Search results

  1. J

    web designing inaumiza kichwa

    Watu wanashindwa kutofautisha na kati ya web developer na designer, developer ndio anahitajika kujua code, ila designer kazi yake ni kutengeneza muonekano wa website, na kufanya ivutie kwa watazamaji. Na pia uzuri wa website sio picha, ni mpangilio wa rangi na muonekano wake, japo kuwa hata...
  2. J

    Siri nzito kuhusu kutoonekana kwa kiongozi wa UAMSHO Zanzibar

    kwani kiarabu ni kiislam? We mbona ukiona chochote kimeandikwa kichina unasema ni feki. Je ikija kitabu cha dini yako kimeandikwa kichina itakibonda? Hao waarabu sio wote waislam, wapo hadi wapagani na wanaoabudu ngombe na mashetani, na wanataratibu zao na wameziandika kwa kiarabu. Elimika...
  3. J

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    1.Mtakula nyasi ndege ya rais inunuliwe-Mramba 2. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora-JK 3.Acheni wivu wa kike-Msekwa 4.Asieweza lipa nauli apige mbizi-Magufuli 5.Baada ya kutumia Helikopta ya Jeshi kwenda nayo kwao Urambo,mlitaka nipande punda-Kapuya 6.Wabunge wa Dar wanafikiria Kwa...
  4. J

    CUF waruhusiwa kuandamana?

    mbona wao hawazuiwi au ndio tuamini ni CCM B?
  5. J

    Mapovu toka CCM; waandishi wamenangwa na Tundu, tusubiri tamko

    Alafu nakumbushia kuwa aandishi wengi wanaandika na kuripoti habari kwa mazoea, mwandishi anatakiwa awe na taaluma ya habari anazo ziandika {habari za afya, habari za uchumi, habari za kiuchunguzi n.k} sasa leo mwandishi kila habari yeye anaandika tu bila kuwa amebobea upande huo na ndio maana...
  6. J

    Mapovu toka CCM; waandishi wamenangwa na Tundu, tusubiri tamko

    Naungana na wewe, maana waandishi waliyoteuliwa kwenye hiyo kamati hawana uzoefu na habari za uchunguzi.
  7. J

    Madudu haya mpaka lini au ndio kichwa cha mwenda wazimu?

    sasa kama taasisi nyeti ya elimu kama TCU watu wanawachezia hivi ndio tunaenda wapi?
  8. J

    Uzalendo ni nini?

    hivi kwa nini sisi watanzania hasa vijana tunakosa uzalendo wa kweli kwa nchi yetu? Tunaishia kutawa liwa na kuwa watumwa wa kuuza kura kwa wanasiasa mafisadi? Hata leo wakifufuka hao tunaowaita mashujaa watajuta kwa kujitolea kwao kwa ajili ya kututafutia maisha mazuri watanzania. Tatusaidiki.
Back
Top Bottom