Search results

  1. B

    Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    tuweke propaganda kando sababu kichwa kinagonga....
  2. B

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Kelele zoote za nini kama video ipo weka msiwapotezee watu muda kujadili upompompo, sio kutishiana tishiana tu kama watoto vinginevyo itabakia kuwa u..........
  3. B

    Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

    hizi hadithi zinaweza kutengeneza movie nzuri tu..
  4. B

    Wale tuliomaliza Pepa za CPA leo tujipe pole

    Maelekezo mazuri sana ila hapo kwenye degree ya finance hawaruhusiwi kuingia module e ,wanaanzia module b...
  5. B

    Waislamu wakerwa na JK kutumia Jeshi na nguvu nyingi kwa kutatuwa matatizo ya wananchi.

    Darfur wanaoenda kulinda amani ni polisi au jwtz, kwa wengine wakalinde amani halafu kwetu wakae wanaangalia tu, hiyo haiwezekani. Charity begins at home
  6. B

    Maisha Binafsi ya rais wa Irani: Wanasiasa wa Tanzania tujifunze

    alitaka na analipwa mshahara equivalent na emoluments ambazo angepata kama mbunge ikiwa ni opportunity cost ya kuacha ubunge ili agombee urais,kwa kigezo hicho tu..,nahisi hawezi kuishi hayo maisha...lakini cha msingi hapa sio kuishi hayo maisha ,msingi ni kwa jinsi gani taasisi ya urais...
  7. B

    Sitaki kurudi nyuma...

    Sio kweli ,ningetaka demu mahala hapa ningesema wazi,siamini saana katika kutafuta demu kwa njia unayohisi wewe, kinachoniumiza mimi ni kukataliwa na wasichana ambao nakuwa na hisia juu yao,kiasi cha kuhisi kuna roho ya kukataliwa inaniandama Inauma sana kama uko kwenye hali hii,kama haujawahi...
  8. B

    Sitaki kurudi nyuma...

    uwanja F sio mpango kabisa katika mipango ya maisha yangu na hata kama nikienda nitafanya ngono lakini sio kupata mapenzi Ahsante kwa uhusika wako na ushauri pia
  9. B

    Sitaki kurudi nyuma...

    damn ! rejection tena ,naombeni msaada ndugu,kwa nini wengine wafanikiwe katika mapenzi,mimi tu ndo nionewe na hawa wadada,they come close to me only when they are in trouble, kwa nini mimi tu wakati stori za siku hizi wanasema kutongoza imekuwa rahisi mbona sasa ni ngumu kwangu
  10. B

    Huyu mkaka mbona simuelewi??? nisaidieni mawazo wanajf

    mruhusu aingize,,, senti zitatoka tu....si mmetugeuza ATM , alaah we unataka hela au mapenzi......?
  11. B

    Sitaki kurudi nyuma...

    Nashukuru kwa mchango huu ntafanyia kazi ushauri wako kwa umakini, Kiukweli kwa haya maumivu saa zingine najiona tofauti kabisaa " feelings of becoming mad" sitaki kukata tamaa lakini kwa vitu nilivyopitia sijioni kama kuna future katika mahusiano.Mbaya zaidi linapokuja swali "shemeji mzima ...
  12. B

    Sitaki kurudi nyuma...

    Maneno kwangu sio mengi,ni mtu wa vitendo zaidi.
  13. B

    website ya ajira utumishi

    inafunguka lakini hakuna kipya, tofauti kabisa na matangazo ya kwenye radio na tv,
  14. B

    Sitaki kurudi nyuma...

    Its true but I dont need a bitch..... I need a woman,a lady I can walk along with....not just a b***h to F....
  15. B

    Sitaki kurudi nyuma...

    I m too polite even by appearance.......
  16. B

    Sitaki kurudi nyuma...

    Kama ni kuhonga ,mbona wanaofanikiwa ktk mapenzi sio wote wahongaji, na nitahonga mpaka lini usawa huu mgumu.....
  17. B

    Sitaki kurudi nyuma...

    Good approach but nahisi itachukua muda mrefu sana,na hupi muda mwafaka wa kumwaga ulezi mpaka aelewe....
Back
Top Bottom