Search results

  1. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Hahahaa! I can imagine... Pole sana! Walau sababu yako ya kutopokea ni genuine.
  2. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Mbaya zaidi ni kuwa wanakua wanapunguza hata maana na uzito wa neno lenyewe. Leo hii wala si ajabu mwanaume au mwanamke kuita random people hayo majina ya wapenzi na hali hata mpenzi/mwenza aitwi hivyo. Alafu hata kama anamwita; haipendezi unapokuta mpenzi wako neno ambalo hukuita kama mpenzi...
  3. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Hii itabidi ni google, nisome na nielewe. [emoji28]
  4. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Hii ya kuingia na kufungua message iliyoingia, ndiyo upekenyuzi. Ni sawa na kumkagua mtu. Si sahihi unless otherwise kuna nyenendo za walakinj ambazo zinakupa shida.
  5. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Reina, umeieleza vizuri sana. Straight to the point. Post inajitosheleza
  6. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Habari ya siku Ruttashobolwa? Saizi naahidi sitopotea sana hivi tena. Tunashukuru, hongera pia. Naomba ufafanuzi ni kwanini kupokeleana simu ni hatari sana? Hivi kweli watu tumekuwa hatuwaamini wenza wetu hadi kufikiria kwamba kuingia katika simu utapata jibu kwamba huyo mtu ni mwingine?
  7. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    I have learned the Ex responds kwako vile unavyotaka a'respond. Usumbufu wa ma Ex mara nyingi hutokana na mhusika mwenyewe kuruhusu usumbufu huo. Ni rahisi kuwekeana mipaka, na moja ya watu ambao ni sumu katika mahusiano ni ku entertain kuwa na kivuli cha ex in between. Linapokuja suala la simu...
  8. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Joseverest naona umeamua kutuchekesha lol
  9. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Donatila, asante kwa kutambua uwepo wangu. Nje ya kuwa na mahusiano mengine. Hivi, ni mambo gani ambayo mtu unakua nayo na yakiwa kwenye simu yako hayastahili kuonekana na mpenzio?
  10. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Hahahaa! Figganigga hii post yako ni wazi kabisa kwamba sababu kuu ya wewe kutotaka mpenzi wako ashike simu yako ni sababu unakuwa unaweka nguvu na mapenzi yanayostahili kwake kwa watu wengine. Nadhani hapa kama ni kesi imepata majibu.
  11. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Princess Royal, sio lazima nini my dear?
  12. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Asante kwa mafunzo uliyonipa, hii ni kweli inafaa kwa wale wanaofanya mistake hiyo. Kwa upande wangu, kwanza niweke wazi hataongopa alikuwa anaongea na nani, si muongo hivyo; maybe anaweza ongopa maongezi ila si nani. Hilo ni moja, la pili ni kwamba mimi siwezi kumuuliza ulikuwa unaongea na...
  13. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Nipo mpendwa wangu. Nimefurahi kukusoma na uwepo wako katika mada. The Boss you of all people should know, mwanaume ama mwanamke kama hataki kusumbuliwa na mtu ambaye anamfuatilia interest za wazi za Kimapenzi, ni sababu huyo mtu anataka iwe hivyo. Hivi katika ulimwengu wa leo utasema...
  14. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Kwahiyo tayari unakubali kuna yanayoendelea kwenye simu ambayo ungependa ufiche? [emoji5] Unazungumziaje suala la simu yake, nawewe unaona sawa wewe kutoruhusiwa kuhusa simu yake?
  15. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Wivu si kitu kibaya kwa mpenzi au mwenza wako. Ila wivu unapaswa kutumika pale wivu unapostahili. Kuna wakati wanaume hufanya makosa ya wazi ambayo hayastahili kufanya kwa kisingizio kuwa ni wivu pale unapotaka maelezo. Wanaume wanasahau, sisi wanawake tunajuana wenyewe kuliko mnavyojua...
  16. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Charminglady, Maelezo yako umeyatendea haki. Nakubaliana na kila kitu. Mifano na mazingira ya kupokea hizo simu on point. Asante sana kwa mchango wako.
  17. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Hahahaa! Wewe kiboko. Unatengeneza na transcript kabisa ya kuongea.
  18. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Lucyline thanks for sharing, maelezo yako yametoa mwanga mzuri wa mjadala. Nimependa maelezo. Nimeelewa haya:- 1. Unakubali kwamba kuna yanayoendelea na ukishika simu yake utaishia kuumia. Na kwa bahati mbaya si occurrence ya mara moja katika mahusiano yenu hivyo ni part ya maisha yenu ambayo...
Back
Top Bottom