila zao na wamasaai...
  2. Amateur

    Niwadhibitije mende na wadudu wengine watambaao chumbani kwangu?

    Jaribu kufanya fumigation. Dawa za fumigation uzinunue mwenyewe au tafuta mtu mwenye uzoefu sio lazima utafute makampuni makubwa. Tafuta vijana wanafanya hizo kazi watakusaidia.
  3. Amateur

    Jinsi ya kuandaa milk shake

    Unaweza pia kutengeza matunda na yoghurt, ukaweka sukari au asali kidogo ( au usiweke kabisa) ni nzuri sana! Ila sijui kama inaitwa shake.
  4. Amateur

    Kitchen Tips

    Great tips! I would like to add one if you are having difficulty opening jars. Run the rim in warm water for a few seconds then wait a few minutes and try.
  5. Amateur

    Stress

    Kitu alichoniambia ni viwili, kimoja ni kwamba mume wake yuko stressed sana kazini na huwa anachoka sana. Alikuwa anatafuta kazi na mkewe alikuwa pia anajaribu kumsaidia kuna wakati alitaka hata kuresign bila hata kupata kazi sehemu nyingine. Hivi sasa ana mwezi mmoja tu kwenye kazi yake mpya na...
  6. Amateur

    Stress

    Naomba kuuliza mnisaidie kumshauri rafiki yangu ambaye ni ofcmate wangu. Yeye ana mume na wana mtoto mdogo kwa sasa wa miaka miwili ( huyu ni mtoto wao wa tatu). Toka alipoconceive huyu mtoto wa tatu mpaka leo mume wake hataki kufanya nae tendo la ndoa. Hii mimba ya 3 mume ndio alidai sana...
  7. Amateur

    Mwanamke, ilinde ndoa yako! Kupinduana kupo sana tu...

    Hii thread ni kwa ajili ya wanawake kwa ajili ya kuchunga waume zao? Not the other way around? Au the other way around hakunaga shida? Anyway, just passing!
  8. Amateur

    Wanaume wenye ndoa ni wazinzi kuliko mabachelor

    Haka kautafiti kana ukweli ndani yake
  9. Amateur

    How much of A man are you ?

    NN get a hold of yourself! As for your comment for #9? You are so full of aren't u?
  10. Amateur

    "Wanawake weupe wanajisikia sana".....ni kweli?

    <br /> <br /> I don't agree at all and it is not fair to generalize! Attitude ya mtu depends on a lot of things including up-bringing etc etc. This is a racist comment. For example if someone generalizes' wanawake weusi ni player' that will be a senseless conclusion!
  11. Amateur

    Know something about Asthma

    Thanks for the info. I would like to know... we have asthma in my family and my children have mild asthma attack. I have never had any case of asthma but last month I was very sick mimi nikadhani ni severe case of malaria pamoja na kikohozi cha kawaida. Nafika hospitali wakaniweka kwenye...
  12. Amateur

    Kwanini na ni namna gani Dr Idrissa Rashidi aliondoka TANESCO?

    Kwakweli Idrissa alikuwepo NMB muda mdupi tu kabla hajateuliwa kwenda TANESCO. Huo muda mfupi aliokaa NMB impact yake ilikuwa felt mpaka kwa watu wa chini kabisa. Idrissa is the MAN no matter what anybody says. Binadamu wate wanamapungufu lakini Idrissa ni mtu mzuri sana anatetea watu wa chini...
  13. Amateur

    Msafara wa Kikwete jioni hii wazuia ambulance maeneo ya Mbezi Luis

    Hivi kumbe ni ambulance tu yenye uwezo wakuingilia msafara? Nilikuwa sijui. Kuna siku mwaka huu nilikuwa namsindikiza mjamzito ndani ya taxi uchungu ulimuanza ghafla. Texi ilikuwa inapiga honi na kuwasha taa lakini tulizuiwa kwa sababu ya msafara wa kiongozi. Yaani mgonjwa wangu chupa ilivunjika...
  14. Amateur

    Waxn jamani wax, miguuni, kwapani na ...........

    Mbona zipo nyingi tu, wewe unaishi wapi? Mimi huwa napenda kufanya waxn ya underarms natumia saloon inaitwa 'chic saloon' iko PPF House na ni wasafi na very professional. Wananiambiaga nijaribu waxn ya huko chini lakini nina aibu sana. Ila waxn ni kitu cha kawaida na sio cha kihuni.
  15. Amateur

    Milioni 70 vyoo viwili tafakari

    It is sad, lakini this is typical kwenye taasisi za serikali. Wizi wa design hii ni kitu cha kawaida tena walioko kwenye strategic vitengo wanaona ni haki yao kabisa!
  16. Amateur

    Tanesco

    I mean' Mwenge' na hiyo ni ya Emergency Mikocheni -2700367
  17. Amateur

    Tanesco

    Hivi jana tu TANESCO walitangazo mgao umekwisha! Leo huku Mwenge kwenye saa kumi na moja wamekata umeme sisi tuwaeleweji. Mimi nachoka kabisa! Kinachonimaliza ni kwamba ukiwapigia emergency 2700367 (Mikocheni) iko busy au wameiweza pembeni. Mimi nina TTCL kwahiyo najua kabisa message inayokupa...
  18. Amateur

    Inakuwa kuwaje mtu mwenye mke kufikia hatuwa kama hii?

    This just proves that men don't really care what you look like. Whatever praises they give you is very superficial.
  19. Amateur

    Uwekaji wa password kwenye simu kwa wapenzi/kwenye ndoa

    Hata bila password unaweza ukaibiwa tu!
  20. Amateur

    Tangazo tangazo

    In a household it is a known fact that the man is head of household and the women supports him, sometimes there is mutual understanding between husband and wife. In some household the wife turns out to be head of house due to negligence of husband. In a relationship where a couple is not yet...
Back
Top Bottom