Hii hali ni ya kawaida kwa mabwawa haya (Hydroelectric power plants), hata mtera huwa wanapunguza maji. Na kwa uhalisia milango ikifungwa ili maji yajae bwawani "down stream" huwa hakuna maji.
Kwani hakukufanyika tathimini ya athari ya mazingira (environmental impact assessment (EIA))?
Kwa mradi mkubwa hivyo na ambao unaathari za moja kwa moja kwenye mazingira lazima EIA ifanyike. Pili hao wananchi hawakupewa mrejesho wa tathmini?! Maana kama walipewa mrejesho lazima waliambiwa bwawa...
Ni mwalimu kabisa. Alitusaliti 1998/1999 alipokuwa rais wa DARUSO. Na hakupelekwa wapi wala wapi, baada ya kumaliza 4th year tu (kabla hata ya graduation) aliajiriwa ofisi ya Dean of students huku akifanya Master of Education (Psychology).
Hii hali minor stroke, inatibika. Dawa za hospitali, massage ya mafuta habatsoda na kutafuna jojo upande uliopata tatizo kwa muda wa miezi walau 4. Bila kusahau Maombi. Mtu anarudia hali yake vizuri tu.
Jengo lililofungwa ni cathedral kama saint Joseph kwa Dar. Hapo hapo ilipo cathedral kuna makanisa (majengo mengine) au parokia jirani, kwa hiyo misa na ibada zote za kila siku zinafanyika kama kawaida. Ila lile jengo ndio (tuseme) linasafishwa au linatakaswa kwa muda huu.
Baba yake Mariamu mamaye Yesu alikuwa wa ukoo wa Daudi. Kwa hiyo haijasemwa uongo, Yesu Kristo ni decendant wa Daudi kwa damu (genes) Kumbuka hao watu wa mashariki ya kati kwa mila na desturi zao walioana walio na mahusiano ya damu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.