Search results

  1. logbes

    Mh.Spika Mimi naunga hoja Mkono 100%, Lakini kule..

    una matatizo wewe sio haba. Bajeti itapita hatukatai ila CCM wabunge wengi hawajui maana ya asilimia mia.
  2. logbes

    Mh.Spika Mimi naunga hoja Mkono 100%, Lakini kule..

    Wakati akianza kuchangia mzee Aden Rage kama ilivo kawaida kwa wabunge wengi wa CCM alianza kwa kuuponda upinzani kwamba wao ni kulalamika tu kama vile hawaoni mambo mazuri yanayofanywa na serikali ya CCM. Lakini cha kushangaza katika dakika kumi alizopewa, dakika nane zote ameilalamikia mwanzo...
  3. logbes

    Mwigulu Nchemba bungeni: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

    kufikia mwaka 2014 CCM watakuwa wameshaweweseka vya kutosha
  4. logbes

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    we una matatizo hata mtoto mdogo anajua. huna utofauti na Mwigulu anayehangaika kufuta taarifa zake kwenye mitandao akijua sio muda atajikojolea
  5. logbes

    walimu wa sayansi vipindi 40. kwa week

    jaman naomba mawazo yenu. walimU wa math na sayans na kiingereza mbona tunapata tabu sana ilihali mkwanja mwisho wa mwezi sawa! nikigomea vipindi vinavyozid ntakuwa nimekosea! binafsi nina vipindi 40 vya math na physics wakati wenzangu wa Art wana vipind 8. jaman nisaidie mawazo maana mpk...
  6. logbes

    Nauza gari spacio new model cc 1490

    picha. umedondoka nayo mara ngapi!
  7. logbes

    Application Suluhisho la Foleni Dar Kuzinduliwa Hivi karibuni.

    na cha zaid anasema ana launch soon atakua ameitest inafanya kaz
  8. logbes

    Application Suluhisho la Foleni Dar Kuzinduliwa Hivi karibuni.

    utatumia GPS au utatumia Google map au utarecod namba zote za watu walio njian au utafanyaje! barabara zetu hazijawa programmed kama wenzetu
  9. logbes

    Ni kweli kuwa utegemezi wa TZ umetoka 45% mwaka 2005 hadi 22% mwaka huu??

    mzee wa watu kajibu huku anatetemeka mpk basi. data yenyewe najua hakuwa na ukakika nayo kwan hakuandikiwa mahali
  10. logbes

    Tanzania nchi pekee Afrika yenye Lugha yake inayoongelewa na watu wote lakini....

    kukopa ninakomaanisha ni kama kiingereza, kireno,kijeruman nk. lugha zote dunian hutegemeana misamiati.
  11. logbes

    Tanzania nchi pekee Afrika yenye Lugha yake inayoongelewa na watu wote lakini....

    yaaah kiswanglish ndo tatizo. ukiangalia shule zote ambazo watoto wamefaulu lazima watoto walisoma English Medium
  12. logbes

    Tanzania nchi pekee Afrika yenye Lugha yake inayoongelewa na watu wote lakini....

    inasadikika kuwa Tanzania ni nchi pekee baran Afrika yenye lugha moja inayounganisha watu wake wote na haijakopwa kokote. lakini nchi yenyewe haitaki kufaidika na hyo tunu inang'ang'ania lugha ya kigeni matokeo yake inakuwa lugha gongana kama wajenzi wa mnala wa Babel katika Elimu matokeo yake...
  13. logbes

    Tanzania one ametoka shule gani

    To yupo jamani sio lazima apate 7
  14. logbes

    Juliana Shonza amlipua Mbowe

    ningemwona wa maana angeambatanisha Elimu yake na uwezo wa kazi aliyopema. kwamba kwa kuwa na elimu ya form four ameshindwa hili na hili. angekuwa na degree kama ya juliana angefanikiwa hli na lile. mapema hv hana cha kuongea keshokutwa ataongea nini? au kuna siku atakuja kukiri kwa mwenyekiti...
  15. logbes

    Kanisa lanusurika kuteketea kwa moto Zanzibar asubuhi ya leo...

    du ama kweli. ukipigwa shavu la kulia geuza na la kushoto. hatuna uwezo wa kuedit kipengele hicho kwenye biblia. uvumilivu ndo nguzo yetu.
  16. logbes

    Live Updates: Mkutano wa CHADEMA - Arusha!

    hakuna kituo cha Tv kitakachorusha live?
  17. logbes

    Mwanakijiji, huu ni UDINI pia...

    udini uliletwa na kikwete hapa nchini. nani hajui hlo! afute kauli yake kwenye hotuba yake ya kwanza pindi anafungua bunge. kwa mauaji ya zanzibar serikali ndo ya kulaumiwa. Pengo atoe tamko gani kabla ya serikali. m ningeombwa nimalize udini ningeanza na zanzibar kuchanganya uongozi 50%...
  18. logbes

    Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

    moderator kama unaweza mijadala ya udini humu ndani iwe deleted automaticaly la sivyo tunakoelekea sio kuzuri. mbaya zaidi thread inaweza ikawa na mantik nzuri lakini wachangiaji ndo wanabadili mwelekeo unakuwa mwendo wa kubishana na kutukanana na mlengo wa udini. hii ni hatari kwa ustawi wa...
  19. logbes

    Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

    m sikubalian kabisa bunge kutorushwa. ni haki yetu kujua tuliyemtuma anafanya nini. uwazi na ukweli tunaojisifia utakuwa upi?
Back
Top Bottom