Search results

  1. W

    Kuporomoka Soko la Mbaazi, kwamtoa Yusuf Manji Korokoroni??

    Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
  2. W

    Tundu Lissu kupelekwa Marekani kwa Matibabu zaidi

    Hujalazimishwa kuchanga. Waache wenye moyo na mapenzi naye tuchange.
  3. W

    Mitandao na vyombo vya habari vya nje vinaandika 'mpinzani mkubwa wa Magufuli apigwa risasi'

    Kwa hiyo kwa andiko lako hili ni kwamba Lissu hakupigwa risasi? Si kweli kwamba amekwaruzana sana na Magufuli kiasi kwamba amekamatwa mara kadhaa na kuwekwa rumande? Kwa hiyo wangeandika kinyume cha mambo yanavyotukia?
  4. W

    Ombi muhimu: Mikutano ya siasa ya kitaifa sasa iruhusiwe

    Mikutano haijazuiwa. Kwa hiyo sasa inafanyika? Na ukisema "kufuata kanuni zilizowekwa", ni kanuni gani hizo?
  5. W

    Mahakama: Manji ana kesi ya kujibu kuhusu Dawa za Kulevya

    Imesikilizwa na hakimu gani wakati taarifa zimesema imeahirishwa kwa sababu hakimu amefiwa? Na imeahirishwa hadi Agosti 31, mwaka huu. Wewe hizi taarifa umezipata wapi? Ulikuwa mahakamani au umeambiwa na mtu ambaye naye hakuwa mahakamani?
  6. W

    Musukuma: Kuna wanasiasa wameahidiwa 10% kuweka presha ndege kuzuiwa

    Nimecheka sana pale huyu Msukuma wa bangi aliposema eti ndege haijazuiliwa kwa sababu hata ukiitafuta kwenye mitandao unaiona. :D:D:D
  7. W

    Dkt. Rioba wa TBC ataka kupigana na Gerald Hando wa E-FM kwa kuambiwa TBC imemshinda

    Kwamba kama habari haina picha ni ya uongo? Na ikiwa na picha, hata kama ni ya uongo, inakuwa ya kweli?
  8. W

    Prince Philip wa Uingereza Aliamuru Prince Diana Kuuwawa

    Nilimsoma mwandishi anayeitwa William Shao. Kama sikosei, mwaka 2007 aliandika kwa urefu kuhusu hili katika gazeti la RAI. Juzi nimeona tena ameikumbushia katika ukurasa wake wa facebook. Makala hiyo niliitafuta na kuikuta katika linki William Shao: USIRIDHIKE NA MTAZAMO WA JUU-JUU TU
  9. W

    Jina la Tundu Lissu latawala mkutano wa TLS Arusha

    TLS hawajawahi kufanya uchaguzi wakati wowote? Kama waliwahi kufanya uchaguzi ni kwa kanuni zipi? Au hizo kanuni ziliisha muda wake? Na kama muda wake uliisha, ni lini uliisha?
  10. W

    Tundu Lissu: Am told, People at the top aren't thinking and acting rationally anymore...

    Ni wale waliokuwa wakimkamata mara kwa mara na kumweka ndani.
  11. W

    Kutoka Mahakamani: Mbunge wa Arusha Godbless Lema apata dhamana

    Kuisifia mahakama vipi? Hamkusikia hata wale MAJAJI wakiilaumu ofisi ya DPP kwa madudu waliyofanya? Hamkusikia majaji wakisema wanasheria wa Serikali wanainajisi sheria ya nchi? Hebu kuweni na akili zenu mnapojadili masuala ya nchi. Sheria za nchi zinasiginwa na bado mnashabikia? Kweli kuna watu...
  12. W

    Kutoka Mahakamani: Mbunge wa Arusha Godbless Lema apata dhamana

    Walitaka kuonyesha walivyo waonevu.
  13. W

    William Shao nimemkubali

    Nimekuelewa kiongozi
  14. W

    William Shao nimemkubali

    Ulishasoma kitabu hicho? Kama umekisoma sawa, lakini kama hujakisoma umejuaje hoja alizotoa zimeshaibuliwa na wengine? Au ni ule wivu wa maendeleo ya wengine?????
  15. W

    William Shao nimemkubali

    Ameshaibua vitabu vingine? Nimeshasoma vitabu vyake viwili lakini sijui kama ameshaandika vingine. Very interesting.
  16. W

    Sababu ya Gazeti la Jambo leo kuingia vitani na RC Makonda ni Manji kutajwa kwenye dawa za kulevya

    Nitajie uongo ulioandikwa na gazeti hilo. Kuulizwa kuhusu elimu yako unajibu kuhusu Manji? Elimu ya Makonda na Manji vinahusianaje hata ulihusishe gazeti hilo na Manji? Aliyeanzishah habari kuhusu habari ya elimu ya Makonda katika mitandao ni Jambo Leo. Inawezekana si tu kwamba huna habari za...
  17. W

    Bashe na mtazamo wake juu ya maandamano ya CHADEMA (UKUTA)

    Kwa waliomwelewa Bashe wamemwelewa. Kwa ambao hawataki kumwelewa hawatamwelewa. Lakini amemwagika. Natamani nami nisome vitabu anavyosema. Mimi nimesisinkwa sana na uchambuzi wake. Amechambua vizuri kwa kutumia hali halisi ya wakati wetu. Bravo Bashe
  18. W

    Kimenuka: Wakurugenzi wa NSSF wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Kuna habari kuwa wakurugenzi wote wa NSSF wamepigwa chini leo na wanne kati yao wako chini ya ulinzi. ====== Bodi ya wakurugenzi ya NSSF imewasimamisha kazi wakurugenzi sita na mameneja sita kupisha uchunguzi wa tuhuma zilizopo kwenye ripoti ya ukaguzi ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG).
  19. W

    DAR: Polisi walizuia Kongamano la chama cha ACT Wazalendo, Millenium Tower

    Kwani ni bajeti ya siri hata wawazuie watu kuijadili?
Back
Top Bottom