by calculatons, uwezekano upo tena saaana tu, so cheki dalili za mimba, morning vomits?, kichefuchefu, uchovu, mate kujaa mdomoni, baada ya wiki hiv u can do a strip na test nyingine to confirm
HAIWEZEKANI kupata HEDHI wakati unamimba, ila inawezekana kutoka damu ukeni (vaginal bleeding) wakati unamimba kwasababu ya matatizo mbalimbali ikiwemo kuharibika kwa mimba, rapture de membarana, etc, inabidi ukaonane na gynecologist haraka, it's possible huna mimba au kama unayo inaanza ku take...
nakunbaliana na watu hao wote walio consider timing factor, na speed, na lifetime ya Y compared to X, buuuut:
kwa uhakika unaweza ingia Laboratory na sperms za mumeo, tunazichakachua X na Y separately, then tuna ku implant X ONLY by one of the folowing
Techniques
Intracervical insemination...
Treaty of 1890 between Great Britain and Germany concerning the border. A wrinkle in this dispute occurred when the British colonial government, just after they had captured Tanganyika from Germany, placed all of the waters of the lake under a single jurisdiction, that of the territory of...
Makanisa si ndo wajanja, wasomi, na wanajua umuhimu wa mikataba.
Baada ya utaifishaji wa kipind cha nyuma kutokea so mambo ndo yanabidi kupelekwa kisheria tu no way out.... Wacheni kulia lia tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.