Search results

  1. kalamata

    Naomba kufahamu hili

    Jamani haya maswali mengine? Wee acha tu!!
  2. kalamata

    Nini asili ya neno Demu?

    Mmm da kazi kwelix2
  3. kalamata

    Edwin Mtei asikitishwa na alaani kitendo cha Tundu Lissu kumtukana Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere

    Mzee wangu Tundu Lissu,tuombe radhi Wa-Tanzania kwa hilo,maana tunaamini ulimi hauna mfupa na wewe ni binadamu,yawezekana umeteleza kwa ajili ya jazba tu za-kisiasa,aliokamilika ni Mwenyezi Mungu tu,sisi wote ni wakosaji,so kwa hili mzee wangu nakusihi kubali yaishe,maana hata mzee Mtei...
  4. kalamata

    Ujumbe wa leo

    Ah! Napita tu.....
  5. kalamata

    Wanawake na matiti

    haijalishi kazaa au hajazaa,bali huko ni kukosa haya na maadili,mwanamke kuonyesha matiti yake wazix2 ni kukaa uchi,mwili wa mwanamke wote ni uchi,ndio maana ni nadra sana kumuona mwanamke amechutama pahala mbele za watu akaanza kukojoa,lkn angalia wanaume,popote pale bila hata ya kujali kama...
  6. kalamata

    Mapenzi kwa kutumia mdomo...

    DO! ni hatari sana upo uwezekano wa kushambiliwa na virusi vidogo sana kwa ufupi vinaitwa PPV,hivi hua vinapatikana katika maji (sperm)yanayotoka kwa mwanamme,hua yanaathiri koo na mwishoe ni kupata maradhi ya kansa ya koo,pia virusi hivi hata kwenye yale maji yatokayo kwenye Uc........ wa...
  7. kalamata

    Natafuta sinema za Kuhuzunisha

    Angalia hii inaitwa Bangkok Hilton,kama hukuhunika na kutoa machozi,basi jua hata ukipata msiba wa mzee wako hutolia.
  8. kalamata

    Mvua iliyonyesha leo usiku, imesabisha familia nzima kupoteza maisha hapa Tunduma.!

    Ndugu yangu ngoja tuishie hapa maana kwanza sijui kwa upande wa maadili ya Dini wewe ni wa upande gani,pili naona unajaribu kusema usiliolijua,kama wewe ni Mkristo naomba usome sana Bible na kama ni Muislam basi kafungue maandiko usome kwa kutafakari,maana hueliewi chochote katika mambo...
  9. kalamata

    Mvua iliyonyesha leo usiku, imesabisha familia nzima kupoteza maisha hapa Tunduma.!

    ndugu yangu kua muelewa usikurupuke tu,kwani unataka kunambia kile kimbunga kilichpiga Marekani miaka ya hivi karibuni na kuleta maafa makubwa,wa-Marekani wa mji ule unataka kutuambia walikua wakiishi katika mazingira hatarishi?au Tsunami iliopiga sri-Lanka utanambiaje?narudia tena kuwa muelewa...
  10. kalamata

    Mvua iliyonyesha leo usiku, imesabisha familia nzima kupoteza maisha hapa Tunduma.!

    Astaghfirullah,huyu jamaa SANGARA sijui hana dini?labda ni mpagani.Hii ni kadari ya mwenyewe Mwenyezi Mungu,mwenye uwezo uwezao usiowezwa,atakalo ndio hua.Nashangaa sana kusema 'haya yote anasababisha JK' astaghfirullah jamani jk amekua Mungu?jamani tuweeni waadilifu,tusichanganye kudura za...
  11. kalamata

    Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    ...Wabongo bwana kwa kasumba?wangekua wamejiuna na chadema basi ingekua issue humu jf,kusifiwa sanaaa,hongera nyingiiiii lkn wamejiunga ccm wanaambiwa hawana akili,na nyinyi mnaofanywa limbukeni kwa helkopta kutua chini ya miguu yenu tukuiteni nani?
  12. kalamata

    Saada Mkuya Salum ana elimu yenye utata

    Kelele za mlango hazimuudhi mwenye nyumba,nyie pigeni kelele weeeee!!!!! mwenzenu anakula Nchi,Nyumba nzuri,gari na maposho yasiokwisha,Domo Kaya lete thread zinye akili sio hii.
  13. kalamata

    Msaada wakuu

    ....Ahsante Mkuu umetutoa mashimoni,wengi tulikua hatuijui hii,Hii ndio faida ya Jf. Thanks Indeed
  14. kalamata

    Printer:hp laserjet p1505 inahitajika haraka

    Wadau naomba mnijuvye,nahitaji printer kama nilivyoianisha hapo juu.Kwa anaefahamu bei yake pls naomba msaada. Kwa wakaazi wa DAR na Arusha wapi naweza kuipata? Nawakilisha Ahsanteni.
  15. kalamata

    jang'ombe zanzibar: nyumba yazama yote ardhini na kila kilichokuwa ndani yake.

    .....Mkuu mbona hujatuwekea hio picha ya nyumba iliyozama kwenye shimo?
  16. kalamata

    Urais wa Kikwete ni wa fedheha sana jamani, muda wake uishe tu akapumzike mzee wa watu

    Ah! huna mpya,heading yako na ulio yaandika hata hayaoani na ulichokiandika,ndugu yangu kelele za mlango hazimuudhi mwenye nyumba,lete thread za maana sio za kumzungumzia JK,hata ufunye nini yy ndie baba mwenye nyumba
  17. kalamata

    Mwanamke anapobebeshwa yasiyomuhusu!

    ....Ahsante ndugu yangu,nadhani hujanifahamu point yangu,kwa mama yetu(Eve na Adam)kula lile tunda la katikati ndio Hekima ya M.Mungu ili nasi tuzaliwe ndio maana tukaitwa Bin-Adam(kwa maana woye sisi ni kizazi cha Adam)then ndio likaja neno Binadam,kwa maana hio ndipo Adamu akatubu na...
  18. kalamata

    Nani Anaijua hii? Iko wapi?

    Hii naona ni Chanja-mjawiri Pemba
  19. kalamata

    MJI GANI HAPO TANZANIA JAMANi????????????

    .........Songea,Bombambili kwa mfaranyaki!!
Back
Top Bottom