Search results

  1. Gamba Jipya

    Je, magic shaving powder ina madhara ya kiafya?

    hahahahaha.....wabongo bana.
  2. Gamba Jipya

    Willy Malecela kajiunge na Arumeru Kampeni Management Team

    Mutuz kazi njema kaka, endelea kukusanya kero za watanzania wenzetu na angalia ni kwa jinsi gani kero hizo zinaweza kutatuliwa, hata kama itakuwa kuzifikisha kwenye idara husika. Tutawasiliana, Ubarikiwe sana kaka.
  3. Gamba Jipya

    Willy Malecela kajiunge na Arumeru Kampeni Management Team

    Sasa turudi kwenye hoja mkuu, naona sasa umekubali kuwa Willy yuko level tofauti na wewe, hahaha Turudi kwenye hoja za ujenzi wa Taifa, maswala ya safari zake na kama anamix ya kihaya unaweza kuyafungulia thread kule kwenye "chit chat" haha...
  4. Gamba Jipya

    Willy Malecela kajiunge na Arumeru Kampeni Management Team

    hahahahaha!!!! sasa hapo kwenye RED ndiyo wabongo wanapoumiaga huwa hawataki kukubali ukweli, soon utaona watu wanakurupuka na kudai kuwa unajipa promo sana, kumbe hizo ni schedule za kawaida sana.
  5. Gamba Jipya

    Willy Malecela kajiunge na Arumeru Kampeni Management Team

    Bro Willy habari njema sana hii, nadhani itakuwa vizuri sana katika kujaribu kuangalia mstakabali wa siasa za nyumbani, na hakika Arumeru utajifunza na kujionea baadhi ya mambo. Maslahi ya Taifa mbele daima
  6. Gamba Jipya

    Willy Malecela kajiunge na Arumeru Kampeni Management Team

    Mkuu kwa nini unasema hivyo, una maanisha nini?..
  7. Gamba Jipya

    Willy Malecela kajiunge na Arumeru Kampeni Management Team

    Napenda kuwafahamisha kuwa mimi Gamba Jipya, sina uhusiano wowote na Bwana Willy, kitu kilichopo hapa ni kuwa mimi ni muumini wa siasa/uongozi wa vijana, na mara ninapoona kijana wa Kitanzania mwenye nia njema kabisa akiwa na ari na shauku ya kupanda ngazi ili awe kiongozi ili baadaye asaidie...
  8. Gamba Jipya

    Willy Malecela kajiunge na Arumeru Kampeni Management Team

    Mkuu hapa ni hoja kwa hoja, haya mambo yako ya si riziki nikupm peleka FB
  9. Gamba Jipya

    Willy Malecela kajiunge na Arumeru Kampeni Management Team

    Hahaha tuko pamoja mkuu,....nashangaa kwa nini watu wengine wanamuogopa sana le baharia..
  10. Gamba Jipya

    Willy Malecela kajiunge na Arumeru Kampeni Management Team

    hahahaha mkuu kwani uchaguzi tayari, kwa nini hutaki aende...hahaha...
  11. Gamba Jipya

    Willy Malecela kajiunge na Arumeru Kampeni Management Team

    Mkuu mbona kuna mwenyekiti amerithishwa nafasi ya baba mkwe wake, inamaana na yeye hafai?...hahahaha. Rudi kwenye hoja hayo mambo ya kurithisha yafungulie thread nyingine tutakuja kujadili kwa hoja...hahahaha..
  12. Gamba Jipya

    Willy Malecela kajiunge na Arumeru Kampeni Management Team

    Mkuu hapendwi mtu hapa, hapa ni hoja tu na si vioja....hahahaha....
  13. Gamba Jipya

    Willy Malecela kajiunge na Arumeru Kampeni Management Team

    Tuko pamoja mkuu, unaonaje kama le Baharia akiingia kwenye kampeni team ya chama, ground zero Arumeru?..
  14. Gamba Jipya

    Willy Malecela kajiunge na Arumeru Kampeni Management Team

    Mkuu Willy heshima mbele sana, Nakushauri uende Arumeru kwenye kampeni management team ya chama ili uweze kujifunza siasa za Bongo, japokuwa kuchukua jimbo lile itakuwa rahisi sana kama uzini lakini bado naamini kuna vitu viwili ama vitatu utajifunza, ili uweze kujipanga kwa 2015 kunyakua jimbo...
  15. Gamba Jipya

    Cameron: Kikwete kakubali maharamia wa kisomali kushtakiwa TZ!

    hii habari imepotoshwa, siyo al shabab ni maharamia.
  16. Gamba Jipya

    Stationery Store / Business Centre

    Kaka ninafahamu printers watatu wakubwa sana sasa hivi huko Tanzania na walianza na stationery kama kijana fake id anavyotaka kuanza tena labda yeye anawezakuwa anaanzia juu kidogo kuliko hawa jamaa. Na kuna jamaa mwingine ni importer mkubwa sana kwa printers wa large format na paper na yeye...
  17. Gamba Jipya

    Stationery Store / Business Centre

    Kuna Wahindi hapo bongo wanasomesha watoto wao huku US kwa ajili ya biashara hiyo, sina ufahamu mkubwa lakini wanadai kama utakuwa mjanga na kupata dili ya ku supply kwenye corporate companies, NGO na serikalini huku unaendelea kuwauzia wananchi wa kawaida basi kufanikiwa ni kwa kiasi kikubwa...
  18. Gamba Jipya

    Kutoka BC - Regia & JF Friends Meeting....

    Finest hebu nipe tathmini ya watoto wa JF hapo BC, vipi wanaendana na avatar zao..huku ustream hawaonekani vizuri..
  19. Gamba Jipya

    Kutoka BC - Regia & JF Friends Meeting....

    Fahari ya macho kaka...hehehe
Back
Top Bottom