Search results

  1. M

    Kwanini benki nyingi hazikopeshi Wizara ya Kilimo?

    Naombeni kuuliza, Kuna ndugu yangu kaja kuniambia katembelea benki za NMB,KBC, BOA,POSTA wote wanadai wameteminate kutoa mikopo kwa wafanyakazi wa wizara ya kilimo na chakula eti kisa wizara haipeleki makato. Je, hii imekaaje ukweli wake? Je ni benki gani ambayo bado wanawahudumia wafanyakazi...
  2. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    ********** Achana nae mkuu ninapewa furaha sana kule pm yani kumbe ni wengi mno waliopitia pitio kama langu.... ila wametunza kifuani ..vile tunapoongea hapa tunapeana nguvu.. asante sana mlo nami PM. mnafanya niuone mlango ulio wazi tofauti na ule ulofungwa
  3. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    ....asante kwa mlioniombea... nimeota mambo mengi sana usiku wa leo na kikubwa ni God relaleted dreams.. i was takin jf for granted ila nahisi kuna hali isio kawaida siriously...
  4. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    **†****************†***************** Mwana respect kwako. physically sioni mtu wa kumuelezea huu mkasa may b in future.. kwa kifupi nafrah kuwa msiri i have that bhaviour
  5. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    **********-**************& u have a point mkuu ila kuhusu hili nakiona kifo kama part of my life currently yani sijisikii woga sijui kwa nn... aniue sawa
  6. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    ****************************** uko very ginius mkuu lakini ni ngumu kujua lini kitatokea coz hi relationship ni ya muda ss tulibadilishana simu zetu yan akitoka na yangu sawa nami hivo hivo tulibadilisha password zetu za fb yan ni full amani lakin nilitaka kuprove kwamba ni kwel no...
  7. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    ****************** soma threds zote mkuu mbona sikubakiza sema napo yataka moyo ningeeleza kiila kitu tungemaliza mwezi...nimehilight watu waelewe na pia mm si mwandishi mzir
  8. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    kuna watu wema sana humu kumbe thanks wote mlionishauri via PM nimezipata na kuwork on it
  9. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    i assure u Asnam hili ukilifikisha kwa wazaZ no mjadala ni divorce wataanza kudai may be hata mtoto si wangu!
  10. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    ************************* mkuu alijua tu hakuwa na sababu ya kuuliza ilihali anajuaga mi ni mtundu sana kucheza na application... sema hakuamin kama inaweza kuwepo ya aina hii kama wengi ambavyo hawaamini.. nikamsomea txt zote na zingine alishazisahau kwan alikuwa anafuta txt
  11. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    ************ am ready to divorce bt am not ready to lead a divorced one into suicide comitmemmt
  12. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    *************** sina sababu ya kukujib mkuu ilihali umesema hapo juu ni story ya ray na shigongo ila asante kwa uwepo wako
  13. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    ****************** amina mkuu mm ni mkristo kidini. bora ww unajua mwenye hitaj ukamsaidia kuliko wanaosema nimtafute shigongo..
  14. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    *******************************:::*:** salute@washawasha hope umenipa mwanga fulani na kunifumbua kitu hapi ... kweli kaka nakacha kazi kwenda kumsubilia mwanamke hoteli napoteza muda.. natenga hela kulipia hotel let say mfano nulitumia 30000 kulipia room elf 20,000 chakula nikampa 30,000...
  15. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    ******************************** asante Asnam najiulizaga kwamba yule jamaa kachezea nyeti za mke wangu wa ndoa! kwa hiyo anazijua na kuzichafua! plz aliwah pitia pito hili naombeni msaada wenu mlivukaje....help me to step frm here frm ur xperuence
  16. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    ***************** asante mkuu let me try ila hakika naumia na kulia chumbani mara kwa mara.. sijawah kulia hivi oooh lord
  17. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    ********************* asante mkuu nina moyo mgumu sana ila cha kwanza mwanangu cha pili alidai nisipomsamehe hana njia nyingine tofauti na kifo tatu isiwe skendo kwa watu mm ni mwanaume ambae sipendi cga ndani kitoke nje yan nahisi nacho kinaniumiza kifua changu kimebeba mengi.... note...
  18. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    *************************** asante mkuu mtoto tunae mmoja ana mwaka kamili....na hii ndo inaniongezea hasira kwamba mwanangu bado mdogo ananyonya chuchu zilizochezewa na jibwa lingine
  19. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    ************************************ asante mkuu mungu awe nawe mtunze na usimsaliti mpenzi inauma sijapata kuona.
  20. M

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    mkuu walishaeleza hapo juu au huamini..ila uwe os ya android afu tafuta kwenye playstore
Back
Top Bottom