Search results

  1. M

    Muswada wa Huduma za Habari: Nape amshukia Zitto, Zitto naye amjibu

    nape,hauna haja ya kujitetea au kutetea mswaada huu kiajabuajabu namna hii.Haya majibu yako unaweza labda waelezea wenzio wa lumumba,ila ss tushawajua plan zenu(serkali ya awamu ya 5) mnaleta UDIKTETA taratibutaratibu.Kwa mfano si wewe uliyefungia magazeti kadhaa na vituo vya radio!? Tena juzi...
  2. M

    NEC ichukue hatua ya dharura kuahirisha huu uchaguzi

    Point ya msingi sana hii ila waj inga flani watapinga
  3. M

    Operesheni Zinduka 13 - Dr. Slaa Aliniahidi Nini? Sikiliza Sauti za Wanaomkataa Lowassa

    Bullshit,,,umebwabwaja maneno mengiii,point 0 times
  4. M

    System aliyoitegemea Lowassa ilivurugwa na Kikwete!

    We pumba vu kweli,,sasa Chadema inakuhusu nn kama wao wamevaa mkenge,? halafu tatizo msilolijua ni moja,kuanguka kwa ccm ni maandiko,kwahiyo haya yote yanayotokea mnajidanganya kipumbavu tu
  5. M

    Chopa ya Livingstone Lusinde yapata hitilafu, yashindwa kuruka

    Haya ndo matatizo ya kupenda KuigA mambo ya Ukawa.
  6. M

    Ujanja na Faulo ya CHADEMA kwa vyama vingine vinavyounda UKAWA

    Kwahiyo wewe ndo unajifanya msamalia mwema kuona hivi vyama vingine vimeonewa?
  7. M

    Kutoka Dodoma: Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge, Rais Kikwete ahutubia

    Wahusika ,,mtoa post kaudanganya Umma..aadhibiwe
  8. M

    Kauli ya Kikwete Uzinduzi wa Mitambo Kinyerezi Dar es salaam

    Wizi na ulafi ndo vilimsukuma
  9. M

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea Mwenza wa urais kupitia CCM, Samiah Suluhu

    Ni mwendelezo wa ahadi fake...raia wa guinea watashangilia.
  10. M

    Tangazo la Lowassa Clouds FM

    Kwani twaweza walifanyaje utafiti wao? Na mtoa mada naye katumia hizo..
  11. M

    Magufuli yupo wapi

    Mungu amlaze pema rais Jakaya mrisho by Maghufuli😂😂hahahaaas
  12. M

    Ngome kuu za UKAWA hizi hapa, CCM kushinda urais ni ndoto za mchana

    Nafkri wewe ndo umeandika usilolijua..eti mwanza hawatapata jimbo hata moja!!! Kweli umelewa wewe
  13. M

    DP: Mazingira ya ajali ya mwenyekiti wa chama ni ya kutatanisha

    SASA BALALI UNAMLINGANISHA NA MTIKILA? Mnahitaji Elimu for real
  14. M

    DP: Mazingira ya ajali ya mwenyekiti wa chama ni ya kutatanisha

    Upu mbavu mtupuu,,,KUNA MTU AMEWAHI KUTAJA WATU WAKUBWA WANAOHUSIKA NA UFISADI KAMA LISSU AU MNYIKA? Mbona hawajauawa? hii inaonesha ni kiasi gani wanahitaji elimu watu wa namna hii!!! Watu wamewahi kumtaja hadi rais aliyeko madalakani!! Yaan kuna mambo mengine yanakera
  15. M

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Wakati makomeo kazomewa hapa mto wa Mbu? Kawadanye waLumumba
  16. M

    Dr. Slaa apewe ulinzi wa kutosha hapa nchini!

    Slaa ni MNYAMA GANI SERENGETI!! Nani anamuhitaji katika safari ya sasa?
  17. M

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya 13 wapya, ahamisha wengine 7

    Huyu Mohamed Utally na Chitand c walikuwa CwT taifa? Sasa ile issue ya ccm na chama cha walimu inadhihirika hapa sasa,,,CCM MNAKERAAAA YAAN MNAKERA SANA AISEE
  18. M

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Acheni Mungu aitwe Mungu...
  19. M

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Ile ilokuwa shingoni kwanza siyo Kamba ni TIE ya Marehemu,,walimfunga ili kumstri mdomo wake ulokuwa wazi,, Halafu unaposema mafisadi wamemuua,,sababu alikuwa na ushahidi wa kwenda kuwafungulia kesi mahakamani,,HIVI SERKALI ILISHINDWA KUWAFUNGULIA KESI HAO MAFISADI MPAKA IKASUBRI MTIKILA? PILI...
  20. M

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Yaani umeongea upuuz mtupu
Back
Top Bottom