Search results

  1. Eiyer

    Dark days 17/03/20...

    Tongotongo zikikutoka hutaandika namna hii hata mstari mmoja tu... Sina uhakika unaweza kunielewa kwa kiwango kikubwa kiasi gani,lakini tongo tongo zikikutoka utanielewa...
  2. Eiyer

    Natafuta mwenza wa maisha

    Terms and conditions apply...
  3. Eiyer

    Dark days 17/03/20...

    Unaota?
  4. Eiyer

    Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

    Iwe naweza kujuwa au siwezi,bado haiwezi kubadili ukweli kwamba yupo au kinyume chake... Jambo tunalolifanya hapa ni kubadilishana mawazo ya namna mimi napna yupo lakini wewe unaona kinyume na mimi japokuwa sababu ni hizo hizo zinazokufanya wewe uone hayupo na mimi nione yupo... Yote hayo...
  5. Eiyer

    Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

    Naweza pia nikashindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu halafu akawa yupo... Naweza pia kushindwa kuthibitisha akawa hayupo... Kwahiyo?
  6. Eiyer

    Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

    Nani alikudanganya kuwa,kama dini zimedanganya basi hakuna Mungu?
  7. Eiyer

    Universe Ni Ndogo: No Light Years Between Planets Or Galaxies

    Hapa ndipo penye tafakuri ya msingi... Kimsingi ni kwamba mambo haya hayana faida "kwetu" sisi kama Waafrika lakini kwa hao majamaa wana "faida" kwenye haya mambo... Hata hii technology, haipo kwaajili ya kutengeneza simu au magari,ina kazi maalum sana ambayo wengi hatuijuwi... Acha tuendelee...
  8. Eiyer

    Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

    Na mimi nakuthalimia... Thikamoooo!!!
  9. Eiyer

    Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

    Dah!! Upo? Long time saana....!!!
  10. Eiyer

    Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

    Niko salama mkuu namshukuru Mungu....
  11. Eiyer

    I am Looking for serious Man

    Mume sahihi anapatikana popote tu,shida inakuja kwa mtafutaji kwasababu anaweza kuwa haelewi aliye sahihi kwake ni yupi... Shida za namna hii ni nyingi sana,kama ulivyoandika hapo juu... Kwanini unasema tena hutafuti humu wakati umeanzisha thread?
  12. Eiyer

    I am Looking for serious Man

    Wanaume bora hawapatikani namna hii na hawana hizi sifa dada yangu,jitahidi kuelewa kwanza ni nini maana ya kuwa mume ndipo utaelewa mwanaume unayemhitaji kuwa baba wa wanao anapaswa awe na sifa zipi...
  13. Eiyer

    Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

    Mkuu naona huu uzi.umewaleta tena,habari ya miaka mkuu?
  14. Eiyer

    Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

    Sijawahi kubadili yuzanem mkuu,ni hii hii siku zote....
  15. Eiyer

    Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

    Nilitembelea kule juzi tu hapa,naona tunapishana tu...
  16. Eiyer

    Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

    Niko hapa nimejaa tele...
  17. Eiyer

    Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

    Nipo sana kamanda,habari za siku muzee....
  18. Eiyer

    Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

    Long time mzee...!!!
Back
Top Bottom