Search results

  1. R

    Nape: Ben Saanane amepotea, Clouds wamevamiwa, akina Roma wametekwa, Rais achukue hatua

    awe mpole tu sizitaki mbichi hizi aliropoka kufunga goli la mkono sasa kafungwa la kiwiko na bado la kisigino! CCM tuko ngangali walitumia gharama kubwa na fedha nyingi ila 2020 kiulaini make wananchi watakuwa wameona manufaa kutokana hiki kinachoendelea kurejesha nchi kwa wanyonge
  2. R

    Mh.Waziri wa Elimu Ndalichako, hatuendi shule za Msingi hata kwa vitisho.(Maandamano yaja)

    Hawezi unadhani kama alitengua ya vyeti vya ndoa ya mwakyembe DR ataweza ya Prof?
  3. R

    Naiona CCM ikimeguka vipande viwili: Wanachama wanasubiri tamko tu kutoka upande wa pili

    CCM tuko ngangali acha hayo mawazo yako sisi tunafurahia hatua zinazochukuliwa kwa sasa nyie mliokuwa mmehodhi chama ndio mnasikitika kwani chama kimewarudia wenyewe ambao ni wanyonge. Acha tuchape kazi mbele ya safari utakubali tu kuwa tuko ngangali kinoma.
  4. R

    Ukata unavyowaliza wabunge kikatili: Waacha vyumba hotelini na kuhamia Guest House

    Ja,mani mbona maisha ni kawaida mnawasingizia wabunge kwani wao hawana akili kama wangeona shida wangesema kwanini mnawasemea?
  5. R

    Mwalimu Nyerere Foundation toeni Tamko kwa hali Nchini

    Hio taasisi hawajipendi nini kofi alilopigwa mzee walioba kipindi cha mchakato wa katiba mpya halijapoa halafu unataka apigwe tena. mzee tulia wenye nchi wapo hasa vijana ndo wenye taifa la sasa sie tuko saa 12.30
  6. R

    Mh. Magufuli walimu wanaojiendeleza wana kosa gani?

    Nawasikitikia walimu wanaojiendeleza miaka hii kwani wanahujumiwa kupanda vyeo. Wasaidie wanaumia wafutie waraka huo.
  7. R

    Chuo kikuu cha Dodoma vijana wanakufa njaa, mkopo hakuna

    Bodi mbona walisema wametoa % 100
  8. R

    Leo ndio nimethibitisha tabia ya CCM

    Kwahiyo hata taasisi zingine wasivae? Mf. Wanajeshi, wanafunzi n.k. Ni mtazamo wako ila mimi sioni kosa.
  9. R

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Binafsi nimekuelewa. Kinyume chake ni sahihi! Umetisha.
  10. R

    Waliouziwa nyumba za serikali wakaziuza

    Kwa nyumba ngumu, kwani
  11. R

    Waraka wa kufuta ada elimu ya sekondari (1-4) na michango yote elimu ya msingi

    Wenye five na six tutakoma make michango haijakatazwa kwao wanatutaka tujenge hadi vyoo serikali ingeacha ada c mchango
  12. R

    Ni kweli watoto wa Dr. Magufuli wanasoma shule za kata?

    Tusidanganyane kuna kuwa na mahusiano mabaya na wife ila nyumba ndogo wakatanua. Chezea limbwata wewe!
  13. R

    Wafanyakazi wa Maduka ya UCHUMI waenda kwenye Ofisi zao kudai haki zao

    Maduka hayo ukakasi mtupu. Mbona yafirisika karibia na uchaguzi? Wenye mnawajua kweli, shauri yenu mimi sisemi mengi.
  14. R

    Rais Magufuli, Muombe JK akukabidhi majina 45 ya majangili wa meno ya Tembo

    Najua op tokomeza iliyabainishwa ila kama ni wenzetu tutaweza? Ndo maana jk kamezea jpm sijui make ndo majipu, du!
  15. R

    Polisi yawagomea Lowassa, Sumaye, Mbowe Mwanza

    Naililia nchi yangu tz kwa haya yanayoendelea yanaashilia amani kutoweka.
  16. R

    Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

    M4c alijiita mkasema anaiga ya wapinzani. Toka kampeni alisema serikali ya magufuli. Anafaa kama vile mwana ukawa .
  17. R

    Hofu ya tifu: Kikwete atachoka na kususa

    Naye jk alimpa luksa kumponda toka wakati wa kampeni.
  18. R

    Rais Magufuli: Fedha za hafla ya Bunge zinunue vitanda Muhimbili

    Shida si vitanda ila ziongezwe muhimbili kama kumi. Bado vitanda vitaenda kuwekwa stoo.
Back
Top Bottom