Search results

  1. MGOGOHALISI

    Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Kwenye uislamu hakuna.kitu kinachoitwa co-existence. Ile dini inapiganiwa na binadamu kuliko mwenye dini mwenyewe.
  2. MGOGOHALISI

    KERO Vispika vya matangazo vimekuwa kero kubwa kwenye masoko, mamlaka ipige marufuku

    noise polution. Ila usitegemee wapige marufuku maana wanaogopa mwaka huu na ujao ni uchaguzi. Labda BAADA. Tegemea mambo ya hovyo hovyo kuzuka na kuongezeka kipindi hiki na hakuna atakayekemea.
  3. MGOGOHALISI

    Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

    Ukiwa sisiemu.unafanya lolote na hufanywi chochote. Tukisema.Hilo.lichama.ni genge la.uharamia tueleweni.
  4. MGOGOHALISI

    John Casian mikononi mwa polisi kisa Konyagi bandia

    Utajiri wa wachaga una makandokando mengi ya kijinga.
  5. MGOGOHALISI

    Hii nchi kila kona fremu

    Acha wivu na mawazo ya Watu. Ni ujinga kupangia watu wazima cha kufanya.Wewe fanya Hilo wazo lako Utapiga sana hela maana utakua peke yako. 😂️😂️😂️😂️😂️😂️
  6. MGOGOHALISI

    Kitendo cha kuvunja sanamu la Mungu ni jaribio la kuua Mungu wetu.

    Allah ndio kiumbe gani mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣
  7. MGOGOHALISI

    Kweli Mbowe anapewa nafasi kuongea, ananyimwa Jakaya? Nashauri familia hizi zikae zimalize bifu

    Huyo unayemtetea anaona aibu hata kutaja jina la marehemu. Angejaribu kusimama wangemzomea. Watu wa chuga wanakupa za uso bila aibu. Bora alishtuka akakataa kupewa nafasi. Watu walinipanga kuzomea.
  8. MGOGOHALISI

    Kitendo cha kuvunja sanamu la Mungu ni jaribio la kuua Mungu wetu.

    Wakatoliki punguzeni mijisanamu khaaa!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  9. MGOGOHALISI

    Daah nachomokaje hapa sielewi kabisa, msaada!

    Akili ndogo uliyo nayo huchomoki. Una wanawake zaidi ya mmoja halafu wote unawaleta nyumbani au unaruhusu wafahamu unapokaa. Shwa*ni ,😃😃😃
  10. MGOGOHALISI

    Rais Samia aalikwa na Baba Matakatifu Francis Mjini Vatican kwa mazungumzo rasmi ya siku mbili

    Wakosa hoja hawakawii kusema anaenda kupewa maelekezo na kanisa. Subirini
  11. MGOGOHALISI

    Wakuu wa shule wanawatesa sana walimu aisee

    Acha mwl mkuu achape kazi. Maendeleo ya nchi hayaji kilegelege 😃😃😃😃😃
  12. MGOGOHALISI

    Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

    Uwanja wa mapepo ya kunji. Vijana hawajui maana ya kunji hahaaa
  13. MGOGOHALISI

    Wizi wa viatu msikiti wa Manyema

    Kwani kuweka camera hapo no haramu? Labda kama ni haramu lakini haya mambo kwa technologia ya leo hayapaswi kuwa ni jambo la kulalamikiwa kiasi hiki
  14. MGOGOHALISI

    Ni hujuma kwa nchi za Kiarabu katika AfCON hii

    Mwarabu wa buza pole yako. Mimi n8mefurahi sana wale waliokuwa wanaitwa favourite kutolewa. Kimsingi ndio walikua wanapendelewa ili hiyo favorite ihalalishwe. Hongera kwa Ibory coast, SA na wengine wenye mchango wa kuwatoa wote waliokua wanaitwa favorite 😃😃😃😃😃
  15. MGOGOHALISI

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hii dar inayokatiwa umeme kama banda la kuku ndio unalinganisha na miji yenye akili?
  16. MGOGOHALISI

    Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

    Kuna ukweli umejulikana baada ya ndoa na mmoja wao hajaweza kuubeba.
  17. MGOGOHALISI

    Bunge la Yemen kuitambua rasmi US na UK kama mtandao wa Ugaidi Duniani

    Hapa patamu. Ngoja tuone wazungu wakitoa mimacho kama kenge.
  18. MGOGOHALISI

    Wadada wanadanganywa sana na Rose Shaboka

    Huu ni wivu uliopitiliza. Au ndiye uliyeporwa mchumba akaolewa Rose?
Back
Top Bottom